- Thread starter
- #41
hapana mkuu..ila asanteUtajichelewesha, kula fifte hiyo.
hapana mkuu..ila asanteUtajichelewesha, kula fifte hiyo.
Nimeuona kaka subiri niudalalie naweza nikapata chochote kituMkuu Harmful umeona ofisi hii.
mkuu pambana...ukimleta mteja unapata percentNimeuona kaka subiri niudalalie naweza nikapata chochote kitu
Percent kutoka kwako na Bei hiyo hiyo uliyoiweka nieleweshe vizurimkuu pambana...ukimleta mteja unapata percent
ukimleta mteja wewe..nikafikia makubaliano nae..nitakupa "asante"...in terms of certain amountPercent kutoka kwako na Bei hiyo hiyo uliyoiweka nieleweshe vizuri
Una undugu na museveni au mbowe? Maana mnafanana kitabia.Siachii hii nafasi mpaka nazeeka
Aanh nikipata mteja tunalonga vizuri kiongoziukimleta mteja wewe..nikafikia makubaliano nae..nitakupa "asante"...in terms of certain amount
yeah..ila wahi wahi mkuuAanh nikipata mteja tunalonga vizuri kiongozi
nilikuwa nauza ndoo moja na nusu ya viazi..sometimes ndoo mbili...juice lita kama karibia 30 hivFrom your experience anayekuja akifanya kama wewe ulikuwa unafunga mauzo na profit kiasi gani ? Kama hii information inaweza kutoka nadhani itasaidia watu kufanya maamuzi hususan karne ya vyuma kukaza...
Sawa.Nimeuona kaka subiri niudalalie naweza nikapata chochote kitu
Naona juice hapo inakwenda vizuri..., nilitaka tu kuongeza / watu wapate information ya kufanya maamuzi as humu wengi pesa wanazo ila wanataka kuwekeza hivyo profit / mradi kwao ni muhimu..., all the best mkuu na mwenye pango sio msumbufu / matatizo ?nilikuwa nauza ndoo moja na nusu ya viazi..sometimes ndoo mbili...juice lita kama karibia 30 hiv
profit hapo ilikuwa inaenda 70k au 60k
kwa hiyo kama ukitaka kuendelea karibu au kama ukitaka kuhamishia sehemu inawezekana..bado siku saba hiv mkataba wangu uishe
kodi per day 10k
ki ufupi kila kitu kiko sawa
mimi nina mishe mingine nahitaji kufanya sehemu mbali na hapo ndo maana
hapana hana tatizo....kwanza kama ni mama mtu mzima tu na mpolena mtaratibu...ki ufupi hamna issue ngumu...nadhan kila mtu anashangaa why nimeacha..anyway anayehitaji vitu anicheckNaona juice hapo inakwenda vizuri..., nilitaka tu kuongeza / watu wapate information ya kufanya maamuzi as humu wengi pesa wanazo ila wanataka kuwekeza hivyo profit / mradi kwao ni muhimu..., all the best mkuu na mwenye pango sio msumbufu / matatizo ?
Mkuu uliombwa picha ya baiskeli na wadau hapo juu.karibu
sikuipost kwa sababu mimi niko gongolamboto na vifaa vyangu viko kinondoni....niliiacha kwa fundi alienda kuniwekea kapu la kufanyia delivery....ndo maana nilikuwa sijaipiga pichaMkuu uliombwa picha ya baiskeli na wadau hapo juu.
Sawa mkuu.sikuipost kwa sababu mimi niko gongolamboto na vifaa vyangu viko kinondoni....niliiacha kwa fundi alienda kuniwekea kapu la kufanyia delivery....ndo maana nilikuwa sijaipiga picha
ila kama mtu akiwa serious na manunuzi naenda namchukulia tu..hiyo sio issue sana