Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

Mkuu umetisha sana kwa kumuita mungu kwa kina lake Halisi YEHOVA
Mkuu, kwani Mungu ana a.k.a? Kwa upeo wangu kila jina lenye kuashiria Ukuu ni lake. Sembuse sifa na utukufu? Bila kujali lugha za mataifa.
 
Swala humtoa mtu kwenye maasi na maudhi, na humuweka sehemu salama zaidi, sasa hii ya diamond sijui swala gani
 
Huyu Mungu wa Kiarabu (Allah)ni kiboko,hapendi watu wafurahi kidogo.Angalia Mzee Yusuph amekatazwa na huyo Mungu ila anaruhusiwa kuburudisha Waislamu ndani ya misikiti tu kwa kupiga kaswida.Akiburudisha watu nje ya hapo ni dhambi kubwa!!!.
Vipi mungu wenu anaruhusu....?????
 
Hata jaambazi huwa anasali hakuna mkamilifu chini ya jua .. bad enough dhambi zote sawa
Kutukana na kuuwa nafsi ni sawa????
Kuzini mke wa mtu na kuzini binti wa mtu ni sawa????
Kuangalia kwa dharau na kumpiga mtu ni sawa???........elimu!
 
Unaambiwa just pray haijalishi wewe ni nani just pray tu. Uwe jambazi just pray uwe Malaya just pray ,pray inakusogeza karibu zaidi na Mungu na mwisho wa cku unaweza kuacha tabia zisizompendeza,just pray
 
Kutukana na kuuwa nafsi ni sawa????
Kuzini mke wa mtu na kuzini binti wa mtu ni sawa????
Kuangalia kwa dharau na kumpiga mtu ni sawa???........elimu!
Zote ni sawa sababu adhabu ni moja hutaona pepo ..
 
Ma sheikh wa siku hizi
wanamjua Diamond ni nani
na si ajabu watoto wao wanazijua nyimbo za diamond kuliko dini
Dah usishangae kesho kutwa Ramadhani Diamond akamwalika ftar shekh la mkoa na akaenda ,Sifa tele akamwagia,
.Nachoamini mimi mashekh Tumewazika walobaki ni mashehena, Na kama mashekh wapo Basi ni wakuwamulika na Tochiii
 
Hata pombe wanasema ni haramu japo hela za pombe
wanajengea nyumba za ibada.
 
Sasa utani unakujaje, mwenyewe anakiri kuwa anasali rakambili
 
Siku hizi neno mungu ni subjective! Hata Beyonce ni mungu siku hizi..!!
 
Inamaana hii, kama matendo yako hayamfurahisi Mwenyezi Mungu, rakaa unazosoma ni kama kujifurahisha tu.
 
Ni sawa na kusali na kumuomba Mungu kabla hujaenda kuzini au kunywa pombe.
 
Wakristo huwa siwaelewagi kabisa,hapa wanasema hatutakiwi kuhukumiana na wanasema hata wezi humuomba mungu.
Lakini ajabu waowao ndiyo huwahukumu wenzao wale mashoga na wasagaji wanaoona makanisani kuwa sio wakristo,yani wenzao wameoona ndoa zilizofuata taratibu za kikristo kabisa wao huwahukumu kwa kitendo hicho kuwa sio wakristo.

Ila hapa sheikh wanamwambia ana hukumu.
 
Dah.... Sheikh namkubali sana... Ila kakurupuka... Kwani kusali rakaa 2 lazima uwe muislam? Anamjua Mungu wa Diamond? [emoji13]
 
Pia Mungu tunayemwamini ukitaka kumthibitisha ni vema kuandika Mungu au MUNGU SIO mungu huyu siye Mungu huyu tunayemwabudu hivyo kama alizungumzia mungu basi ni hao mungu wengine na sio Mungu wetu MUNGU hata maandishi yanapaswa kumtofautisha kabisa na miungu
 
Back
Top Bottom