Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

nakubaliana na wewe. lkn likija swala la waslam na maendeleo yao. udugu huu huwa unapigwa chenga sijui kwanini hua inafanyika hivi kwa upande mwengine . kwa mfano OIC
Hilo siyo tatizo mkuu... labda kama kuna jingine...udugu ni udugu tu.
 
tatizo la waislam wa Tanzania ni njaa sana,hawana elimu ndio maana hawana nguvu za kupambana
 
Wasiaangaike nae huyo atakuwa kakimbilia nyumbani kwao madina kwenda kumpiga mawe shetwan
 
Zanzibar%20Islamists3.jpg
 
quote_icon.png
By peri

subiri muone nguvu ya waislam, mmechokoza mzinga wa nyuki, jiandaeni kupokea manundu.
Panzi. Pamoja na makosa mengine, kosa moja ambalo muislam mwenzenu Suleiman Kova kalitaja ni kuvunja uzio na kuvamia kiwanja halali kinachomilikiwa na mtu mwingine. Yaani kama dini yenu inawafundisha kuvunja sheria za nchi kama hii ya kuvamia kiwanja cha watu basi mtakuwa na matatizo. Sasa unatuambia sisi tujiandae kupokea manundu wakati mna deal na polisi? Kwanini usiseme polisi wajiandae kupokea manundu?
 
Sulemani Kova si Muislamu ? Said Mwema si Muislamu ? jk si muislamu ? Gharib Bilal si muislamu ? sasa malalamiko haya yanatoka wapi
othman wa usalama wa taifa.......kuna waraka upo mtaani unadai cdm wanaandamana ili kuwatoa waislam madarakani na nchi isitawalike....sasa hawaoni kama vurugu zao zinanafanya nchi ishindwe kutawalika
 
watu mnaleta mzaha ktk matatizo ya imani,tupishie mbali haya mambo,tusije tumia ninge baada ya mambo kuharibika
 
Njia pekee katiba ijayo iwe viongozi kwa mujibu wa dini. akiwa waziri mkiristo naibu muislam. mwalimu mkuu muislam mkiristo awe msaidi mwalimu mkuu. vyengine nchi hii inaweza kutumbukia katika vita kama Lebanon
 
haa, kumbe alienda mwenyewe kwa hiyari yake...basi yuko kwenye madili yake..nini kumhangaikia? atarudi, au alitaka kumake headlines... hajatekwa bana, yupo mahali pasipojulikana.
 
Mabomu ya machozi kila kona ya mji wa Unguja. Moto unawaka barabara zote za mjini, hali si nzuri. Kila mtu anakwenda mbio anakokujua.
 
Back
Top Bottom