Sheikh Musa Alhad akiwa katika misa kanisani

Sheikh Musa Alhad akiwa katika misa kanisani

Dini ya kiislam haikatai kuwa na rafiki wa dini ingine ihali muwe mna mipaka ktk masuala ya dini
Na katika mipaka hiyo kuna suala la kuabudu (utaratibu mzima wa mambo ya ibada).
 
Assalam Alleykum,

Watu wa kitabu mnalizunguamziaje hili?

View attachment 364175

View attachment 364176

Huyu Shekhe mbona juzi pale Karimjee Hall alikuwa anataka sana kupewa kipaumbele hasa kwa attention kuliko Mufti? Body language yake ya juzi imenifanya nigundue vitu vingi sana both positive na negative juu yake. Naomba niishie tu hapa tafadhali.
 
Anafanya maskhara ambayo yana - asilimia nyingi kuliko + zake. Si jambo baya kuchangamana na watu ila hilo la ibada anachupa mipaka (Mwambieni akikaribishwa kula asihoji, kashaandaliwa na mkuu wa meza).
 
The room is open !!... Kitabu na akida zina ruhusu kwa urefu na mapana kuingia kanisani na hata kuswali raqaa mbili... Sujuda lillahi!! Hapo haina utata kujadiliana na "ahlu L kitab"

Heshima kwa wote..
Mkuu una mashiko yoyote ktk swala la kusali sunna kanisani?
 
Mkuu una mashiko yoyote ktk swala la kusali sunna kanisani?
BarakaAllahufikum.. unaona sasa Asrams umepandisha haraka sana.. sikusema Sunna!!!!!!!!!! tafafdhwal soma tena... au nikusomee nime sema Soujad Lillah ambayo waruhusiwa kusujudi popote ispokuwa chooni(toilets only haturuhusiwi)!!
hebu tusiwape nafasi wenye midomo michafu....
 
Ule ni utashi wake lakini hakuna sheria ya kiislaam inayoruhusu kushiriki misa kanisani ndani ya vitabu.

Ila kuna (muammalat) yaani kukaa kwa wema na watu wa dini nyingine mkasaidie mambo ya kijamii yenye kuleta maendeleo kwa wote katika Taifa..kwahivyo hakuna ihisani ya kumsadia mtu wa imani nyingine kwa ibada kinyume na imani ya kiislaam ijapo wote ni wamoja katika kuumbwa.

Nazungumzia sheria ya kiislaam.. ama sheria za imani zingine sina ujuzi.
 
Ahssante kuni uliza..... kwa uwezo wa Moula barru L karim ntachukuwa wasaa wakukujibu... ila uwe mweny subra na kufungua kifua upokee "mau3idhatu L hassana" (siyo unakomalia mafunzo yako tuuuuu)
3ilmu ya dini yetu ni pana na kubwa.... nakuja !!
Usifanye amali kisha ukaipatiliza kwa ushahidi, elimu hutangulia. Nasubiri hiyo elimu utayotoa kisha nkuulize uzuri
 
Ule ni utashi wake lakini hakuna sheria ya kiislaam inayoruhusu kushiriki misa kanisani ndani ya vitabu.

Ila kuna (muammalat) yaani kukaa kwa wema na watu wa dini nyingine mkasaidie mambo ya kijamii yenye kuleta maendeleo kwa wote katika Taifa..kwahivyo hakuna ihisani ya kumsadia mtu wa imani nyingine kwa ibada kinyume na imani ya kiislaam ijapo wote ni wamoja katika kuumbwa.

Nazungumzia sheria ya kiislaam.. ama sheria za imani zingine sina ujuzi.
Yeye kajumuisha kasahau hakuna ihsani kumsaidia mtu wa imani nyingne kwa ibada kinyume na imani ya kiislam. Yeye pia ni kiongozi, jamii inapata picha gani na kizazi cha wanetu twawafundisha nini, kesho watajaa sunday mass wakimfuata sheikh wao kuabudu
 
Usifanye amali kisha ukaipatiliza kwa ushahidi, elimu hutangulia. Nasubiri hiyo elimu utayotoa kisha nkuulize uzuri
Ndg. hamisj usiaanze kunipa masharti na shinikizo MIND YOU... nipo nachambua na kutoa dalili stahiki.....
 
Back
Top Bottom