Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kwa kweli mbali ya kua muislam, kuna haja ya waislam kuwasomesha watoto wao madrasa na pia shuleni wakasome elimu ya kawaida. La sivyo tutaishia kulalama na kuibua hoja zczo na mantiki. Unakuta watto wanaenda kusoma Qur'an kila siku badili ya kutenga mda wao pia kusoma elimu dunia. Sasa ukimuliza huyo sheikh mtto wake kasoma mpk wapi atakwambia kahifadhi juzuu.

zuu
Wewe hajitambui.. na kwa maneno yako umertad
 
Hiyo si kweli kwamba kuna ubaguzi wa kikanda na kidini. Rais alipotangaza kuwa Mfalme wa Morroco amekubali kuwajengea waislamu Msikiti mkubwa sana Dar. Si waislamu walifurahi sana? Na wakristo walishangazwa sana na wakanyamza?
Na kama ingekuwa ni wakristo wanajengewa Kanisa KUBWA si kelele ingekuwa kibao?

Sasa basi ni lazima tujue TAKWIMU za DINI hizi mbili zilivyo nchini mwetu:
WAKRISTO ni 61.4%
WAISLAMU 35.2%
Kati ya hawa WAISLAMU 35.2% Wengi walienda Madrassa zaidi kuliko masomo ya elimu ya kawaida kabla ya serikali kuhimiza umuhimu wa elimu!

Wazazi wa watoto wa Kiislamu waliojua UMUHIMU wa ELIMU waliwapeleka watoto wao shule za dini ya Kikristo wakasomehuko nao hawakuwa wengi walikuwa ni WACHACHE.
Hivyo basi kati ya WAKRISTO 61.4% wengi waliosoma ni wale waliotoka mahali WAMISIONARY WALIKUBALIKA na kuanza kujenga shule.Hivyo wengi WAKABAHATIKA kusoma zaidi.

Na Sehemu zilizokuwa hazikufikiwa na wamisionari zilibaki nyuma kimasomo bila KUJALI DINI ama UKANDA. Hivyo wengi HAWAKUSOMA!
Hiyo ndio hali halisi iliyoleyeleza UWIANO kuwa hivyo MPAKA LEO!

SIDHANI kama rais Magufuli ANABAGUA.Ila anaangalia Qualifications na si UDINI! ama UKANDA.
Watanzania wote wanapewa haki sawa.
Kusema kanda ya ziwa inapendelewa si kweli Ukanda wa KUSINI una MAWAZIRI wengi zaidi. Hii ikiwa ni pamoja na WAZIRI wetu MKUU Kassimu Majaliwa ambaye ni MWISLAMU na mke wake Mary ambaye ni Mkristo.
Hizi kelele za Sheikh Khalifa HAZINA msingi wowote!
Dah pole sana... uko nje ya mada kabisa

Unaleta mambo ya misaada, na historia hapa..!?
 
Kwa masiku kadhaa Sheikh Khalifa amekuwa akisikika na kauli yake ya kumtuhumu Rais Magufuli kuwajaza Wakristo wengi kwenye nafasi zake za uteuzi.

Aidha Sheikh huyo aliongezea kwa kusema kuwa licha ya uwepo wa suala hili la udini Rais Magufuli ameweka wazi upendeleo wake wa kikanda ambapo watu wa kanda ya Ziwa wameonekana kung’ara kwa kuteuliwa katika nafasi za uongozi kwa wingi zaidi kuliko watu wa kanda yoyote hapa nchini.

Akizungumzia suala hilo na waandishi wa gazeti la Mizani la November 11, 2016 Sheikh Khalifa Khamis alieleza kuwa katika nafasi 10 walizotumbuliwa Waislam ni nafasi 1 tu ndiyo aliyopewa Muislam.

Sheikh Khalifa alizidi kufafanua kuwa Wenyeviti wa bodi mbalimbali walioteuliwa na Rais Magufuli 18 ni Wakristo na 1 tu ndiyo Muislam.

Makatibu Tawala wa Wilaya Wakristo ni 81% huku Waislam wakiambulia 19% tu. Wakuu wa wilaya Wakristo ni 71% na Waislam ni 21%.

Makatibu Tawala wa mikoa 137 ni Wakristo na 16 tu ndiyo Waislam. Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya na majiji Wakristo ni 185 na Waislam ni 36 tu.

Kitu pekee anachopaswa kutambua Sheikh Khalifa Khamis ni kwamba Rais Magufuli hateui mtu kwa kuangalia dini bali anaangalia taaluma na uwezo wa kuongoza.

Kukiwa na kitengo kinachohitaji uwakilishi wa dini hapo ndo tunapaswa kuangalia usawa wa uwakilishi wa kidini. Pia anapaswa kutambua kuwa Tanzania haina Wakristo na Waislam tu, kuna watu wa dini tofauti tofauti na wasio na dini pia, je hao amewaweka kwenye kipengele gani?

Hizi ni njama tu za kutaka kumrudisha nyuma Rais wetu kipenzi cha Watanzania wengi. Watanzania tunahitaji MAENDELEO na AMANI tu, mambo ya dini tunayaacha kwenye nyumba za ibada. Tunapofika kwenye sekta za umma hatusemi tena mambo ya dini zetu, bali kauli yetu huwa ni moja tu nayo ni HAPA KAZI TU.

Ni jambo la kusikitisha sana kuona kiongozi mkubwa wa dini akitoa tuhuma za uongo na uzushi kwa Kiongozi Mkuu wa wa nchi yetu.

Sheikh Khalifa anakiuka misingi ya imara ya taifa letu iliyowekwa na baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere ya kupiga vita udini na ukabila.

Udini na ukabila ni mbegu mbaya sana ambayo siyo tu haifai kupandwa kwenye ardhi yetu bali haipaswi hata kutunzwa majumbani mwetu, isije mea hata kwa bahati mbaya.

Mataifa mengi yameshuhudia machafuko na mauaji ya kutisha kwa udini na ukabila. Hakuna hata Mtanzania mmoja anayetamani kuona mfano wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda au vita ya Biafra Nigeria ikitokea hapa kwetu.

Kama hizo takwimu za huyo sheikh ni sahihi basi ni kweli kuna tatizo. Idadi ya Waislamu ni kubwa kidogo kuliko ya Wakristo, hapo hakuna uwiano. Halafu pia hicho kisingizio chako kuwa hizo nafasi zinatolewa kutokana na uwezo wa kuzitumikia hizo nafasi peke yake sio kweli, kuna Wailsam wengi pia wamesoma.
 
Kama hizo takwimu ni za kweli, basi kuna tatizo. Ni kweli nafasi mbalimbali hutegemea uwezo na mahitaji lakini uongozi unahitaji hekima.

Mimi ni mkristo mkatoliki, lakini ni lazima niseme wazi kuwa ni muhimu sana kwaajili ya Umoja wa Taifa letu usio na shaka, makundi yetu ni muhimu kuakisiwa katika kila jambo. Hatu-balance uongozi kwa misingi ya dini, makabila au ukanda lakini hekima ya kiongozi isaidie kuleta mchanganyiko ambao hautaibua maswali. Hiyo ni kwa faida ya sisi sote.

Kwa kuheshimu uwiano mzuri katika Taifa letu, mpaka tumeweka wabunge wa kuteuliwa wanawake. Kama tunaona umuhimu wa uwiano wa jinsia, kwa nini tusione pia umuhimu wa uwiano wa makundi mbalimbali katika jamii yetu?
 
Kule kwetu kuna msemo unasema "Bora nguo zichakae utapeleka kwa fundi zipigwe kiraka, sio akili".
Watanzania wengi tumefika mbali sana, mawazo ya waliowengi yamejikita kwenye vitu visivyo na misingi yeyote.

yaani kwa akili hiz
 
Hiyo si kweli kwamba kuna ubaguzi wa kikanda na kidini. Rais alipotangaza kuwa Mfalme wa Morroco amekubali kuwajengea waislamu Msikiti mkubwa sana Dar. Si waislamu walifurahi sana? Na wakristo walishangazwa sana na wakanyamza?
Na kama ingekuwa ni wakristo wanajengewa Kanisa KUBWA si kelele ingekuwa kibao?

Sasa basi ni lazima tujue TAKWIMU za DINI hizi mbili zilivyo nchini mwetu:
WAKRISTO ni 61.4%
WAISLAMU 35.2%
Kati ya hawa WAISLAMU 35.2% Wengi walienda Madrassa zaidi kuliko masomo ya elimu ya kawaida kabla ya serikali kuhimiza umuhimu wa elimu!

Wazazi wa watoto wa Kiislamu waliojua UMUHIMU wa ELIMU waliwapeleka watoto wao shule za dini ya Kikristo wakasomehuko nao hawakuwa wengi walikuwa ni WACHACHE.
Hivyo basi kati ya WAKRISTO 61.4% wengi waliosoma ni wale waliotoka mahali WAMISIONARY WALIKUBALIKA na kuanza kujenga shule.Hivyo wengi WAKABAHATIKA kusoma zaidi.

Na Sehemu zilizokuwa hazikufikiwa na wamisionari zilibaki nyuma kimasomo bila KUJALI DINI ama UKANDA. Hivyo wengi HAWAKUSOMA!
Hiyo ndio hali halisi iliyoleyeleza UWIANO kuwa hivyo MPAKA LEO!

SIDHANI kama rais Magufuli ANABAGUA.Ila anaangalia Qualifications na si UDINI! ama UKANDA.
Watanzania wote wanapewa haki sawa.
Kusema kanda ya ziwa inapendelewa si kweli Ukanda wa KUSINI una MAWAZIRI wengi zaidi. Hii ikiwa ni pamoja na WAZIRI wetu MKUU Kassimu Majaliwa ambaye ni MWISLAMU na mke wake Mary ambaye ni Mkristo.
Hizi kelele za Sheikh Khalifa HAZINA msingi wowote!
Acha kupotosha. Hizo takwimu za idadi ya waisilam na wakristo umepita wapi?
 
Kwa masiku kadhaa Sheikh Khalifa amekuwa akisikika na kauli yake ya kumtuhumu Rais Magufuli kuwajaza Wakristo wengi kwenye nafasi zake za uteuzi.

Aidha Sheikh huyo aliongezea kwa kusema kuwa licha ya uwepo wa suala hili la udini Rais Magufuli ameweka wazi upendeleo wake wa kikanda ambapo watu wa kanda ya Ziwa wameonekana kung’ara kwa kuteuliwa katika nafasi za uongozi kwa wingi zaidi kuliko watu wa kanda yoyote hapa nchini.

Akizungumzia suala hilo na waandishi wa gazeti la Mizani la November 11, 2016 Sheikh Khalifa Khamis alieleza kuwa katika nafasi 10 walizotumbuliwa Waislam ni nafasi 1 tu ndiyo aliyopewa Muislam.

Sheikh Khalifa alizidi kufafanua kuwa Wenyeviti wa bodi mbalimbali walioteuliwa na Rais Magufuli 18 ni Wakristo na 1 tu ndiyo Muislam.

Makatibu Tawala wa Wilaya Wakristo ni 81% huku Waislam wakiambulia 19% tu. Wakuu wa wilaya Wakristo ni 71% na Waislam ni 21%.

Makatibu Tawala wa mikoa 137 ni Wakristo na 16 tu ndiyo Waislam. Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya na majiji Wakristo ni 185 na Waislam ni 36 tu.

Kitu pekee anachopaswa kutambua Sheikh Khalifa Khamis ni kwamba Rais Magufuli hateui mtu kwa kuangalia dini bali anaangalia taaluma na uwezo wa kuongoza.

Kukiwa na kitengo kinachohitaji uwakilishi wa dini hapo ndo tunapaswa kuangalia usawa wa uwakilishi wa kidini. Pia anapaswa kutambua kuwa Tanzania haina Wakristo na Waislam tu, kuna watu wa dini tofauti tofauti na wasio na dini pia, je hao amewaweka kwenye kipengele gani?

Hizi ni njama tu za kutaka kumrudisha nyuma Rais wetu kipenzi cha Watanzania wengi. Watanzania tunahitaji MAENDELEO na AMANI tu, mambo ya dini tunayaacha kwenye nyumba za ibada. Tunapofika kwenye sekta za umma hatusemi tena mambo ya dini zetu, bali kauli yetu huwa ni moja tu nayo ni HAPA KAZI TU.

Ni jambo la kusikitisha sana kuona kiongozi mkubwa wa dini akitoa tuhuma za uongo na uzushi kwa Kiongozi Mkuu wa wa nchi yetu.

Sheikh Khalifa anakiuka misingi ya imara ya taifa letu iliyowekwa na baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere ya kupiga vita udini na ukabila.

Udini na ukabila ni mbegu mbaya sana ambayo siyo tu haifai kupandwa kwenye ardhi yetu bali haipaswi hata kutunzwa majumbani mwetu, isije mea hata kwa bahati mbaya.

Mataifa mengi yameshuhudia machafuko na mauaji ya kutisha kwa udini na ukabila. Hakuna hata Mtanzania mmoja anayetamani kuona mfano wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda au vita ya Biafra Nigeria ikitokea hapa kwetu.

POV SASA WEWE NDIO MSEMAJI WA MAGOGONI ? AAA HOMA YA AKILI NI MBAYA
 
Rais akiwa mkristo akiteua bhasi ameangalia vigezo

Rais akiwa Muislam akiteua/anapendelea Waislam wenzake

WaTz Mungu anatuona, si kwa unafiki huu
Mkuu Mrema ana vigezo gani?
 
Duh MAGUFULI lazima aangalie hili suala kwa jicho la tatu.. vinginevyo atashindwa kuongoza hii NCHI..
 
Hiyo si kweli kwamba kuna ubaguzi wa kikanda na kidini. Rais alipotangaza kuwa Mfalme wa Morroco amekubali kuwajengea waislamu Msikiti mkubwa sana Dar. Si waislamu walifurahi sana? Na wakristo walishangazwa sana na wakanyamza?
Na kama ingekuwa ni wakristo wanajengewa Kanisa KUBWA si kelele ingekuwa kibao?

Sasa basi ni lazima tujue TAKWIMU za DINI hizi mbili zilivyo nchini mwetu:
WAKRISTO ni 61.4%
WAISLAMU 35.2%
Kati ya hawa WAISLAMU 35.2% Wengi walienda Madrassa zaidi kuliko masomo ya elimu ya kawaida kabla ya serikali kuhimiza umuhimu wa elimu!

Wazazi wa watoto wa Kiislamu waliojua UMUHIMU wa ELIMU waliwapeleka watoto wao shule za dini ya Kikristo wakasomehuko nao hawakuwa wengi walikuwa ni WACHACHE.
Hivyo basi kati ya WAKRISTO 61.4% wengi waliosoma ni wale waliotoka mahali WAMISIONARY WALIKUBALIKA na kuanza kujenga shule.Hivyo wengi WAKABAHATIKA kusoma zaidi.

Na Sehemu zilizokuwa hazikufikiwa na wamisionari zilibaki nyuma kimasomo bila KUJALI DINI ama UKANDA. Hivyo wengi HAWAKUSOMA!
Hiyo ndio hali halisi iliyoleyeleza UWIANO kuwa hivyo MPAKA LEO!

SIDHANI kama rais Magufuli ANABAGUA.Ila anaangalia Qualifications na si UDINI! ama UKANDA.
Watanzania wote wanapewa haki sawa.
Kusema kanda ya ziwa inapendelewa si kweli Ukanda wa KUSINI una MAWAZIRI wengi zaidi. Hii ikiwa ni pamoja na WAZIRI wetu MKUU Kassimu Majaliwa ambaye ni MWISLAMU na mke wake Mary ambaye ni Mkristo.
Hizi kelele za Sheikh Khalifa HAZINA msingi wowote!
Hapo kwenye suala la kujengewa msikiti na Mfalme wa Morocco wakristo hawakunyamaza kabisa walipiga kelele sana na ushahidi upo hapa JF. Acha kudanganya watu hapa wewe.
Halafu nikwambie tu waislam hawakuomba kujengewa msikiti.Mfalme na magufuli wamejisikia kwa mapenzi yao binafsi.
 
Kwa masiku kadhaa Sheikh Khalifa amekuwa akisikika na kauli yake ya kumtuhumu Rais Magufuli kuwajaza Wakristo wengi kwenye nafasi zake za uteuzi.

Aidha Sheikh huyo aliongezea kwa kusema kuwa licha ya uwepo wa suala hili la udini Rais Magufuli ameweka wazi upendeleo wake wa kikanda ambapo watu wa kanda ya Ziwa wameonekana kung’ara kwa kuteuliwa katika nafasi za uongozi kwa wingi zaidi kuliko watu wa kanda yoyote hapa nchini.

Akizungumzia suala hilo na waandishi wa gazeti la Mizani la November 11, 2016 Sheikh Khalifa Khamis alieleza kuwa katika nafasi 10 walizotumbuliwa Waislam ni nafasi 1 tu ndiyo aliyopewa Muislam.

Sheikh Khalifa alizidi kufafanua kuwa Wenyeviti wa bodi mbalimbali walioteuliwa na Rais Magufuli 18 ni Wakristo na 1 tu ndiyo Muislam.

Makatibu Tawala wa Wilaya Wakristo ni 81% huku Waislam wakiambulia 19% tu. Wakuu wa wilaya Wakristo ni 71% na Waislam ni 21%.

Makatibu Tawala wa mikoa 137 ni Wakristo na 16 tu ndiyo Waislam. Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya na majiji Wakristo ni 185 na Waislam ni 36 tu.

Kitu pekee anachopaswa kutambua Sheikh Khalifa Khamis ni kwamba Rais Magufuli hateui mtu kwa kuangalia dini bali anaangalia taaluma na uwezo wa kuongoza.

Kukiwa na kitengo kinachohitaji uwakilishi wa dini hapo ndo tunapaswa kuangalia usawa wa uwakilishi wa kidini. Pia anapaswa kutambua kuwa Tanzania haina Wakristo na Waislam tu, kuna watu wa dini tofauti tofauti na wasio na dini pia, je hao amewaweka kwenye kipengele gani?

Hizi ni njama tu za kutaka kumrudisha nyuma Rais wetu kipenzi cha Watanzania wengi. Watanzania tunahitaji MAENDELEO na AMANI tu, mambo ya dini tunayaacha kwenye nyumba za ibada. Tunapofika kwenye sekta za umma hatusemi tena mambo ya dini zetu, bali kauli yetu huwa ni moja tu nayo ni HAPA KAZI TU.

Ni jambo la kusikitisha sana kuona kiongozi mkubwa wa dini akitoa tuhuma za uongo na uzushi kwa Kiongozi Mkuu wa wa nchi yetu.

Sheikh Khalifa anakiuka misingi ya imara ya taifa letu iliyowekwa na baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere ya kupiga vita udini na ukabila.

Udini na ukabila ni mbegu mbaya sana ambayo siyo tu haifai kupandwa kwenye ardhi yetu bali haipaswi hata kutunzwa majumbani mwetu, isije mea hata kwa bahati mbaya.

Mataifa mengi yameshuhudia machafuko na mauaji ya kutisha kwa udini na ukabila. Hakuna hata Mtanzania mmoja anayetamani kuona mfano wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda au vita ya Biafra Nigeria ikitokea hapa kwetu.
Zanzibar mbona hajazungumzia, vipi huko? Huyu jamaa ni mnafiki sana
 
Hapo kwenye suala la kujengewa msikiti na Mfalme wa Morocco wakristo hawakunyamaza kabisa walipiga kelele sana na ushahidi upo hapa JF. Acha kudanganya watu hapa wewe.
Halafu nikwambie tu waislam hawakuomba kujengewa msikiti.Mfalme na magufuli wamejisikia kwa mapenzi yao binafsi.
Nilimaanisha. Wakristo walipiga kelele na kunyamaza. kwa sababu rais hakustahili kutangaza jambo la kidini toka Ikulu.
Hayo yalishapita ila turudi kwenye mada yetu hii ya madai ya imbalance kati ya Waislamu na Wakristo katika teuzi kama nilivyoelezea hapo!.
Nashukuru
 
Hizi data za kusema waislam wengi wamesoma madrasa ya dini zaidi kuliko elimu ya kidunia ni za miaka 20 au 30 iliyopita.leo hii huwezi kuzungumzia idadi ya waislam wasomi kwa kigezo hicho hata kama wakristo walisoma ni wengi zaidi ya waislam.
Truth to be told.something must be done here.
 
nimeenda page kwa page,post kwa post kutafuta comment yoyote ya Faiza Foxy,mpaka sasa sijaona hata moja.

hapana si kawaida....kuna kitu hakiko sawa.
Amekwisha habari yake huyo anaisoma number mda huu
 
Hizi data za kusema waislam wengi wamesoma madrasa ya dini zaidi kuliko elimu ya kidunia ni za miaka 20 au 30 iliyopita.leo hii huwezi kuzungumzia idadi ya waislam wasomi kwa kigezo hicho hata kama wakristo walisoma ni wengi zaidi ya waislam.
Truth to be told.something must be done here.

Mkuu hizo data ni za juzi na si za zamani. Fanya utafiti utakubaliana nami!
 
wenzenu wanajenga shule nyinyi mnajenga madrasa na kufundishana ngumi km vile tuko somalia! pia tambueni kuwahao wakristo wazungu ndio walizitawala nchi za kiarabu na uislamu kwa ujumla hivyo wakristo kutawala wameanza enzi na enzi na hakutakuja kuwa na usawa hapa duniani.

. Hata kama kuna shule za Wakristo na za Waislam lakini hayo ni mambo ya umiliki tu sheria ya nchi hairuhusu hizo shule kubagua ni wanafunzi wa dini gani wasome kwenye hizo shule peke yao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom