Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,507
watu bana kwa kukosoa tu hawajambo,Her???????????
Kiswahili ni kizuri sana
that was intentional Boss
watu bana kwa kukosoa tu hawajambo,Her???????????
Kiswahili ni kizuri sana
hii hasa ndo point yangu,ana mambo ya kianamke sana kufuatilia issue ndogo,Shehe wetu kwanini usiongelee mambo makubwa yanayolihusu taifa letu badala ya Diamond ambaye hana effect yeyote?
kama matusi yapi kwa mfano?,Na matusi yote walioimba kwenye salome bado alimuomba Allah duh
one of her bussines is not to dictate how peoples should live provided he is not her sonOne of his business is what was done!
Hata vitabu vya mungu vinaeleza umuhimu wa ndoa hasa kwa mtu mwenye uwezo wa kujikimu km diamond au dini gani wewe isiwe najisumbua tu na BuddhaSheikh alianza kwa kusema yuko tayari kumfungisha Diamond ndoa BUREE...!! Mr Chibu akujibu neno lolote.....(alimpotezea)
Naona Sheikh inamuuma kuona kijana anazidi kupaa na hali akiweka WAZI siri ya MAFANIKIO yake...!!
Sioni ubaya kwa hili la Dangote kudai anamuomba Mungu kabla ya kufanya Video zake...!! NI MUNGU MWENYEWE AMESEMA KATIKA VITABU "NIOMBENI NAMI NITAWAJIBU"
Kama Diamond anajiombea MAJANGA muacheni ATAKULA NA WA KWAO....!!
Mkuu naona neno shehe limekupagawisha mpaka ukaamua umalizie tu na 'her'. Na kumbadilisha mwenzio jinsia!Mimi sioni kosa la diamond,
huyu shehe should mind her own bussines please
Acha kutetea ujinga ndugukama matusi yapi kwa mfano?,
ushasoma wimbo ulio bora?,
kusimama kama ngongoti sio tusi,tukio la kibailogy kama kuhema,kukojoa,kukohoa,etc.
Au wewe yako haisimamagi kama ngongoti Boss?
Nani kakwambia mchawi anaomba mungu ktk shughuli em hayo mambo mengine tuambiane vizuri mnayajuaje mpk mnayazungumza bila waswasKwani hata mchawi akitaka kumroga na kumuua mtu c anamuomba mungu?
Mungu yupi anaemuomba mchawi ili kuua mtu ndiyo jibu la Diamond kumuomba mungu.
Walioona kosa lake wameongea kumrekebisha au huamini km diamond anaweza kukosea?km ww ulivyokosea kwenye kiingereza chako p3 si unaona watu walivyokukaa kooni au huoni?Upo sahihi
da yani ka hamuelewi vile ksoma basi hata picha tu hamuon rakaa zake alzoonyesha mikonon alama ?haha labdaKwa mtu wa kaliba ya nasibu abduli na kwa maisha aliyoyachagua kuishi,sidhani kama anapata hata muda wa kusali rakaa moja sembuse mbili!! Ila mungu wake anajua zaidi,tusiusemee moyo
Diamond hana kosa kwa mtizamo wake ila Shekh analo jukumu la kumkumbusha Maamuma wake kuto mtania mungu ukijuwa Kazi ya Shekh kamwe huwezi kusema Shekh anaingilaMimi sioni kosa la diamond,
huyu shehe should mind her own bussines please