Averoes
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 985
- 512
Uislam hauna mipaka ya nchi, dola, anga wala bahari. Uislam uko pote duniani. Kuhudhuria hafla au ibada sio lazima kuwa umeabudu dini ya mtu ni imani yake moyoni.Tanzania sio milan! Muislam hatakiwi kuabudu mungu wa maka.firi... Ukifanya hivo umeshajiondoa katika dini
Sent from my HTC Desire 820s dual sim using JamiiForums mobile app