- Thread starter
- #141
bado mkuuKijana hivi vitu havijaenda tu?
bado mkuuKijana hivi vitu havijaenda tu?
karibuni sana
ilkchukuliwa fridge tu mkuu...karibu 0683473391Bado vyote vipo?
ilkchukuliwa fridge tu mkuu...karibu 0683473391
vilivobaki kutoa fridge na mtungi thaman yake ni 1,690,000Bado vyote vipo?
poa poa mkuuUshavitangaza kwenye mitandao mingine? Kama bhado naomba niruhusu nikutangazie huenda nitabahatika kupata chochote kitu .
Sawa sawa.poa poa mkuu
karibu
ndiyoKaka sehemu ya boashara bhado ipo mpaka sasa hivi ?