Yaani CCM wametoka kwenye ujinga wameelekea kwenye upumbavu. Badala ya kujibu hoja zilizoibuliwa kwenye udhaifu wa mkataba, wanamtuma Mwijaku kukashifu Maaskofu. Mashehe nap wamedandia treni kwa mbele, hawajibu hoja, wanabwabwaja!Huo ndiyo Waraka wa Mashehe😃😃.
So Ushauri wa Maaskafu kwa serikali unajibiwa na Mashehe na akina Mwijaku na Kitengwe? This is so interesting😃
Miaka 6 watumishi hakuongezewa mishahara,hao TEC walizurura na waraka?Viongozi wa Kiislamu Wana tatizo la kuona mbali
Hata msipoutaka ndo ushakuwaMnajisumbua hata huo mkataba hata sisi waislamu hatuutaki
Msitimie dini kutugawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtifuuano unaoendelea, ingekuwa kweli ulichoandika ndicho kinachotendeka na mapadri, kuna ambaye angeachwa kutajwa na kudhalilishwa? Kuna ambaye yupo juu ya sheria?Inawezekana kunaukweli niliwahi kusikia Padre mmoja
anapokwenda nchi za nje anabeba madini ya kutosha na akirudi anarudi na Biblia ikiwa imebeba dawa za kutosha kama ni kweli basi ni lazima wapotoshe umma uogope private sector maana itakuwa ni kuscan kwa kwenda mbele.
Hivi kwanini Serikali yangu haijajibu hoja za hawa wachonganishi? Kuna watu wasio imara watawaamini hawa warafi.
Hawa viongozi wa ccm wanajidanganya sana.Ninachoona ni kuwa waheshimiwa wengi hawajalala usingizi tokea TEC watoe waraka ule.
Wanajaribu kusoma mstari kwa mstari ili watoe majibu, dalili kubwa ni kwamba wamekwama.
Ushauri tu ni kuwa tekelezeni ya kwenye waraka wa TEC wasije wakaja na mengine magumu zaidi.
Kanisa Katoliki ni Kanisa Moja,Takatifu,Katoliki na la Mitume wa si dhehebu kwa sababu lilianzishwa na Yesu Kristo mwenyewe chini ya usimamizi wa Roho Mtakatifu kupitia Mitume kumi na mmoja.Bishop Peter Rashid Abubakar ni mojawapo ya manabii wa uongo waliotabiriwa na Yesu Kristo Mwenyewe (Mathayo 24:1-21).Hivyo waraka wake ni wa Lucifer ambaye ni adui wa mwanadamu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu(Mwanzo 1:26-29).Tujihadhari na watu wa namna hii.
🤣🤣Mashehe ubwabwa wasiojua hata kuandika majina yao,eti wanawajibu wasomi.Huo ndiyo Waraka wa Mashehe😃😃.
So Ushauri wa Maaskafu kwa serikali unajibiwa na Mashehe na akina Mwijaku na Kitengwe? This is so interesting😃
Barua ya tarehe 9 Oktoba 2025 je 2025 imeshapita au bado????Manabii wa Uongo,"Rushwa ni Adui wa Haki."
vipedo anavaa konyo na bibi akoHii ndio tofauti kati ya wavaa vipedo na RC.
Wananchi ndo wanaona mbali... Manyaraka yale yanasaidia tu kuwapa wananchi nguvukwahiyo hao wanaosoma manyaraka kwa waumini wao ndoo wanaona mbali sio?