- Thread starter
- #61
nipigie mkuu 0683473391Fridge heavy duty inagandisha balaa afu kuuubwa inafaa kwa biashara na nyumban...500,000
..................HII NIPE KWA 400,000 HATA LEO
NB: Nipo Tabata Bima
nipigie mkuu 0683473391Fridge heavy duty inagandisha balaa afu kuuubwa inafaa kwa biashara na nyumban...500,000
..................HII NIPE KWA 400,000 HATA LEO
NB: Nipo Tabata Bima
nishafanya hivo..pitia uziKama unataka mnunuzi mmoja taja bei ya Jumla kisha Orodhesha Vitu tu.Ili mtu ajipime usitupe kazi ya kujumlisha
Tumuunge mkono huyu Mwamba apate hela.Nakomenti ili uzi upande juu uuze ofisi mkuu.
1.Juice dispenser mitungi mitatu...850000 mpya huwa ni 1.2 hadi 1.5M...hiyo yangu n kuiwekea sticker mpya tu inarudi upya wakeKama unataka mnunuzi mmoja taja bei ya Jumla kisha Orodhesha Vitu tu.Ili mtu ajipime usitupe kazi ya kujumlisha
Braza ushapata mteja?jumla ni 2,230,000 mkuu
karibu sana mkuuSasa hapa Biashara Itaenda faster kabisa;
JUMLA NI 2,230,000....
Nakucheck inbox na Counter Offer
kuna ambao nawapata ila sio wa kulipia sasa hiv ni mipango ya siku za mbele...wengine wanataka kifaa kimoja kimoja ila napo hawafiki bei....kimsingi sijapata mtejaBraza ushapata mteja?
kuna ambao nawapata ila sio wa kulipia sasa hiv ni mipango ya siku za mbele...wengine wanataka kifaa kimoja kimoja ila napo hawafiki bei....Braza ushapata mteja?
asante mkuuTumuunge mkono huyu Mwamba apate hela.
Poa endelea kupambana ila punguza bei kidogo kwa mfano hizo jiko mbili bei umeikaza sana.kuna ambao nawapata ila sio wa kulipia sasa hiv ni mipango ya siku za mbele...wengine wanataka kifaa kimoja kimoja ila napo hawafiki bei....
asante mkuu
Kinondoni kuna biashara kama hizo za jikoni sijui imekuwaje mkuukuna ambao nawapata ila sio wa kulipia sasa hiv ni mipango ya siku za mbele...wengine wanataka kifaa kimoja kimoja ila napo hawafiki bei....kimsingi sijapata mteja
mkuu nimekaza sana wapi??Poa endelea kupambana ila punguza bei kidogo kwa mfano hizo jiko mbili bei umeikaza sana.
mkuu mimi haijashindikana....ila nimeacha maksudiKinondoni kuna biashara kama hizo za jikoni sijui imekuwaje mkuu
karibu mkuu..yaan hapo ukianza kununua kimoja kimoja bei ni parefu saana..ndo maana naviuza kwa bei ndogo pamoja..ila ukisema uanze kwenda madukan na sokon kununua itakuwa ni karibia kwenye m3 na nusu hukoHii mishe ni full package
Inahamasishaa kinoma
Naam.Tumuunge mkono huyu Mwamba apate hela.
da! ubarikiwe sana mkuuNaam.