Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

Sasa wanataka kumg'oa meno kama ulimbika? Maana nchi hii swala la kutekwa na kutolewa meno imesha kuwa kawaida!

Hivi kwa nini wamteke?
Nani kamteka?

Hapa lazima mtuhumiwa wa kwanza lazima awe SMZ.
 
Tafadhali uheshimu dini za wengine sio unaropoka tu kama upo chooni, Hakuna hata muislam aliyesema Ukiristo ni dini ya Mashetani. Uwe na adabu kwenye za dini za watu wengine.

Mimi ni Muislam na sijapendezewa na kitendo cha waislam wenzangu kuchoma makanisa kwa ubishi wa watoto, na nimelaani kwa ksema busara haikutumika huko Mbagala. Na vile vile naitupia lawama CCM kwa kuupandikiza udini kwenye taifa kwa maslai yao ya kutawala.

Si muislamu mwenzako lakini, umenena vizuri sana hapa mkuu..just wish SOME(violent muslims) wawe kama wewe mkuu.
 
mimi nadhani njia pekee ya wanasiasa weTu kuanza kuamini kwamba UISLAM TZ ZAIDI YA VYAMA VYA VYAO.
Na wajue kwamba waislam sio daraja la 2 kama wanavyoamini
 
Uamsho ungesaidia kuileta zbar mpya,tafadhal bwn farid asithuriwe,ila ponda ndo wa kuponda ponda kwa uchochezi. Ila jaman huu mchezo wa govt hii wa kutekana uishe!
 
Sote Waislamu na wakristu ni NDUGU tatizo ni Shekhe Ponda na Farid, hawataki kukubaliana na hili. Tafakari.

nakubaliana na wewe. lkn likija swala la waslam na maendeleo yao. udugu huu huwa unapigwa chenga sijui kwanini hua inafanyika hivi kwa upande mwengine . kwa mfano OIC
 
Kaka huyu sheikh kapotea jana usiku so watu wanakusanyika kujua la kufanya. Polisi wanakanusha wanasema hawajamkamata. Raisa wana hasira sana sasa hivi wana mpango wa kwenda kukamata padri yoyote na kumchinja. Stsy tuned. Mods naomba msifunge hii thread..hali ni tete msikimbie kivuli chenu..

Hapo ndo huwa siwaelewi ndugu zangu Waislamu. Sasa hapo Padre kafanya nini!! Kwa nini msimchinje IGP Mwema kama mna hasira na polisi
 
Ninakuunga mkono,uisilamu ni ushetani.

Wewe na Kamwela wote ni muflisi kifikra, kuhusianisha wahovu wachache na uislamu ni kupalilia mche tuliopandiwa wa udini uzidi kumea na kutuangamiza kabisa. Dar ina waislamu wangapi? Kama msimamo wa waislamu ni kuchoma makanisa kuna ambalo lingebaki? Tukigeneralize kuwa wakristo ni vikojozi wanakojolea mpaka vitabu vya dini ni sawa? Kila mtu au kikundi kinachovunja sheria kishugulikiwe kama kilivyo tusiliingize taifa kwenye maafa kama Rwanda patakuwa hapatoshi.
 
Hapo ndo huwa siwaelewi ndugu zangu Waislamu. Sasa hapo Padre kafanya nini!! Kwa nini msimchinje IGP Mwema kama mna hasira na polisi

njia pekee ya kuheshimiana kwa dini zote. ukianza kuwagawa watz kwa imani yao huyu daraja A huyu darja B . Huu sawa na ukoloni. hata ukiwateka viongozi wote kama wanavyofanya ISRAEL na marekani. dawa haitapatikana . dawa ni kujua wote waislama na wakiristo hapa tz ni kwao
 
Nawapa pole sana ndugu zangu waislamu lakini huu ni muda wa ninyi kujifunza kuwa mlichokifanya Mbagala sio kitu kizuri labada ni mwenyezi mungu anajaribu kuwakumbusha kuwa mjitambue na kila mnayotaka kuyafanya,(fikiri kabla ya kutenda)
 
Nashauri wanachama wa uamsho waje kutega kabisa katika msitu wa mabwepande.......ikitokea hilo gari limekuja kumtupa huko.......!
 
Atakuwa amekimbia kukamatwa si kwamba ametekwa. Rejea habari inavyosema, alishuka mwenyewe toka kwenye gari lake na kuingia kwenye gari lingine ambalo dereva wake halijui.

Ni lazima alipata taarifa za kukamatwa kwa Shehe Ponda ndipo na yeye akaanza kukimbia. Atakuwa kapanda boti hadi Bagamoyo ama Mombasa.
 
Back
Top Bottom