Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

Naomba tusimdhihaki Shekh unapo litaja neno Swalaa ujuwe muhusika Mkuu na mwenye uwelewa mkubwa ni Shekh,...Wajibu wake Shekh nikumeelimisha Maamuma wake
Sasa Diamond ni mmoja wa maamuma Shekh anamuhusu.
 
Diamond hana kosa kwa mtizamo wake ila Shekh analo jukumu la kumkumbusha Maamuma wake kuto mtania mungu ukijuwa Kazi ya Shekh kamwe huwezi kusema Shekh anaingila
sio kumtania,kazi ya diamond inayomwezesha kuishi ni mziki,
sasa kuna kosa gani mtu akitaka kwenda kazini kupiga rakaa?,
kazi ya mwanajeshi vitani ni kuua,na mwanajeshi akitaka kwenda vitani atakua anamtania mungu akisali?
 
Diamond angechagua kuswali sala tano na kuacha muziki leo angekuwa hoi mno kimaisha hata mtaani kwake wesingemjua wengi but muzic umempa maisha mazuri vipi wanaochinja wenzao uarabuni
 
m

mmeconfirm wapi kuwa YEHOVA ndio jina lake halisi?au na nyie ndio wale wale?
Mungu muumba mbingu na nchi anaitwa Yehova kwa ninavyojua mm ila pia nawe unaweza kumuita unavyotaka mkuu kwa kuwa pia cjui Mungu unayemwabudu ww ni yupi na anaitwa nani. HUENDA MM NA WW TUNAABUDU MUNGU TOFAUT KWA HIYO USINIKATAZE MM KUMWITA MUNGU WANGU YEVOHA PIA NAWE SITAKUKATAZA JINA UTAKALOMWITA HUYO MUNGU WAKO.
 
Shehe yuko sahihi,huwezi kusali kumuomba Mungu kwasababu ya kuachia vdo clip za music wako!

Uislamu unakataza huo mziki, uislamu unakataza kujichora mwilini tattoo,mwislamu anapojichora tattoo basi hata Salaa/ibada zake hazikubaliwi,na hata akifunga ramadhani ni sawa na kushinda na njaa tu coz hakuna funga bila salaa,ni mpaka atoe hiyo michoro mwilini,

Kama Diamond ameamua kuchangua maisha ya duniani na kusahau ya Akhera huo ni uamuzi wake na atakutana na hukumu yake,lakini Shehe anao wajibu wa kumkumbusha na kumkosoa mtu yeyote (na sio Diamond tu) anayeonekana kupotea njia,wapo wanamuziki wameachana na muziki baada ya kujitambua,kama vile Suma lee na Yule muimba taarabu,

Diamond kusema husali rakaa 2 kabla ya kuachia clip zake ni kuidhalilisha dini na anatakiwa ajutie hilo neno na aombe toba kwa mola wake, wote wanaosema Shehe kakosea ni wale wa upande wa pili wasioujua uislamu na kanuni zake,tujifunze kuheshimu imani za watu.

One love.
 
hii hasa ndo point yangu,ana mambo ya kianamke sana kufuatilia issue ndogo,
huyu diamond kabla ya mziki alikua alosto kichizi,so anataka aache mziki akale wapi?,
je wanamziki hawaruhusiwi kumuomba mungu.
Lini muumba wetu alisema mziki dhambi?
Aachwe kijana wa watu watafute chochote kwa kipaji alichopewa na Mungu.
 
Mtu unapoleta mada humu awe anajaaribu kufafanua usemi wake kwa watu wengine,kwa mfano makosa ya Diamond yanayosemwa mimi sijayajua ni yapi na wala rakhaa sijui ni kitu gani.
 
Shehe yuko sahihi,huwezi kusali kumuomba Mungu kwasababu ya kuachia vdo clip za music wako!

Uislamu unakataza huo mziki, uislamu unakataza kujichora mwilini tattoo,mwislamu anapojichora tattoo basi hata Salaa/ibada zake hazikubaliwi,na hata akifunga ramadhani ni sawa na kushinda na njaa tu coz hakuna funga bila salaa,ni mpaka atoe hiyo michoro mwilini,

Kama Diamond ameamua kuchangua maisha ya duniani na kusahau ya Akhera huo ni uamuzi wake na atakutana na hukumu yake,lakini Shehe anao wajibu wa kumkumbusha na kumkosoa mtu yeyote (na sio Diamond tu) anayeonekana kupotea njia,wapo wanamuziki wameachana na muziki baada ya kujitambua,kama vile Suma lee na Yule muimba taarabu,

Diamond kusema husali rakaa 2 kabla ya kuachia clip zake ni kuidhalilisha dini na anatakiwa ajutie hilo neno na aombe toba kwa mola wake, wote wanaosema Shehe kakosea ni wale wa upande wa pili wasioujua uislamu na kanuni zake,tujifunze kuheshimu imani za watu.

One love.
Huyu Mungu wa Kiarabu (Allah)ni kiboko,hapendi watu wafurahi kidogo.Angalia Mzee Yusuph amekatazwa na huyo Mungu ila anaruhusiwa kuburudisha Waislamu ndani ya misikiti tu kwa kupiga kaswida.Akiburudisha watu nje ya hapo ni dhambi kubwa!!!.
Mtu unapoleta mada humu awe anajaaribu kufafanua usemi wake kwa watu wengine,kwa mfano makosa ya Diamond yanayosemwa mimi sijayajua ni yapi na wala rakhaa sijui ni kitu gani.
 
Kuna ka ukweli fulan hv shee ajakosea,mfano ile video ya zigo,alisali kwanza kabla ya kuiachia.
 
Back
Top Bottom