Sheikh Musa Alhad akiwa katika misa kanisani

Sheikh Musa Alhad akiwa katika misa kanisani

ungeshangaa kwanza kwa ww kuisoma biblia ndio umshangae huyo shekhe kanisani yupo sahihi kbs
 
Huyu jamaa msanii , muislam kuhudhuria ibada ya maka.firi si sahihi!
 
BarakaAllahufikum.. unaona sasa Asrams umepandisha haraka sana.. sikusema Sunna!!!!!!!!!! tafafdhwal soma tena... au nikusomee nime sema Soujad Lillah ambayo waruhusiwa kusujudi popote ispokuwa chooni(toilets only haturuhusiwi)!!
hebu tusiwape nafasi wenye midomo michafu....
Al Habib nimeuliza tu,maana umeandika "kusali qakaa mbili".
 
Huyu jamaa alipaswa kuwa mufti, mstaarabu sana.
 
Huyu jamaa msanii , muislam kuhudhuria ibada ya maka.firi si sahihi!
Acha hizo dini kila mtu ana yake na imani yake iko Moyoni mwake. Kule Milan mbona kuna mji mdogo waligoma kuwapa waislam eneo la kusalia na kujenga msikiti. Kuna pastor mmoja akawapa upenu pembezoni mwa kanisa wasalie pale kisha akahamasisha waislam wafanye party pale nje ya kanisa wawaalike wenyeji wa ule mji ili wajitambulishe na wajulikane. Mbona palepale kwenye ile party walichangia hela ya mjengo wa msikiti na kumuomba Meya awakatie ardhi ya msikiti na sasa wana msikiti wao.
 
Dini zote zinamtafuta Mungu na dini zite makatazo yamefanana. Na kila dini ina njia zake za kumtafuta huyo Mungu. Kwa hiyo kila mmoja aheshimu imani ya mwenzake
 
tupendane jamani.kusali pamoja ni kuondoa tofauti zetu. Udini haufai ktk jamii. Kumbuka MUNGU anampenda kila mmoja haijalishi ww ni dini gani.
Mm nimeipenda hii, dunia nzima tungekuwa hiv tungefika mbali sana
 
tupendane jamani.kusali pamoja ni kuondoa tofauti zetu. Udini haufai ktk jamii. Kumbuka MUNGU anampenda kila mmoja haijalishi ww ni dini gani.
Mm nimeipenda hii, dunia nzima tungekuwa hiv tungefika mbali sana
Kushirikiana katika mambo ya kijamii yenye kuleta tija kwa maendeleo hilo halikatazwi.

Hiyo kolabo ya imani unayoitaka haiwezekani katu..sheria na taratibu za uislamu ni tofauti na sheria na taratibu za kanisa sasa tutashare vp imani.. je na vitabu hivi vitakuwa tumeelewaje
 
mbona MUNGU mmoja huyohuyo...wacha kuleta habari za watu wa vitabu na udini usio na maana

Mkuu Mungu mmoja yupi unayemfahamu?? Allah au Yahwe??? Hii ni kitu mbili tofauti kabisa na uelewe hivyo
 
Back
Top Bottom