Sexual tensions.....Kuishinda.....

Sexual tensions.....Kuishinda.....

Unaweza ishinda tamaa ukafanikiwa
but ile awkward feeling fulani hivi inayojitokeza
mkionana au body language zenu zikashindwa kujificha
hii sasa unishinda vipi?

hiyo ni ngumu kuishinda kaka mkubwa, na ndio maana nimejaribu kuibainisha kama "involuntary act"
 
The Boss unataka kusema ukimtamani house girl wako na yeye akakutamani ni lazima ulale naye.... jibu unalo?
Kwa miaka ya leo ni ngumu sana aise, tukutane wote kila mtu ana moto na mwenzie halafu tusifanye sijui.

sijasema kila unaemtamani ulale nae
nimesema kama unaemtamani huwezi kumkwepa
unaonana nae sana,ufanyaje?na kulala nae hutaki?
na yeye labda anakutamani pia?
 
Now I get you
Kama ni kazini, inabidi uact kikazi zaidi
Na kupunguza kuwa karibu bila sababu za msingi

Mfano kama ni Mwalimu na mwanafunzi, ni kuepuka kukutana nje ya darasani
Haya nsio mazingira hupelekea kutokea yaliyompata miss strong
Kunakuwa na tension afu huchukui hatua

kama ni nyumbani?
wewe labda na ndugu yake mumeo?
mnaishi nyumba moja mfano...
 
Wewe una sexual tension?

Na kwa Kiswahili tunaiitaje hiyo hali?
 
Unataka kuleta laana? Mume wa dada yako?
Vingine ni kuvipotezea tu na kutovipa kipaumbele
Mwishowe unasahau

unaweza zungumza na mumeo wa dada yako mfano?
suppose na wewe ume feel kitu kama yeye?
cc Kongosho...
 
Basi aondoke, ake kwangu anafanya nini?

Mwisho wake ndio kuvunja ndoa ya watu bure, kingine ni kujikeep busy
Ukiwa na muda mwingi saana napo ndio unapata hata hizi tension

kama ni nyumbani?
wewe labda na ndugu yake mumeo?
mnaishi nyumba moja mfano...
 
Unataka kuleta laana? Mume wa dada yako?
Vingine ni kuvipotezea tu na kutovipa kipaumbele
Mwishowe unasahau

Sakapal kasema bora mzungumze ili iwe rahisi kuishinda
sasa ndo nimeuliza wewe ungeweza kuzungumza na mtu kama mume wa dada yako
au ndugu yake?
 
Wewe una sexual tension?

Na kwa Kiswahili tunaiitaje hiyo hali?

kwa kiswahili sijui tunaitaje

[TD="class: word"]sexual tension

[/TD]
[TD="class: tools"] 215 up , 152 down [/TD]

[TD="class: text, colspan: 2"] when people like each other but cant go out for various reasons
[/TD]
 
Mie naamini ukifungua mdomo tu, basi mnavuana nguo
Awe mme wa dad yako ama mtu yeyote

Hivi huwezi potezea kumtamani mtu? Mbona inawezekana kabisa

Sakapal kasema bora mzungumze ili iwe rahisi kuishinda
sasa ndo nimeuliza wewe ungeweza kuzungumza na mtu kama mume wa dada yako
au ndugu yake?
 
Labda iwe nilishaharibu naye halafu kaoa mtu ninaye muheshimu sana ndipo naweza jikuta kwenye awkward situation in case tumejikuta wawili tu. Lkn mtu ambaye nina crush naye, a joke or two inafanya environment kuwa okay.
 
Mie naamini ukifungua mdomo tu, basi mnavuana nguo
Awe mme wa dad yako ama mtu yeyote

Hivi huwezi potezea kumtamani mtu? Mbona inawezekana kabisa

what if wewe umeishinda mwenzio anashindwa?
 
sexual tension kama ndo mana yake hiyo,
aiseeee ni tabu na kazi kubwa,iyo ya shemeji ni laana

ila unapotezea tu
 
Kuna wakati unakuwa na crush na mtu huwezi hata msemesha

Maana ukisema tu, macho yatasema kila kitu, au unaweza joke kitu cha ajabu sana na maneno hayakamiliki

Labda iwe nilishaharibu naye halafu kaoa mtu ninaye muheshimu sana ndipo naweza jikuta kwenye awkward situation in case tumejikuta wawili tu. Lkn mtu ambaye nina crush naye, a joke or two inafanya environment kuwa okay.
 
Kuna wakati unakuwa na crush na mtu huwezi hata msemesha

Maana ukisema tu, macho yatasema kila kitu, au unaweza joke kitu cha ajabu sana na maneno hayakamiliki

sasa hiyo ndo sexual tension yenyewe
 
jamani acheni kabisa....atii kuishinda sexual desire!!! hiyo kitu ni ngumu atii maana unakuta hata usingizi sometimez unakosa unawazia saa ngapi panakucha ukamuone that boss or that classmate....
 
jamani acheni kabisa....atii kuishinda sexual desire!!! hiyo kitu ni ngumu atii maana unakuta hata usingizi sometimez unakosa unawazia saa ngapi panakucha ukamuone that boss or that classmate....

tell them..
 
Back
Top Bottom