Full 8
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 313
- 272
Naibgojea[emoji23]nipeni pole...nimenusurika kukamatwa ugoni...nmeambulia kuteguka mguu kwa sabb ya kutoka nduki..
kiukweli nmekoma hii tqbia ya kutembeq na wake za watu.....nikipoa vizuri ntafungua uzi nieleze mkasa wote.....