Mi ni mzoefu wa izi mambo nimeanza kununu hawa wadada kwa muda mrefu,kifupi nilikua sinywi,sivuti na sina starehe nyingine zaidi ya hawa wadada hela nyingi nlispend viwanja vyote vya jiji la dsm nimepita.
Kwa Mara ya kwanza nlianza nikiwa kidato cha 3 shule flan hapa jijini,nilikua napata story kutoka kwa jamangu wa karibu nikawa nataman sana kwani nilikua nakapiga kabeki 3 kahom kwa kipindi nikaona hakatoshi nilitaman kubadili ladha.1st time ni buguruni.
Baada ya kumaliza shule mchezo haukuishia hapo advanced kama kawa nlisoma shule flan iko mkoani Iringa siku za weekend nipo mjini pocket money yote namalia kwa hawa wadada,kwa wengeji wa Iringa wanavifaham vifanja kama Miami bar,twistaz club na kwa wakati huo nilikua nimepanda hadhi kidogo nilikua nadiriki kuvizia hata viwanja wanavyojiuzia wanavyuo,Piga sanaaa wwupe,weusi na Mara nyingi nilikua sizingatii suala la bei zao.Kama ni 10,000 namwambia nitakua 15,000 asinicheleweshe.
Balaa ni pale nilipomaliza advance nakuingia chuo flan hapa dsm nilikua silali ni mtaa kwa mtaa,coner bar enzi hizo pale Sinza nafikir nilimaliza wote.Kwakua sasa nilikua nakastatus flan sikua na muda wa mechi za mchangani ni mwendo wa dadaz za kinondoni,Mikocheni nk.
Baada ya kumaliza chuo nikapata kazi kwenye bank flan hapa mjini,sasa mwendo ukawa ni kumega vitu vya ofisini,unashangaaa....mpaka maofisini kazi inafanyika ni kiasi cha mawasiliano tu na upo mtandao wa chini chini wa siri sana,huwezi kuujua kiraisi.Mjini hapa.