Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

Breaking news

Amir Farid atoweka kiaina toka jana usiku
saa mbili, hajulikani alipo na jeshi la polisi lakanusha kumkamata.

Mji wa zanzibar waanza kuchafuka.
 
JUMUIYA YA UAMSHO NA TAASISI ZA KIISLAMU MPAKA
SASA HAWAJUI AMIR FARID WAPI ALIPO. Atoweka toka jana usiku bila kujulikana.yase
mekana jeshi la polisi la husika kwani ndio kawaida
yao kuwadhalilisha waislamu.
Hivi sasa waumini wote wanakuja hapa mbuyuni.
Maduka na Biashara za simama waislamu wanatka
kuelekea makao makuu ya polisi ziwani
 
Mwenyekiti wa Jumuia ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) sheikh farid inasemakana amekamatwa zanzibar na vurugu zimeanza kutokea baada ya waislam kupinga kitendo hicho.
na hapa dar umati wa waisam sasa wanaelekea katika kituo cha Polisi kujua hatma ya sheikh Ponda issa ponda.
My take. kama serekali haitokuwa makini na kubase upande mmoja wa imani na kuufanya ndio wa kitaifa na kudharu upande mwengine, hali ya amani inaweza kutoweka wakati wowote kuanzia
 
JUMUIYA YA UAMSHO NA TAASISI ZA KIISLAMU MPAKA
SASA HAWAJUI AMIR FARID WAPI ALIPO. Atoweka toka jana usiku bila kujulikana.yase
mekana jeshi la polisi la husika kwani ndio kawaida
yao kuwadhalilisha waislamu.
Hivi sasa waumini wote wanakuja hapa mbuyuni.
Maduka na Biashara za simama waislamu wanatka
kuelekea makao makuu ya polisi ziwani
Sababu za kumshukuru Mungu kuzaliwa mkristo ni misingi ya dini kunifundisha kujitahidi kuwa na amani na watu wote....bila kujali kama ni wa dini gani.
 
Ni kweli bwana hapa stesheni pana fujo wanataka Ponda atoke!
 
facebook.com/UamshoJumuiyaYaMihadharaYaKiislamuZanzibar?refid=13&ref=stream&_ft_=fbid.297569803676449
 
Mkuu St. Ivuga, hii habari ililetwa hapa na Mkuu Mtu wa Pwani afu ikapotea tena... vipi kunani huko?

Kaka huyu sheikh kapotea jana usiku so watu wanakusanyika kujua la kufanya. Polisi wanakanusha wanasema hawajamkamata. Raisa wana hasira sana sasa hivi wana mpango wa kwenda kukamata padri yoyote na kumchinja. Stsy tuned. Mods naomba msifunge hii thread..hali ni tete msikimbie kivuli chenu..
 
Back
Top Bottom