Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

Hii yote inathibitisha kuwa uislamu ni dini ya vurugu na fujo!
Kwanini hawaishi kuleta vituko na fujo kila mara?
Hawa ni mawakala wa shetani,lazima tujiepuke nao!

Tafadhali uheshimu dini za wengine sio unaropoka tu kama upo chooni, Hakuna hata muislam aliyesema Ukiristo ni dini ya Mashetani. Uwe na adabu kwenye za dini za watu wengine.

Mimi ni Muislam na sijapendezewa na kitendo cha waislam wenzangu kuchoma makanisa kwa ubishi wa watoto, na nimelaani kwa ksema busara haikutumika huko Mbagala. Na vile vile naitupia lawama CCM kwa kuupandikiza udini kwenye taifa kwa maslai yao ya kutawala.
 
wanasiasa na serekali wanapoweka na kuamini kwamba waislam sio raia watz athari yake ndio hii
 
Habari zilizogaaa kila kona sasa hivi unguja kuwa Sheikh Farid wa Uamsho ametekwa na watu wasiojulikana na hadi sasa hajulikani yuko wapi.

Mengi tuthabarishana. Ila kwa sasa hali ni tee maana watu washaqnza kujikusanya kila pahala.

==========
MODERATOR:

JF imefuatilia na inatoa uhalisia wa kinachoendelea kama ifuatavyo:

  • Kwa mujibu wa Katibu wake, Abdallah Said Ally, amesema alikuwa na dereva wake maeneo ya Michenzani akitokea nyumbani kwake Mbuyuni, ndipo akakutana na gari moja ambalo dereva halifahamu na akashuka mwenyewe kwenye gari lake na kuingia katika hilo gari na kuanzia hapo hadi sasa hajulikani alipo.
  • Katibu huyo wa Uamsho na wenzake wamekuwa katika juhudi za kutuliza jazba za wafuasi wao na sasa wanawasiliana na polisi kujua alipo kiongozi wao.
  • Hata hivyo, wananchi wa hapa Zanzibar wanasema polisi, UAMSHO na serikali wangesubiri wanafunzi wamalize mitihani ya Form 4 kabla ya wao kuanza malumbano yao!

.
Polisi wasubiri mitihani kumalizwa? Mbona hao wahalifu waliochoma makanisa hawakuzingatia hilo? Mie hii nchi imenichosha kabisa.
.
 
Sulemani Kova si Muislamu ? Said Mwema si Muislamu ? jk si muislamu ? Gharib Bilal si muislamu ? sasa malalamiko haya yanatoka wapi
.

Uongozi wa juu wa sasa nchini ni waislamu lakini bado malalamiko tu kama viongozi wa juu wangekuwa wakristo na wa chini ni waislamu pia wangelalamika
 
hatuna haja na kuchoma makanisa waislam
ila mkikojolea vitabu vyetu hala hala kidole na jicho
na malipo ya makafiri ni hapa hapa dunian,akhera hawana malipo yoyote
wakifanya mazuri makafiri mungu huwalipa mazuri hapa hapa dunian,pia wakifanya mabaya hulipwa ubaya wao hapa hapa pia,ila maisha baada ya hapa ni tayari washahukumiwa moto..na sio uzima wa milele kama wanavojifariji
ndugu zangu waislam tuweni na subira haya ni mapito,siku zote tumtegemee mola wetu muumba mbingu na ardhi
 
Sulemani Kova si Muislamu ? Said Mwema si Muislamu ? jk si muislamu ? Gharib Bilal si muislamu ? sasa malalamiko haya yanatoka wapi
hapa unanikumbusha kwanini wanaokufa na wanaopigwa na polisi sio CCM bali ni Chadema, kwa sababu ccm wameshika madaraka. basi hata wakiristo nao wakianza kuikosa keki ya taifa utawasikia wanavyotumia njia ya kuitaka kama ccm na chadema wanavyopapanda kuipata keki
 
Hii yote inathibitisha kuwa uislamu ni dini ya vurugu na fujo!
Kwanini hawaishi kuleta vituko na fujo kila mara?
Hawa ni mawakala wa shetani,lazima tujiepuke nao!
Sikubaliani na wewe kwasababu Wale waukweli wameshafanya kazi, wamepata thwawabu zao na sasa wanaishi Oyesterbay, Mikocheni na Masaki huwezi kuwaona kwenye maandamano hayo.....kama unabisha nenda kaangalie kama utakuta kuna mwanafamilia yeyote kutoga msoga pale, wote ukiwasachi mifukoni utawakuta na Tiketi za daladala tu...wengine ndala zilizotoboka, na mashatiyanayonuka jasho, ukiwachunguza zaidi utagundua si waislamu bali vibaka wa magomeni, mnazi mmoja, mbagala buguruni, na kwingineko.
 
Mara Farid Mara Ponda... jamani mnaichafua Tanzania (hebu ban hivi vi dini vya kuja hapa afrika tupendane)
 
tatizo la watushi wasio waislam ndani ya ofisi za serekali wanatumia imani zao kupambana na uislam ndio ndio maana tz inaelekea siko. katiba na sheria za nchi zingalifuatwa kama inavyotakiwa haya yasingetokea

Nenda shule badala ya kung'ang'ana na stori za vijiwe vya kahawa na kashata.
 
Wambieni WAMUUE HUYO ALSHABABU WA ZENJI. SENGE KABISA KUTULETEA UDINI KWENYE JAMHURI YETU. UA HUYO MAFIA.
 
Patamu apo uku Ponda kakamatwa na kule Farid ndani!
Isije ikawa nguvu ya soda au danganya toto
 
Serikali dhaifu sana ilisubiri kwanza apate wafuasi ndio imukamate aka kumteka!? hata Mzee Mwanakijiji alikuwa anahoji kwenye issue ya Shekhe Mponda... walikuwa wapi muda wote? wamuache wasimudhuru na aendelee na harakati zake kama kawaidi.

Serikali dhaifu huwa na fikra dhaifu pia, UAMUSHO ilipo, siyo mtu moja wala issue ya Viongozi wao, imeshakuwa ni FIKRA zilizoota kwa wazanzibar. anyway wameanzisha cinema wacha tuone
 
Last edited by a moderator:
.

Uongozi wa juu wa sasa nchini ni waislamu lakini bado malalamiko tu kama viongozi wa juu wangekuwa wakristo na wa chini ni waislamu pia wangelalamika

Nadhani viongozi hao wenye imani ya Kiislamu wanania ya dhati ya kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria na taratibu sasa kuna vilaza wachache wanategemea feva kutokana na majina yao kufanana na majina ya waislamu wengi. Huu sio uislamu hata kidogo.
 
Namkumbuka Afande Tossi, hawa jamaa dawa yao walipaswa wapate kibano kwa kwenda mbele. Mkulu anawachekea-chekea tu!! Kumkoma nyani giladi bana!
 
Sasa kama mtu "alishuka mwenyewe" na "kuingia kwenye gari jingine bila shuruti", utasemaje katekwa? Kwani mke au wake zake wanasemaje? Huyo dereva aliambiwa nini na Sheikh kabla ya kupanda kwenye gari? Kwanini dereva wake asikamatwe na kueleza umma vzr? Jamani wasilamu sisi tusiwe na jazba na kila kitu.....
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom