sio kumtania,kazi ya diamond inayomwezesha kuishi ni mziki,Diamond hana kosa kwa mtizamo wake ila Shekh analo jukumu la kumkumbusha Maamuma wake kuto mtania mungu ukijuwa Kazi ya Shekh kamwe huwezi kusema Shekh anaingila
mmeconfirm wapi kuwa YEHOVA ndio jina lake halisi?au na nyie ndio wale wale?Mkuu umetisha sana kwa kumuita mungu kwa kina lake Halisi YEHOVA
Mungu muumba mbingu na nchi anaitwa Yehova kwa ninavyojua mm ila pia nawe unaweza kumuita unavyotaka mkuu kwa kuwa pia cjui Mungu unayemwabudu ww ni yupi na anaitwa nani. HUENDA MM NA WW TUNAABUDU MUNGU TOFAUT KWA HIYO USINIKATAZE MM KUMWITA MUNGU WANGU YEVOHA PIA NAWE SITAKUKATAZA JINA UTAKALOMWITA HUYO MUNGU WAKO.m
mmeconfirm wapi kuwa YEHOVA ndio jina lake halisi?au na nyie ndio wale wale?
Huyu shehe sijui kwa nini moyo hauna imani nae... I just don't like himMa sheikh wa siku hizi
wanamjua Diamond ni nani
na si ajabu watoto wao wanazijua nyimbo za diamond kuliko dini
Anafanya nini...?!mambo anayoyafanya huyu sheikh wa bakwata huko faragha ni dhambi kubwa sana afadhali hata ya diamond ambae hata si kiongozi wa dini
mkuu bora umesema lakin avata yake umeionaUngeandika tu kwa kiswahili maana ulivyobavanga kingereza acha tu...kujitia ujuaji..!
Aachwe kijana wa watu watafute chochote kwa kipaji alichopewa na Mungu.hii hasa ndo point yangu,ana mambo ya kianamke sana kufuatilia issue ndogo,
huyu diamond kabla ya mziki alikua alosto kichizi,so anataka aache mziki akale wapi?,
je wanamziki hawaruhusiwi kumuomba mungu.
Lini muumba wetu alisema mziki dhambi?
Kosa moja halihalalishi kosa lingine kua halali.hata mwizi humuomba mungu kabla ya kwenda kuiba sioni tatizo kwa mondi
Huyu Mungu wa Kiarabu (Allah)ni kiboko,hapendi watu wafurahi kidogo.Angalia Mzee Yusuph amekatazwa na huyo Mungu ila anaruhusiwa kuburudisha Waislamu ndani ya misikiti tu kwa kupiga kaswida.Akiburudisha watu nje ya hapo ni dhambi kubwa!!!.Shehe yuko sahihi,huwezi kusali kumuomba Mungu kwasababu ya kuachia vdo clip za music wako!
Uislamu unakataza huo mziki, uislamu unakataza kujichora mwilini tattoo,mwislamu anapojichora tattoo basi hata Salaa/ibada zake hazikubaliwi,na hata akifunga ramadhani ni sawa na kushinda na njaa tu coz hakuna funga bila salaa,ni mpaka atoe hiyo michoro mwilini,
Kama Diamond ameamua kuchangua maisha ya duniani na kusahau ya Akhera huo ni uamuzi wake na atakutana na hukumu yake,lakini Shehe anao wajibu wa kumkumbusha na kumkosoa mtu yeyote (na sio Diamond tu) anayeonekana kupotea njia,wapo wanamuziki wameachana na muziki baada ya kujitambua,kama vile Suma lee na Yule muimba taarabu,
Diamond kusema husali rakaa 2 kabla ya kuachia clip zake ni kuidhalilisha dini na anatakiwa ajutie hilo neno na aombe toba kwa mola wake, wote wanaosema Shehe kakosea ni wale wa upande wa pili wasioujua uislamu na kanuni zake,tujifunze kuheshimu imani za watu.
One love.
Mtu unapoleta mada humu awe anajaaribu kufafanua usemi wake kwa watu wengine,kwa mfano makosa ya Diamond yanayosemwa mimi sijayajua ni yapi na wala rakhaa sijui ni kitu gani.
one of her bussines is not to dictate how peoples should live provided he is not her son
Umesema kweliTunapendaga vyote "mafuta ya Taa" na "maji" sema tatizo matumizi ndio hatuyajui tunaishiaga kuchanganya vyote.