Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,491
- 42,568
Nimeenda mkuu.
Jibu wanakuambia soma ulivyoandikiwa. Yaanj wanaibariki budget exhausted.
Kachaguliwa kozi gani na wapi?
Nimeenda mkuu.
Jibu wanakuambia soma ulivyoandikiwa. Yaanj wanaibariki budget exhausted.
NIT logistic intransportation mgt.
sikiliza. Fomu iko sawa hakuna kosa. Hayo ya ccm yanakujaje. Ndo msaada wako huo?
Unikome.
Huyo hakuna tatizo hapo ka panic tu. Aende akaonane nao bodi ya mikopo, kila kitu kiko wazi, kama walikosea watampa kama hajakidhi vigezo amtafutie chuo tu, siku hizi vyuo mpaka vichoc
horoni vipo.
Hapana naona watu wanakupandikiza chuki uchukie CCM ndio maana nikasema vile but sorry Kama nimekukwaza....
Ukikata rufaa naamini utapata pia nikirudi tutawasiliana tujue chakufanya.
Bodi wamenitumua.
Ukirudi kutoka wapi. Ahera au......
Kwani ccm ni mama yangu?
Nilitaka niseme kitu . Basi.
Ili niwe sawa na wewe niambie kosa la kumfanya binti yangu asipewe hata 10%.
CCM ndio chama cha wanyonge...kimetutoa mbali ingawa si mama Yetu lakini ni chama pekee cha kukiamini...
Usipanic yanapita tu.
Nilijitahidi kukivaa chama hata wazee wa kanisani wakanijua. Leo nikawatembezee bakuli kuombamsaada wa kusomesha mtoto aliyefaulu na kaomba kozi priorty, kwako hii imekaaje?
Lets say jana nikiwa pale wamewapa vijana wanne mkopo machoni kwangu.
Kwanini wasimpe na binti yangu?