Sheikh Musa Alhad akiwa katika misa kanisani

Sheikh Musa Alhad akiwa katika misa kanisani

Huyu kuna kipindi alikuwa accused kuwa ni GAY na moja ya magazeti ya udaku
 
Uko sahihi, lakini hapo si kwenye ibaada ya makafir, na ibaada inaendelea...huko ni kushiriki ibaada ya kikafir ambayo ni kufur (FULL STOP), uislam hauna kuremba wala kupamba, uislam ulishakamilika haina kuedit.
utakua unasimamia kujenga madrasa badala ya shule za sekondari.sio bure wewe.
 
Mnajua huko Jerusalem kuna kanisa linaitwa Church of Holly Sepulchre ambalo linaaminiwa Yesu alizikiwa hapo. Hili kanisa lilikuwa likigombaniwa na madhehebu mbali mbali ya kikristo na mwishowe kuanzia mwaka 638 AD mpaka leo ni familia ya kiislamu ( Nusebeh family ) ndio ina jukumu la uangalizi na kuhakikisha madhehebu tofauti ya kikiristo yana yanatumia hilo kanisa kwa Amani na utulivu.
Hii inaonyesha ushirikiano upo na unaendelea japo kuna changamoto ambazo hutokea

angalia uzi huu hapa chini kwa maelezo kwa lugha ya kiingereza
Muslim family holds key to sacred sepulchre / For centuries, their ancestors have opened door to church where Jesus believed buried
 
utakua unasimamia kujenga madrasa badala ya shule za sekondari.sio bure wewe.
Watanzania bana, watu mafuata mikumbo tu, hamtaki kufuata misingi na kweli ya dini zenu. Wewe mkristo, unaweza kushiriki matambiko ya kipagani? Kwa nini?
 
Kushirikiana katika mambo ya kijamii yenye kuleta tija kwa maendeleo hilo halikatazwi.

Hiyo kolabo ya imani unayoitaka haiwezekani katu..sheria na taratibu za uislamu ni tofauti na sheria na taratibu za kanisa sasa tutashare vp imani.. je na vitabu hivi vitakuwa tumeelewaje
Saaafi sana hapa na mkome kumfananisha YESU KRISTO na issa mkome kabisa.
 
Allah sio Yahweh (Yehova). Wako tofauti sana.
Chache ni hizi;
1.Yahweh and mwana, allah hana mwana
2. Yahweh anasistiza samehe mara sabini (indefinetly), Alala Jino kwa Jino
3.Yahweh anaabudiwa kwa lugha yoyote, Allah ana lugha moja tu ya kiarabu
4. Mbinguni kwa Yahweh, hakuna kuoa wala kuolewa, Peponi kwa Allah kuna kuzawadiwa wanawake wenye macho kama vikombe
Unaweza ongeza
Saaafi
 
Saaafi sana hapa na mkome kumfananisha YESU KRISTO na issa mkome kabisa.
Hujielewi ww..hakuna muislam anayemfananisha yesu kristo na issa.

Ila katika uislam kuna mtume wa mungu anaitwa issa bin mariamu.
 
Ww mwongo, yawheh amesema usile nguruwe na Allah kasema hivyo hivyo. Yawheh hana mwana maana hana mke ila ana waja ambao aliwapenda kwa utiifu wao kila mmoja akamwita mwanawe wa pekee kwa nyakati zao walizokuwepo kadhalika Allah hana mwana. Yawheh alisema jino kwa jino ktk agano la kale kadhalika Allah anasema ni ruksa kulipiza kisasi lkn kusamehe ni bora zaidi. Allah anaabudiwa kwa lugha yoyote kadhalika, suala la kutumia kiarabu kusali si maagizo ya mwenyezi MUNGU bali waislamu wameadapt toka enzi na enzi. Si lazima ww ujue kiarabu ndio uende peponi ..........
Mnajua huko Jerusalem kuna kanisa linaitwa Church of Holly Sepulchre ambalo linaaminiwa Yesu alizikiwa hapo. Hili kanisa lilikuwa likigombaniwa na madhehebu mbali mbali ya kikristo na mwishowe kuanzia mwaka 638 AD mpaka leo ni familia ya kiislamu ( Nusebeh family ) ndio ina jukumu la uangalizi na kuhakikisha madhehebu tofauti ya kikiristo yana yanatumia hilo kanisa kwa Amani na utulivu.
Hii inaonyesha ushirikiano upo na unaendelea japo kuna changamoto ambazo hutokea

angalia uzi huu hapa chini kwa maelezo kwa lugha ya kiingereza
Muslim family holds key to sacred sepulchre / For centuries, their ancestors have opened door to church where Jesus believed buried
Chistians we know certainly Jesus is alive in heaven reigns with Farther eternity let those think Jesus is issa keep on westing their time believing Jesus is there.
 
Back
Top Bottom