Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

Kuna mambo mengine ni ya kujitakia. Diamond angeweza kusema chochote bila kumshirikisha Mungu kwenye mambo yake ya Kidunia. Hii ni sawa na kuwa unamkosea mtu kila uchao na yeye anakunyamazia tu na kama hiyo haitoshi unapita ukijitapa kwamba unapata baraka zake kwa kero unazomfanyia.... Laana tul llah

Wakati mwingine kwa kumtumikia sheitwani na kupata kile tunachokiona ni fahari ya dunia huku tukimsahau muumba wa mbingu na ardhi tunajisahahu na kumkejeli tukiamini kwamba haitakuwa ni chukizo kwake. Ni kujidanganya bure. Mungu anaweza kugeuza mafanikio yake kichwa chini miguu juu na hawa wanaomtetea na kumsifu watakaa pembeni wakimcheka. Ndivyo ilivyo, Ukiumbuka sheitwani na wafuasi wake hukaa pembeni na kukucheka.

Kama huyo Diamond anataka kusalimika katika ghadhabu za Mwenye enzi Mungu basi atubu na kumuomba Mungu amuongoze katika njia sahihi.

Naamini alijisahau na anaweza kujisahihisha.
 
Shekhe amekurupuka. Miungu ipo mingi, alipaswa kumuuliza Diamond ni mungu yupi...
 
Shekhe amekurupuka. Miungu ipo mingi, alipaswa kumuuliza Diamond ni mungu yupi...
Amuulize kwa nini? yeye Diamond si kila siku anajinasibisha kuwa ni Muislam, kwani waislaam wana Miungu mingapi?
 
Ma sheikh wa siku hizi
wanamjua Diamond ni nani
na si ajabu watoto wao wanazijua nyimbo za diamond kuliko dini
Wasimjue Diamond kwani wanaishi sayar ya Mars?
Kila unapopita zinapigwa nyimbo zake, kwenye daladala,migahawa,hosp, masokoni n.k bado isimfanye kusikia? Au huwa unadhan masikio ya masheikh yameziba?
 
Sheikh yuko timu ya Ali Kiba.... iweje awe ananfuatilia domo kiasi hicho?
Mimi simkubali [HASHTAG]#Alhad[/HASHTAG] lakin kutokana na maelezo inaonekana alifuatwa na kuulizwa,
Angekuwa amepost kwenye social media, hapo sawa
 
Kwani kaswida sio mziki was kidunia mbona unachezwa hapa duniani na masheikh wazuri tu.
 
Nchi ya matamko...Mawaziri ofisini kwa diamond hadi masheikh wa bakwata?
 
Wenye dhambi,kila mtu anatakiwa atambue ukuu wa Mungu,hata mzinzi anapotoka salama bila ukimwi humshukuru Mungu!kipi cha ajabu kwa Diamond? Tuache ushamba!
 
Shehe amemaliza kazi, kasema yote kabisa..

Ni sawa na mzinzi anamuomba Mungu ampate mke wa mtu..!!
 
Hakika mungu anajua zaidi!! Anajua anaswali au haswali anajua anamuomba au hamuombi!! Na mm sishangai mungu huyo huyo unaemuomba ww akakunyima akampa diamond wengine ma roho yenu mungu anayajua anajua akikupa ndio kimefika hicho hakitoki tena lakini ona kwa diamond wangapi wananufaika kwa riziki anayo pata? Mm sijui mungu anajua zaidi!! Diamond ukisali omba umri, afya na uwezo wa kumkumbuka pia, utakuja kutubu mungu unaemuamini anaitwa mwenye huruma kizungu anaitwa (The Most Forgiving)huyo sheikh pia anaamini hvyo ukitubu atakusamehe tu
 
Back
Top Bottom