bombom
JF-Expert Member
- Feb 6, 2013
- 614
- 228
Lakini yule unayehamishia sex tension kwake, hutampenda kama yule unayetaka ukate kiu naye,,, I mean matamanio yanamhusu mtu specific siyo wote. Watu hutofautiana kwa umbo, tabia, hulka nk. HIsia kuelekea sex ndicho kinacho matter hapa.Simple The Boss hamisha tu hizo tension kutoka kwa target A (panaposhindikanika kutii kiu yako) to target B (panapowezekanika)
Suppose tension yako ipo kwa shemeji/boss/classmate(ambae ndio target A) sasa hamishia kwa wife/gf (ambae ni target B)
