Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
Wasiopenda wanalalamika!!wagalatia na vyeo vya kidunia! wanapendaaaaaa,
Ni ajabu kweli.
Wasiopenda wanalalamika!!wagalatia na vyeo vya kidunia! wanapendaaaaaa,
Kulia sio suluhisho ni lazima aambiwe au akumbushwe kama amejisahau, atambue kwamba anaweka mazingira ya kuingiza nchi kwenye sokomoko siku zijazo.75% ya wote ni kanda ya ziwa na Hamna jinsi lazima watoke huko maana yeye ni wa huko wengine mlie tu
kitu kingine jiulize kwani kina Pengo,malasusa na wengine wa aina hiyo huwa wanahaha sana ukikaribia uchaguzi mkuuKuna kitu mm nimekigundua niko tayar kukosolewa, madereva wengi na makonda nchi hii ni muslims, wanamuziki wengi nchi hii n muslims, wachuuzi wengi na madalali nchi hii n muslims, wacheza mpira wengi nchi hii ni muslims, ofisi nyingi za serikali na taasisi zake zinaendeshwa na christians.......
Si kila fikra ipo sahihi.Nafikiri huyu sheikh Khamis ni wa Answaar sio wa BAKWATA hivyo hatanufaika na zile ofisi walizojengewa.
Yamakagashi,Ni bora nikasome hadithi za kina Tola na kula gizani au bulicheka na wengineo kuliko kupitia hiyo tovuti yako
Hakuna chochote cha manufaa nitakachopata humo zaidi ya sumu na chuki zako za kidini ambazo kwangu hazina maana yoyote
Una uhakika mimi ni mpya humu jamvini au kisa umeona ID ya juzi basi unajifariji
Wabilah Tawfiq
Aslaam Aleykum
Hatujafanya sensa ya kujua watanzania dini zao, ni kosa kusema wakristo ni wengi zaidi ya wengine, hakuna ushahidi. Kitu muhimu ni kuwa uteule uwe na misingi imara na ambayo italeta amani na usawa.Swala siyo Udini, Swala ni shule. Fanya sampling ndogo tu Angalia sasa hivi hata kwenye majina ya wahitimu wa shule za msingi na sekondari. Chunguza hayo majina mengi ni ya Dini gani? Halafu rudi kwenye takwimu, wakristo na waislam wapi ni wengi? Watu wamekaa kuchunguza udini Bila hoja za Msingi.
Hata wapinzani wanalilia uadilifu wa Kikwete na yeye Kikwete aliwaambia mtanikumbuka.Mnadekaka sana nyie,mbona wakt kikwete yupo alikuwa anateua anavyotaka hata huwez waskia wakrsto wakisema chochote
The Book,Mbona sioni udini kwenye andiko lako mzee?
huyu Hamza alikuwa dini gani?
Vyeti ni vyao kweli?Swala siyo Udini, Swala ni shule. Fanya sampling ndogo tu Angalia sasa hivi hata kwenye majina ya wahitimu wa shule za msingi na sekondari. Chunguza hayo majina mengi ni ya Dini gani? Halafu rudi kwenye takwimu, wakristo na waislam wapi ni wengi? Watu wamekaa kuchunguza udini Bila hoja za Msingi.
Kama Gwajima na wengineo au sio?Nafikiri ni mmoja wa wale mashehe waliokuwa wakijazana Monduli kumchuna Lowassa.
Nimekuuliza swali la mapinduzi ya Zanzibar walifanya kina nani ? Na kwanini Zanzibar haijawahi kuwa na raisi mkristo ?Yamakagashi,
Kama nilivyokueleza hapo mwanzo kuwa hulazimishwi kunisoma.
Nimekuelekeza kwenye tovuti yangu kwa kuniuliza kuhusu Zanzibar.
Ikiwa wewe ni mwenyeji hapa hivyo ni vizuri.
sasa mkuu usomi gani kama sio hewa,mtu profesa hajui hata kuunga sentensi za kingereza amesoma nini huyo?Ingekuwa vyema kama wangeuliza,mbona wenzetu wenye diploma ni wachache kwenye awamu ya 5?
Ilikuwaje baada ya uhuru?The Book,
Hakika hapakuwa na dini.
Hayo yalikuja baada ya uhuru kupatikana.