Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

Messier 31

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
477
Reaction score
1,205
Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima.

Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera

View attachment 3317374
😃😃😃😃😃 Wabillah Tawfiq
 
Nendeni shule jamani, himizeni na watoto wenu kuthamini elimu.
 
uislamu wa tanzagiza huo, i blessed the day Wamishionari walivyokanyaga ardhi yetu vinginevyo leo hii wote tungekuwa muslims and backward, kule nigeria wanazuia watoto kwenda shuleni, hatari kweli kweli …
Hivi leo ikiwa wafanyakazi watapitishiwa watoe maoni kuhusu vima afya watakubali waendeshwe kama hivi? Wakiristo sikilizeni hoja kwanza
 
Wakiristo wao hawana dhambi kila kitu kwa sawa
Ndiyo maana awa hukumu sana madhambi ya wengine ...yani hizi takataka ndiyo mungu aziingize peponi kweli huyo mungu si atakuwa kachanganyikiwa ...
 
Huenda huyo Shehe ni Mganga wa Kienyeji! Anataka wagonjwa waishie kwa Waganga wa Kienyeji.
Maoni ya Wanazuoni Wengi wa Kiislamu

Wanazuoni wengi wa Kiislamu wanasema bima ya kawaida (commercial insurance) inaweza kuwa haramu kwa sababu:

Kuna gharar (kutokuwa na uhakika) – haijulikani mtu atapata faida au hasara.

Kuna riba – faida inayopatikana isivyo halali.

WAKIRISTO MKIONA HOJA YA SHEIKH MSIJE KWA CHUKI , SIKU YA SIKU MWISHO WA SIKU MNAKUJA KUKUBALI KWA MLANGO WA NYUMA

Kuna kamari (maisir) – mtu anaweza kulipa bila kupata chochote.
 
Back
Top Bottom