King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,984
Mejaa tele kama pishi la ubwabwa.
Ila Sasa sembe inataka kunipiku bei
Ila Sasa sembe inataka kunipiku bei
upo we bidada
upo we bidada
Ha ha ha tushirikishe na sie mkuuuKuna mdogo wangu mmoja mtu wa kununua malaya Tanga, siku moja alikuja dar akasema tumpeleke kituo akajichukulie mtoto tukampeleka manzese alichokutana nacho mpaka leo hajarudia tena. Ameacha kabisa[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] alikutana na mtoto mdogo tu lakini alikinai alikaa karibu miezi 6 hana mzuka (experience nimepata kwake)
Dah.. Ni kweli aisee [emoji13] [emoji13]Au tuite kugongeshea?
Very offending aisee
Si kweli
ukweli ni kwamba, mademu wote mnauza, ndo maana hata boyfriend au mchumba wako kabisa unayempenda, asipokupa hela hata penzi haumpi la kueleweka, na unaweza kumwacha ukiona hela zimemuishia. kama sio kuuza ninini hiyo sasa? kuna mwanamke gani hajawahi kuchuna? ukishachuna tu si itabidi ulipe ili jamaa hela isimuume aone mmelipana? ndo kuuza huko.Aku ushindwe wewe ndo mteja wao
Bado tupo ambao hatuuzi kabisa!!! Ila hatugawi hovyo piaKuna uuzaji wa direct na indirect, labda wewe ndio huchaji pesa. Nikuinbox?
Tuma advance nikupelekeBagamoyo wapi vituo
Huwa unagawa burenatamani kujaribu kuuza ila sijui wateja wanapatikanaga wapi... (one of my fantasy)
Advance shingapTuma advance nikupeleke
Hatari ya nini??Yaani ulimuomba malaya upige kavu? [emoji22][emoji22][emoji22] mbona watu wengine mna hatari hivyo!
Yaani hamuogopi magonjwa!Hatari ya nini??
Hembu bwana mdoo tuletee hii habari kabla halijachacha, ulisema ukipona vizuri utaleta habari au bado hujapona?nipeni pole...nimenusurika kukamatwa ugoni...nmeambulia kuteguka mguu kwa sabb ya kutoka nduki..
kiukweli nmekoma hii tqbia ya kutembeq na wake za watu.....nikipoa vizuri ntafungua uzi nieleze mkasa wote.....
siku io hukuuza??Yaani kuna siku nilikua na shida ya hela ndefu kuna rafiki yangu akanishawishi kuuza... Yeye anaenda mahoteli makubwa na buku 10 tu anaagiza juice afu wanaume wanajileta kutongoza... Mdada anaishi maisha ya juu saana. Yaani kwa siku anaeza ingiza ata laki 3.
Sema tu dini imenikaa vizuri... Ningepotea! tamaa ya pesa mbaya sana.
kama sikosei unataka anwani ya sehemu inapopatikana huduma hio mahali hapo. watz wajanja sana[emoji2]Nipo kwa muda huku ndanda, sioni hizo mambo za uuzaji. Nadhani hizi mambo zipo kwenye majiji zaidi
Papuchi tamu pia inaweza kuwa na virusi vya ukimwi. Kuwa makini.toka nipelekwe na demu wangu kupimwa ngoma sina ujasiri wa kuyarudia tena hayo matakata,nilikuwa najiuliza sana endapo ningepatikana na h.i.v mtoto mzuri ningemkosa hv hv na kesho asubuhi naletewa papuchi tamu ya mtoto
ShivazNshanunua mara 2 tuu.Arusha pale.