- Thread starter
- #121
natumahi vitachukuliwa mkuuWatu wa daaslam mmeshindwa kabisa kuchukua hii ofisi.
natumahi vitachukuliwa mkuuWatu wa daaslam mmeshindwa kabisa kuchukua hii ofisi.
Pamoja mkuu, hivi unaweza kunipa somo kidogo kuhusu mishkaki!!natumahi vitachukuliwa mkuu
inafuatana unanunua wapiNataka kufahamu kilo ya nyama inagharimu kiasi gani hadi inakamilika kuitwa mishkaki na inatoa mishkaki mingapi ya Sh. 500 yaani mtaji na faida ya kg 1 ya nyama.
Ahaa asante mkuu.inafuatana unanunua wapi
ukienda machinjioni ndo bei ndogo zaidi
ukienda bucha steki utauziwa kama 13000 hiv
humo inabidi itoke mishkaki 40 ya mia tano mia tano
20000-13000..= faida hapo ni 7000
viungo huwezi hesabu kwa kuwa hununui kila siku
na hata ukienda kununua ni bei ndogo sana vinakaa siku kadhaa...
so kwa kilo moja faida itoke 7000
karibu tenaAhaa asante mkuu.
🙏🙏🙏karibu tena
ila ukinunua sokoni...mfano kile kindoo cha lita kumi..unaweza pata nyama kwa 40k...na humo zimo kilo nyingi...ukiweka kwenye fridge unapata faida kubwa zaidi.....ila sasa hizo ni nyama za kufata saa kumi au tisa usiku machinjioni😄
Ahaa nimekusoma mkuu, asante kwa hii elimu.ila ukinunua sokoni...mfano kile kindoo cha lita kumi..unaweza pata nyama kwa 40k...na humo zimo kilo nyingi...ukiweka kwenye fridge unapata faida kubwa zaidi.....ila sasa hizo ni nyama za kufata saa kumi au tisa usiku machinjioni😄
bado bossDah! Hii business haijaenda tu?🙆
Kweli penye miti.......bado boss
yaan vifaa viko fresh kias kwamba ukitaka uende kununua kimoja kimoja bei itakuwa kuubwa zaidiKweli penye miti.......