Hii yote inathibitisha kuwa uislamu ni dini ya vurugu na fujo!
Kwanini hawaishi kuleta vituko na fujo kila mara?
Hawa ni mawakala wa shetani,lazima tujiepuke nao!
Habari zilizogaaa kila kona sasa hivi unguja kuwa Sheikh Farid wa Uamsho ametekwa na watu wasiojulikana na hadi sasa hajulikani yuko wapi.
Mengi tuthabarishana. Ila kwa sasa hali ni tee maana watu washaqnza kujikusanya kila pahala.
==========
MODERATOR:
JF imefuatilia na inatoa uhalisia wa kinachoendelea kama ifuatavyo:
- Kwa mujibu wa Katibu wake, Abdallah Said Ally, amesema alikuwa na dereva wake maeneo ya Michenzani akitokea nyumbani kwake Mbuyuni, ndipo akakutana na gari moja ambalo dereva halifahamu na akashuka mwenyewe kwenye gari lake na kuingia katika hilo gari na kuanzia hapo hadi sasa hajulikani alipo.
- Katibu huyo wa Uamsho na wenzake wamekuwa katika juhudi za kutuliza jazba za wafuasi wao na sasa wanawasiliana na polisi kujua alipo kiongozi wao.
- Hata hivyo, wananchi wa hapa Zanzibar wanasema polisi, UAMSHO na serikali wangesubiri wanafunzi wamalize mitihani ya Form 4 kabla ya wao kuanza malumbano yao!
.Sulemani Kova si Muislamu ? Said Mwema si Muislamu ? jk si muislamu ? Gharib Bilal si muislamu ? sasa malalamiko haya yanatoka wapi
Ni kweli bwana hapa stesheni pana fujo wanataka Ponda atoke!
hapa unanikumbusha kwanini wanaokufa na wanaopigwa na polisi sio CCM bali ni Chadema, kwa sababu ccm wameshika madaraka. basi hata wakiristo nao wakianza kuikosa keki ya taifa utawasikia wanavyotumia njia ya kuitaka kama ccm na chadema wanavyopapanda kuipata kekiSulemani Kova si Muislamu ? Said Mwema si Muislamu ? jk si muislamu ? Gharib Bilal si muislamu ? sasa malalamiko haya yanatoka wapi
Sikubaliani na wewe kwasababu Wale waukweli wameshafanya kazi, wamepata thwawabu zao na sasa wanaishi Oyesterbay, Mikocheni na Masaki huwezi kuwaona kwenye maandamano hayo.....kama unabisha nenda kaangalie kama utakuta kuna mwanafamilia yeyote kutoga msoga pale, wote ukiwasachi mifukoni utawakuta na Tiketi za daladala tu...wengine ndala zilizotoboka, na mashatiyanayonuka jasho, ukiwachunguza zaidi utagundua si waislamu bali vibaka wa magomeni, mnazi mmoja, mbagala buguruni, na kwingineko.Hii yote inathibitisha kuwa uislamu ni dini ya vurugu na fujo!
Kwanini hawaishi kuleta vituko na fujo kila mara?
Hawa ni mawakala wa shetani,lazima tujiepuke nao!
tatizo la watushi wasio waislam ndani ya ofisi za serekali wanatumia imani zao kupambana na uislam ndio ndio maana tz inaelekea siko. katiba na sheria za nchi zingalifuatwa kama inavyotakiwa haya yasingetokea
.
Uongozi wa juu wa sasa nchini ni waislamu lakini bado malalamiko tu kama viongozi wa juu wangekuwa wakristo na wa chini ni waislamu pia wangelalamika
Anyongwe
huku ponda kule faridi aaahhh yaani lazima pachimbike.