Sexual tensions.....Kuishinda.....

Sexual tensions.....Kuishinda.....

I think kuweka negative impression inaweza saidia. Keep in mind the bad thing about that person can help to decrease the tension. Hold personal pride and principle that can make you defend stimuli at a time. Weaken the other side by demoralizing the subject either by showing unfitness of that person to be with you or praising the known partner however the truth remain in your heart.
This has helped me to hold men who had (once or sometime) sexual feeling and off course sometime i had feelings for them but now we stay as friends, they hold that there is no way I can accept them while somehow or sometime i wish i can be with them. They love, respect and care me but I have never let them do me.
 
Mhh mkuu sasa kama wote mnatamaniana itashindikana vipi? maanake wote mmeshatangaza nia. Ila jinsi gani ya kuishinda biblia inasema ikimbieni zinaa! Tujifunze kwa Yusufu maana kama angekuwa na yeye ana tamaa kama mke wa Potifa angelala na mke wa bosi wake ila kwa vile tamaa ilikuwa upande mmoja kijana alitoka nduki. Ndo maana ke na me zikiwa alone katika maeneo hatarishi ni ngumu sana kuchomoa, ila kama kweli upande mmoja hautaki the solution is to run away! no compromise!
 
Now I get you
Kama ni kazini, inabidi uact kikazi zaidi
Na kupunguza kuwa karibu bila sababu za msingi
Mfano kama ni Mwalimu na mwanafunzi, ni kuepuka kukutana nje ya darasani
Haya nsio mazingira hupelekea kutokea yaliyompata miss strong
Kunakuwa na tension afu huchukui hatua
Kongosho hata mm nimeshaelewa lakini hii ya kukutana wawili tena peke yenu katika cabin ya lift hapa ndio boss kasema SEXUAL TENSION enzi zangu za 47 kina dada walikuwa wanachora chini kwa mguu na kuuma kucha
Lakini hiyo ni nature hata katika vitabu vya dini kuna mahali na mstari unaoeleza kuwa kundi la watu lilimkamata mwanamke na kumpelekea masihi awaaamulie huyu mwanamke amezini na watu kibao dawa yake afanyweje? (enzi hizo ni kupigwa mawe kibaompaka afe) wakajibiwa na asiyewahi kuzini na ampige jiwe Basi akaanza kuchorachora chini sijui ndio tension yenyewe kuja kuinua macho hakuona mtu akamwambia enenda zako .... (msininukuu ni tafsiri yangu)
 
Last edited by a moderator:
unaweza zungumza na mumeo wa dada yako mfano?
suppose na wewe ume feel kitu kama yeye?
cc Kongosho...

Kwa msimu kama huu huwezi ongea nae na intimacy zitaondoka tuu ila kama ni msimu mwingine aaah unaimba shemeji shemeji huku wazima taa, yamekukuta? pole bana ndo utu uzima huo.
 
Labda iwe nilishaharibu naye halafu kaoa mtu ninaye muheshimu sana ndipo naweza jikuta kwenye awkward situation in case tumejikuta wawili tu. Lkn mtu ambaye nina crush naye, a joke or two inafanya environment kuwa okay.
 
miss you
 
Nahisi vifuatavyo vinaweza saidia The Boss
1: Kama mlikuwa mnawasiliana sana punguza mawasiliano na huyo mtu
2: Kama ilikuwa stori zenu au mawasiliano yenu yanapelekea kuongeza vichocheo/hamasa, badili namna ya kuwasiliana kwa kuandika au kupiga stori ambazo hazitopelekea hiyo hali
3: Kama mlikuwa na kawaida ya kukaa wawili tu faragha, liepuke hilo
4: Ikishindikana kuepuka la namba 3 hapo juu, basi jitahidi kuwa busy na kitu kingine mfano simu badala ya kuweka attention kwake
5: Akianzisha maongezi ya kimapenzi, mpe habari za mpenzi wako kwa kumueleza tu ni jinsi gani unampenda na kumthamini, ana thamani gani katika maisha yako au anakufurahisha kiasi gani kwa kuwa nae
6: kila ukitokewa na hali hiyo, rudisha akili yako kwamba hiyo ni dhambi, so huna budi kuiepuka
 
Kwa msimu kama huu huwezi ongea nae na intimacy zitaondoka tuu ila kama ni msimu mwingine aaah unaimba shemeji shemeji huku wazima taa, yamekukuta? pole bana ndo utu uzima huo.

msimu huu? upi?
 
Mmmh.... Hii kitu ngumu sana na imeshawahi kunikuta..!

Yaani ilikuwa namkemea shetani lakini nikimuona mhusika moyo unapasuka paaaah..!!

Akinipa mkono kunisabahi nilikuwa nahisi kama nimepigwa shoti ya umeme kumweleza asinipe mkono nashindwa..!!

Hata na yeye nilivyomsoma moyo wake ulikuwa unampasuka pia lakini hakuweza kutamka chochote..!!

Mungu bariki yule Boss alihamishiwa Mkoa mwingine hiyo ndio ikasaidia, vinginevyo ningesema LIWALO NA LIWE.. Hahaa
 
alipo Bwana yote yanawezekana,alipo Roho yanawezekana......
 
Nahisi vifuatavyo vinaweza saidia The Boss
1: Kama mlikuwa mnawasiliana sana punguza mawasiliano na huyo mtu
2: Kama ilikuwa stori zenu au mawasiliano yenu yanapelekea kuongeza vichocheo/hamasa, badili namna ya kuwasiliana kwa kuandika au kupiga stori ambazo hazitopelekea hiyo hali
3: Kama mlikuwa na kawaida ya kukaa wawili tu faragha, liepuke hilo
4: Ikishindikana kuepuka la namba 3 hapo juu, basi jitahidi kuwa busy na kitu kingine mfano simu badala ya kuweka attention kwake
5: Akianzisha maongezi ya kimapenzi, mpe habari za mpenzi wako kwa kumueleza tu ni jinsi gani unampenda na kumthamini, ana thamani gani katika maisha yako au anakufurahisha kiasi gani kwa kuwa nae
6: kila ukitokewa na hali hiyo, rudisha akili yako kwamba hiyo ni dhambi, so huna budi kuiepuka

well said mdau!
hiyo kwa red ndo inanipaga nguvu ya kusonga mbele. unakuta kuna kila dalili kuwa jamaa anakuzimikia na wewe unamzimikia ila mazingira ndo hivyo tena, mke wa mtu, na mume wa mtu but wote ni maclassmate, unaugua moyoni tu na kuomba Mungu akuepusha na dhambi.
 
Labda iwe nilishaharibu naye halafu kaoa mtu ninaye muheshimu sana ndipo naweza jikuta kwenye awkward situation in case tumejikuta wawili tu. Lkn mtu ambaye nina crush naye, a joke or two inafanya environment kuwa okay.
ahahhahahahhahhaha wewe!:faint:
 
Mmmh.... Hii kitu ngumu sana na imeshawahi kunikuta..!

Yaani ilikuwa namkemea shetani lakini nikimuona mhusika moyo unapasuka paaaah..!!

Akinipa mkono kunisabahi nilikuwa nahisi kama nimepigwa shoti ya umeme kumweleza asinipe mkono nashindwa..!!

Hata na yeye nilivyomsoma moyo wake ulikuwa unampasuka pia lakini hakuweza kutamka chochote..!!

Mungu bariki yule Boss alihamishiwa Mkoa mwingine hiyo ndio ikasaidia, vinginevyo ningesema LIWALO NA LIWE.. Hahaa

Ulikuwa kama mbwa kwa chatu lol
 
Back
Top Bottom