Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

Lakini jamani kila muomba Mungu si humpa!au wakwenu kasema mengine asiombwe?
 
Sheikh amekosa kazi ya kufanya hadi anaingilia bongo flava
 
Unanifinyia kwa ndani kumbe na shekh naye husikiliza hiz nyimbo mwafaaa
 
Hata majambazi yakitaka kuiba humuomba mungu ili wafanikiwe mipango yao,tumwache mungu atuhukumu na sio ss wana wa adam,hakuna binadam aliye mkamilifu
 
Huyo nae anataka kujifanya Mola, tangu oini mtu ukakaa na kusema juu ya mtu kusali. Inatia aibu, amuache Mola ndie ajuaye yote.
 
Days of OUR LIVES vs. FINAL DESTINATION...Me nadhani Neno ALLAH sio la mzaha kama unachokifanya hakiendani na mambo mema ya MOLA wetu na ni laana kufanya kinyume na apendavyo.!
______________________
back to our Real Spiritual lives
 
Sheikh alianza kwa kusema yuko tayari kumfungisha Diamond ndoa BUREE...!! Mr Chibu akujibu neno lolote.....(alimpotezea)

Naona Sheikh inamuuma kuona kijana anazidi kupaa na hali akiweka WAZI siri ya MAFANIKIO yake...!!

Sioni ubaya kwa hili la Dangote kudai anamuomba Mungu kabla ya kufanya Video zake...!! NI MUNGU MWENYEWE AMESEMA KATIKA VITABU "NIOMBENI NAMI NITAWAJIBU"

Kama Diamond anajiombea MAJANGA muacheni ATAKULA NA WA KWAO....!!
 
Sheikh hata jambazi kabla ya kwenda kuvunja husali kumuomba maulana amsaidie kazi iende vyema.
Mwenyezi angekuwa na roho ya binadamu basi labda hapa duniani mngebaki nyie tu masheikh. Allah humsikiliza kila kiumbe .
 
Huyu Shekhe ananichekesha sana si huyu alimfananisha uongozi Wa magu kama Wa swahaba umar bin abitwalibu sasa diamond kuswala rakaa mbili imekuwa kosa kubwa kuliko alilofanya yy na mbona sadaka anazotoa mnazipokea acheni unafiki
 
Sheikh ungekaa kimYa tu diamond ni mungu kama miungu na mizimu mingine vichwani mwa watu
 
Kwan anayemuhitaji daktari ni MTU mzima na afya yake safi au aliye mgonjwa? Hebu tuache basi vitu vingine MTU kama huyo ambaye unamuona wewe kwa mungu hafai kwa kutizama anafanya kazi gani ndani ya jamii , yakupasa kumshukuru mungu japo kwa hicho kitendo chake cha kuanini tu mungu yupo na ndie mpaji was yote hilo na imani huwa ni tendo LA furaha ambalo hata mungu hulifutahia zaid kuliko wewe uliye mwema kuendelea kulitaja jina lake. Ni mtazamo wangu tu kwa kadri ya upeo wangu.
 
Yeye kutumika na kile chama haoni kosa? Au ndiyo mambo ya boriti jichoni!
 
Back
Top Bottom