Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hivi kweli hamna wapagani hii nchi?mbona hawalalamiki?mara ya mwisho alikuwa kingunge,
 
sasa mkuu usomi gani kama sio hewa,mtu profesa hajui hata kuunga sentensi za kingereza amesoma nini huyo?
Chukulia kingereza cha dr joseph lwaitama,linganisha ni cha diamond mhitimu wa darasa la tano,utakuta cha diamond kinaeleweka kuliko huyo dr wenu,usomi usomi gani huu,mbona sasa wanavurunda,si waapply usomi wao nchi iende?
umeandika nini mkuu?

nasema sio sawa kuuliza kuhusu 'udini' serikalini,wasio amini uwepo wa mungu mbona hawaulizi watu wao?
 
Vyeti ni vyao kweli?
Sasa unafikiri vya nani mkuu?

Je walikuwa wanasoma kweli darasani kwa miaka iliyopaswa?

Je perfomaance yao darasani ilikuaje?

Hebu jibu hayo kisha tuendelee.
 
umetumwa wewe si bure ndg mleta uzi. mbona huongelei idadi ndogo ya wanawake ktk uteuzi wa JPM kama unaangalia usawa?. Aidha Hayo ni majina tu wengine pengine wanaabidu miungu.
 
Kikwete hakufika hata Waislam juu ya 40%serikalini in comparison to Christians acha ku-underate this situation uteuzi wote Waislam kuwa less than 15%
ratio ya wakati wa jk ilikuwa approx 60%kwa 40%,watu hawakuona tatizo sana,

sasa ni karibu 95 % kwa 5%,very unfair
 
huyu sheikh akamatwe na atiwe ndani ni mchochezi, mdini na dhaifu kiakili.
Matatizo ya africa tunapuuza vitu hadi vita itokee ndiyo tuna kumbuka,ethiopia tigre ni 6% wanatawala bunge 100%,sasa imeanza kuwaka,sudan ilikuwa hivyo,central afrika,somalia,kama tunapenda amani maoni yeyote ya ukabila na udini lazima yapimwe kama yana ukweli na yashughulikiwe haraka.
 
Ilo liko wazi kuna ka harufu ka udini na ukabila serikalini....

Hata kama Mimi ni Catholic lakini naona kwa mbali ......
naona iko haja hata kwenye timu ya taifa (taifa stars) tubalance wakristo na waislamu. Kigezo cha nani ni mchezaji mzuri isiwe issue.....
 
Hivi na wabunge nao wapi wengi?
Waislamu au wakristo?

Yote tisa, kumi kujadili udini ni stress tu za maisha. Maisha magumu jamani, mweh.
 
majina mengi ni ya kienyeji utajuaje dini? mfano nimteue Weja Lutambi Maganga .
 
Mtoa mada yupo sahihi kbsa!
Nchi hii haingozwi kidini naona mapovu yanawatoka utazani mnachotetea ni haki yenu ya msingi nafasi za kuteuliwa nako mnalazmisha uchaguliwe kwa kigezo cha dini, kazi zipo nyingi zikitangazwa nafasi ombeni sifa na vigezo si mnavyo???
 
Inabidi afahamu kuwa na waislamu pia Elimu imewapita kando kidogo, mh rais anateua kwa kuzingatia proffesion ya mtu na sio dini ya mtu anapaswa kutambua hilo.
 
Hakika Rais wetu Mtukufu sana kazidi kwa upendeleo...! Leo hii ukiinia Ikulu imejaa wasukuma tupu. Kama unapisha nenda kule WAMA, annex anapoishi Mtukufu sana rais, ni ukabila na ukanda tu.

Hili la Udini naona amefanikiwa sana. Tanzania Waislamu na Wakristo idadi inakaribiana. Hata kwenye uteuzi angefanya kwa Kukaribiana, sio kwa kuachana huko.

JK aliteu waungwana wasiokuwa na uwezo kabisa, japo wana vyeti Kama Dr. Shukuru Kawambwa, Hawa Ghasia, Mustafa Mkulo n.k Aliwabeba beba ivo ivo mpaka kipindi chake kikaisha. Atleast waungwana waonekane, japo hawakuwa na uwezo kiivyoo. JPM naye afanye kama JK kuepusha malumbano na waungwana sana
 
Sidhani kama Rais huteua watu kwa kuhoji dini zao. Pia kuna ukweli kuwa taasisi za elimu za Kikristo zimekuwa zikijitahidi sana kuendeleza watoto kielimu tofauti na taasisi nyingi za Kiislamu ambazo zimekuwa zikihimiza zaidi elimu ya Madrassa na lugha ya Kiarabu.
We mwenyewe unajiita " blood of Jesus " unafikiri tutegemee utaandika nini hapa.
Hizo taasisi unazosema siku hizi waislam wengi tu hupeleka watoto wao kupata elimu ya kidunia sasa Sijaelewa bado mantiki ya maoni yako.
 
umeandika nini mkuu?

nasema sio sawa kuuliza kuhusu 'udini' serikalini,wasio amini uwepo wa mungu mbona hawaulizi watu wao?
nimeandika nikibase mnavyojitetea kuwa nyie mmesoma ndo maana mmechaguana wengi kukamata madaraka,nikasema huo usomi mbona kama ni hewa?,usomi gani mtu hawezi kuconstruct even a single sentense ,kwamaana kuwa usomi ama sijui wamehitimu vigezo ni kisingizio tu,bali kuna ulteriol motive behind,
maybe like,"IT IS NOW OUR TURN TO EAT".
 
Nashindwa nikupongezaje kwa fact ulizoshusha apa, mwenye macho na uelewa kamili ataelewa. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Facts gani?
Tanzania ina mikoa 135? Huoni kama ameandika andika tu?
Au wewe ndio yeye kwa ile ID yako ya 7?
 
nimeandika nikibase mnavyojitetea kuwa nyie mmesoma ndo maana mmechaguana wengi kukamata madaraka,nikasema huo usomi mbona kama ni hewa?,usomi gani mtu hawezi kuconstruct even a single sentense ,kwamaana kuwa usomi ama sijui wamehitimu vigezo ni kisingizio tu,bali kuna ulteriol motive behind,
maybe like,"IT IS NOW OUR TURN TO EAT".
kwani kuna waislam wangapi serikalini,wakristo wangapi na wapagani wangapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom