Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

Na matusi yote walioimba kwenye salome bado alimuomba Allah duh
Kwani hata mchawi akitaka kumroga na kumuua mtu c anamuomba mungu?

Mungu yupi anaemuomba mchawi ili kuua mtu ndiyo jibu la Diamond kumuomba mungu.
 
Who is he to judge him?

Ila yote tisa wananiachaga hoi wale mademu ma-porn stars unakuta analiwa tgo afu alivyo mthenge analia 'oh my god'... Palepale hata kama nimesimama inalala naacha na kuangalia
 
Ndio Kazi ya shekhe;
Kukemea mambo maovu na yasiyo faa ktk jamii!!!
Muzikii na Ibada ya rakaa mbili ni vitu viwili tofauti kabisaa

Ni sawasawa na kusema;
Kabla sijaanza kunywa pombe au kuvuta madawa ya kulevya huwa masali rakaa mbili!!!!
Ktk imani husika ni sawa sawa na kuidhalalisha dini/ Imani yako.
 
Who is he to judge him?

Ila yote tisa wananiachaga hoi wale mademu ma-porn stars unakuta analiwa tgo afu alivyo mthenge analia 'oh my god'... Palepale hata kama nimesimama inalala naacha na kuangalia
 
Sio siri kaka mkubwa km umeongea hayo maneno ni kuleta utani na mungu kweli ukizingatia wewe ni Muslim na unajua allah ndani Quran anasemaje juu ya mziki,tunapenda mziki ila usimshirikishe mungu na mambo haya broo kuwa makini umekosea sana ingekuwa inahusu mzee Yusuf asingeacha mziki na kusema namrudia mungu
 
Binadamu wa sasa hivi ni werevu sana kiasi kwamba wameanza hata kumpangia Mungu cha kufanya. Diamond endelea kumuomba Mungu kwani ndiye aliyekupa hicho kipawa cha kuimba. Anayepima matendo mema si binadamu bali ni Mungu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom