- Thread starter
- #21
ofisi ipo kinondoni...kodi 300000 kwa mweziNa hapo ofisi ipo maeneo gani na kodi yake ni kiasi gani?
ofisi ipo kinondoni...kodi 300000 kwa mweziNa hapo ofisi ipo maeneo gani na kodi yake ni kiasi gani?
kuna sehemu hapa hapa dsm nahamia ila sasa huko biashara ya chips haitokuwa vizuri ila kuna kitu mbadala nataka kukifanya hapo hapoUmeamua kufunga biashara kabisa, hutaki tena kupasua kichwa?
Hongera, ngoja wateja waje kununua.
Umeamua kufunga biashara kabisa, hutaki tena kupasua kichwa?
Hongera, ngoja wateja waje kununua
jumla ni 2,230,000 boss..karibuJumura shiringi ngape ndugu yangu kwa vitu vyoote?
Ngo,urakoze kabisa mugabho!Tutawongeya kwenye diiemu yako!🫸🫷jumla ni 2,230,000 boss..karibu
sawa boss...karibu saanaNgo,urakoze kabisa mugabho!Tutawongeya kwenye diiemu yako!🫸🫷
maana yake 10000 kwa siku..either ulipe kwa siku au kwa miezi kadhaa kadhaa unayowezaofisi ipo kinondoni...kodi 300000 kwa mwezi
Mkuu kila mtu ana malengo yake katika biashara...kwa kusema hivo...binafsi nina malengo yangu mengine tofauti...Kwanini usitafute mtu muingie makubaliano muendeleze ofisi au kuna changamoto la eneo?
huwenda sipendi kufanya biashara
huwenda nimepata ajira nyingine
huwenda nina hamia sehemu nyingine
huwenda ninataka kufanya biashara nyingine
etc
Amepata kazi utumishi....Kwanini usitafute mtu muingie makubaliano muendeleze ofisi au kuna changamoto la eneo?
kuna uwezekano mkuuAmepata kazi utumishi....
Siachii hii nafasi mpaka nazeekaPoor Brain usianze kulalamika ajira vitu hivyo anza kazi, Intelligent businessman sasa ujobless bas achia kijiti cha uenyekiti kwa mwingine kazi hiyo apo.
tena kwa bei nzuri kabisa na ni complete set..na ni vifaa vyenye quality.ni kitendo cha kuhamisha tu ofisi na kuwrka bango lako kwenye ofisi yako mpyaPoor Brain usianze kulalamika ajira vitu hivyo anza kazi, Intelligent businessman sasa ujobless bas achia kijiti cha uenyekiti kwa mwingine kazi hiyo apo.
Ahahahha mkuu mi chipsi siuzi Ebu niachePoor Brain usianze kulalamika ajira vitu hivyo anza kazi, Intelligent businessman sasa ujobless bas achia kijiti cha uenyekiti kwa mwingine kazi hiyo apo.
Utajichelewesha, kula fifte hiyo.mkuu ingekuwa poa zikaenda set