Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
KUWA MUADILIFU, USIONGEE HIVYO KWAKUA KASEMWA WA DINI YAKO, WAKATI MWAKA JANA JK KILA AKITEUA ULIKUA UNALETA MAMBO HAYA HAYA ANAYOYASEMA SHAIKH KHALIFA, JE HAKUSEMWA JK KWA UDINI HUMU?, HAMKUTOA MATAMKO CHUNGU TELE HUMU?, HIVI UTAACHA LINI KUWA KIPOFU UPANDE MMOJA NA JARIBU KUWA MUADILIFU, WAISLAM WALISAKAMWA SANA HAPA KIPINDI CHA JK, SIUNGANI NA SHAIKH KATIKA HILI JAPO LIPO, BUSARA NI KUNYAMAZA TUONI KAMA UADILIFU UNA DINI, UNAWEZA UKAWA MKATOLIKI, UKAFUKUZA WARUTHELI WOTE SERIKALINI NA BADO USIFANYE CHOCHOTE SERIKALINI ZAIDI YA KULETA MAUZA UZA TU, KIKUBWA NINACHOKIAMINI NI KUMUACHA AFANYE ANAVYOTAKA, ILI TUONE UTOFAUTI WA MDINI WA KIKRISTO NA MDINI WA KIISLAM NANI ALIFANYA UADILIFU KWA WENZIWE..........COUNT !!!! 1. MISAADA YA WAHANGA,
ALLAH KAREEM, ANAONA.
Tena waliokuwa vimbelembele kwa matamko kila siku ilikuwa ni baraza la maaskofu Tanzania lakini leo hii wanajifanya wamesahau. Tangu magufuli aingie madarakani baraza la maaskofu halijawahi kutoa tamko lolote.
Mungu anawaona lakini.
 
Shekh katoa takwimu,sasa mbona hajuna sehemu hata moja ambayo accedentally pameonyesha waislaam ni wengi kuliko wakristo?

Kila eneo wakristo ni zaidi ya 80% kama hizo takwimu ni sahihi.

Haya yanasikika yakijadiliwa huku miskitini,msisubiri mpaka mijadala iwe ya wazi ndio tuanze kutafuta mchawi.

Tanzania ya leo ina malaki ya wasomo wa kiislaam tena wenye cv zinazokubalika kimataifa
 
Muhimu ni Rais kufanyia kazi haya malalamiko,taifa hili ni la watu wa dini zote
 
hata mimi sikubaliani na suala kuwa utawala wa JPM unawapendelea wakiristo sababu kuna maswala matatu mazuri rais aliwafanyia waislamu, ambaye wakiristu haja wafanyia:
1) kwanza kashiriki Baraza la IID, na kuwaahidi mali zote za waislam zilizo porwa, watarejeshewa.
2 )waislam waliahidiwa kuwa BAKWATA, wajengewe OFISI mpya.
3) rais aliwaobea kwa Mfalme wa Morocco awajegee MSIKITI MKUUUBWA..
sasa wakiristu hakuna hata jambo moja walio fanyiwa
 
Sijafikia kuamini kuwa uteuzi hufanyika kwa kuangalia kigezo cha dini. Kama muisilam wala pia sioni namna ambavyo imani inanufaika kwa mtu wa imani flan kuwa na nafasi flani. Na wakati mwingine vyeo vinamitihani mikubwa sana hivyo sio jambo la kujipendekezea sana kwani Kuna dhuluma, rushwa, unafiki nk. Haya yote haya na tija kwa waumini hivyo hakuna hoja ya kubembelezea hivyo vyeo.
 
Dini hizi kweli wazungu na waarab ni nuksi kuna watu ni anti JPM lakini kwenye dini wamekua wakali na kuna watu ni CCM ila wanaunga mkono hoja kwa vile imeguswa dini pendwa;ule uzi wa IQ vs wafia dini hapa ndio sehemu nzur kwa research
 
Kuna kitu mm nimekigundua niko tayar kukosolewa, madereva wengi na makonda nchi hii ni muslims, wanamuziki wengi nchi hii n muslims, wachuuzi wengi na madalali nchi hii n muslims, wacheza mpira wengi nchi hii ni muslims, ofisi nyingi za serikali na taasisi zake zinaendeshwa na christians.......
Umesahau na asilimia 99% waliofukuzwa na serikali mwaka huu kwa kufoji vyeti ni wakristo.
 
Nadhani Kuna mahali ndugu zangu wakristo wanakosea. Kwanza inaonekana kuwa waisilam wanapenda kulalamika,hata pale wanapotoa hoja za msingi bado watu wanasema wanapenda kulalamika, hivi hili ni sawa kweli?
Hivi nani asiye jua kuwa wakati wa ndalichako watoto wa kiisilamu walifeli somo la dini kwakuwa licha ya utaratibu wa kutafuta wastani kubadilika Mfumo wa kompyuta haukubadilika ndio maana matokeo ya kawa mabaya vile? Hata hivyo udhaifu huo uligundulika baada ya waisilam kupaza sauti na kukataa yale matokeo. Je wa singesema (kunakuoitwa kulalamika) kasoro hizo zingejulikanaje? Halafu watu wanasema wanalalamika hata kwenye elimu wao wanalalamika hivi hapo Kuna malalamishi au hoja?
 
wanajisahau kuwa hapa duniani ni mapito tu,utakufa cheo utakiacha,kitimoto utaiacha,bia utaziacha,
na utaenda kujibu mbele ya mungu kama alikutuma udhulumu pesa za rambirambi ili ukazinywee corner bar
Mambo ya kwa Mungu tutajua huko tukifika,tupo duniani acha tukamue vya hapa kwanza.
 
Mbona kaongea kwa facts? Nafikiri anayepinga naye alete data hapa..
Fairly Speaking..., tukitumia comment tu za huu Uzi bado hatutapata uwiano uliosawa kati ya waislam na wakristo kwanzia numbe, hoja ideology na kujitambua.
 
nimeandika nikibase mnavyojitetea kuwa nyie mmesoma ndo maana mmechaguana wengi kukamata madaraka,nikasema huo usomi mbona kama ni hewa?,usomi gani mtu hawezi kuconstruct even a single sentense ,kwamaana kuwa usomi ama sijui wamehitimu vigezo ni kisingizio tu,bali kuna ulteriol motive behind,
maybe like,"IT IS NOW OUR TURN TO EAT".
Rais kafukuza zaidi ya watumishi 17000 hawana vyeti, kafungua mahakama ya mafisadi likely ni hao hao sasa hawa si matapeli hawa. Tutawaaminj vipi kutuendenshea nchi yetu?
 
Wakristo wanapaswa waelewe kuwa wao ndio wanaongoza kwa kulalamika kila siku. Wakati wa JK licha ya kuwa idadi kubwa ya viongozi ilikuwa ni wakikristo lakini bado hata pale alipoteuliwa muisilam mmoja JK aliitwa mdini. Hili sio tu kwenye mitandao hata katika mazungumzo ya kila siku. Kuna watu nawaheshimu sana lakini kwa bahati mbaya nao walikuwa kwenye kundi hili.

Leo hii teuzi zinazofanywa na mkuu zinaonekana zipo sawa. Binafsi sioni tatizo ila nawakumbusha tu namna mnavoziona hizi kuwa fair basi rudini nyuma njisahihishe.

Wakati wa JK viongozi wa dini za kikristo walikuwa na matamko ya kuirekebisha nchi (kama hyo ndiyo yalokuwa malengo yao) leo hii hakuna anayesikika akitoa hata ushauri wa waziwazi juu ya changamoto kadhaa nchi inazopitia. Sinahakika ni kitu gani kimewasibu.

Wakristo,pale ambapo madaraka kapewa muisilam akikosea,kushindwa,kuharibu,kutotimiza wajibu au namna yoyote ile inayoathiri utendaji kazi wao hawasemi flani kakosea, wanamhusisha na dini yake lakini kitu hicho hicho akikidanya mkristo huwezi sikia akiwa treated hivyo. JK sio tu aliitwa mdini bali hata kwenye utendaji wake alihusishwa sana na dini yake. Leo hii hakuna anayemusisha mkuu na dini yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom