Sexual tensions.....Kuishinda.....

Sexual tensions.....Kuishinda.....

sexual tension ni kumtamani mtu na yule unaemtamani anajua
na yeye probably anakutamani ingawa kikawaida hampaswi au hamuwezi kutekeleza kiu zenu
Then unashindwa kumwambia..inakua like nani aaanze hii ishu ni true pale mtu anapofikia highest stage anashindwa kujizuia....Baaadae anajutia uamuz wake..Hivi hii imekaaaje kisaikolojia???
 
Back
Top Bottom