Set nzima ya vifaa vya chips inauzwa

Set nzima ya vifaa vya chips inauzwa

daaah kumbe
ndiyo mkuu..nilitumia siku karibia nane hiv napata hasara...kazi ya chips inahitaji kwenda na hesabu....watu walikuwa wanasema mara oh ndoo moja ya viazi utoe sh 35k...hapo ukigawa kwa sahani unakuta zinatoka sahani 25 hiv....
nikakaa kwenye daftari..nikafanya hesabu....mwishowe nikawa natoa sahani 40 au 41.....unaona sasa hapo ukifanya bila kuwa na hesabu unajikuta hela unazipoteza kwenye natumizi....then nikspunguza wafanyakazi pia nikatoa na hizo deep fliers...nikatumia
jiko la feni....baada ya kufanya hayo...kwenye ndoo moja unakuta unapata faida kubwa saaaaaaana...ukiuza ndoo moja tu na ukawa unaenda na hesabu unajikuta faida unamzidi yule anayeuza uza tu bila hesabu hata akiuza ndoo mbili....sasa imagine ukaenda na hesabu afu ukauza gunia moja...faida sana utapata
 
Back
Top Bottom