Serikali yangu haijanitendea haki

Serikali yangu haijanitendea haki

Sasa wewe hasira za kukosa mkopo tu....Hebu fikiria hasira za Watanzania milioni 45 kuhusiana na ufisadi, ujangili, ugaidi, utajiri wa nchi kuwanufaisha wachache, watoto wako kukosa mikopo/ajira huku wakiambiwa wajiajiri wakati hawana mitaji ya kuanzia biashara na wao wenye mitaji ya kuanzia biashara watoto wao wanawaingiza kinyemela katika taasisi mbali mbali nchini, hasira za kuona mikataba ya mbali mbali nchini haijali maslahi ya nchi hata kidogo. Warudishie kadi ya Mamndenyi.

Ha! Ha! Haaa !! kila siku TUNAWAELEZA HUMU LAKINI HAWASIKII , KESHO UTASIKIA LE MUTUZ ANALIA , ATASAHAU KWAMBA YEYE ALISOMA BURE !
 
Last edited by a moderator:
unaposema pamoja na hayo mtu msomi kama wewe unanichanganya. Kwani hicho kitabu cha tcu ulikiandika wewe. Dont make me foo l bhana. Guidelines waliweka wao mkubwa.

Hao watoto wako wamepewa waache. Am asking hawa watu wanakuwa wamekula nini kuandika kitabu cha tcu na kutoa mikopo.
punguza munkari mama, usimfokeee kada mwenzako.. Hiyo ndiyo sisiemu yetu... Hatuna pesa za kujenga maabara wala kuimarisha elimu. Bali tuna pesa za kula good time tu kama za jk kwenda usa kila mwezi mara 4, pesa za kumpa nyalandu kwenda kutangaza utalii marekani na aunt ezekiel..... Utaipenda tu sisiemu, ulidhani madhara ya wizi, rushwa na ufisadi unaoutetea kila siku, yataathiri watoto wa vyama vya upinzani tu eti?? Polesana vumilia tu.. Ndio ccm hiyo chama tukufu...ccm oyeeeeee....
 
Acha kutaja haramu hapa, puuuu........

ha ha ha! dada mamndenyi haramu ni hii serikali sikivu inayomnyima binti haki yake ya msingi "ELIMU" sasa utashangaa hao waliopata mkopo wengi wao wana uwezo na ni watoto wa vigogo serikalini maskini watoto wetu
 
punguza munkari mama, usimfokeee kada mwenzako.. Hiyo ndiyo sisiemu yetu... Hatuna pesa za kujenga maabara wala kuimarisha elimu. Bali tuna pesa za kula good time tu kama za jk kwenda usa kila mwezi mara 4, pesa za kumpa nyalandu kwenda kutangaza utalii marekani na aunt ezekiel..... Utaipenda tu sisiemu, ulidhani madhara ya wizi, rushwa na ufisadi unaoutetea kila siku, yataathiri watoto wa vyama vya upinzani tu eti?? Polesana vumilia tu.. Ndio ccm hiyo chama tukufu...ccm oyeeeeee....

nimecheka almanusura kuchana mbavu !
 
Unaposema pamoja na hayo mtu msomi kama wewe unanichanganya. Kwani hicho kitabu cha tcu ulikiandika wewe. Dont make me foo l bhana. Guidelines waliweka wao mkubwa.

Hao watoto wako wamepewa waache. Am asking hawa watu wanakuwa wamekula nini kuandika kitabu cha tcu na kutoa mikopo.

Wanakuwa wamekula alawansi! Na wanakuwa km wale wanaoandika ilani ya ccm, sio kila ahadi inatekelezwa na kwa TCU sio kila wanachoandika wanamaanisha!
 
NGOJA NIWAITE HAWA MAKADA WA CHAMA HIKI CHA KIPUUZI WAJE WAMSAIDIE Mamndenyi

Cc. Ritz, Simiyu Yetu., Laki si Pesa, Le Mutuz, Nape Mwandosya, Mwanadiwani, Wingu,Faiza Foxy, Juliana wa Kufyonzwa, Msalani, Vuta ni Kuvute... et al Lumumba tema njooni mmsaidie kuandama Mamndenyi
 
Tukutane 2015
 
Attachments

  • 1413230313126.jpg
    1413230313126.jpg
    11 KB · Views: 190
Amechagua kozi ya priorty. Na kapangiwa hiyo hiyo. Kweli asipewe hata single cent. Hii nchi imekuwaje.

Tangaza msimamo wako, jitambulishe kuwa wewe ni wa itakadi yao, watakusaidia.

Vinginevyo utalalamika sana, kama hutambuliki kuwa u miongoni mwa ukoo wao hutapata msaada.

Vv
 
malipo ni hapahapa , mimi wanangu niliwakataza kabisa hata kujaza hiyo mifomu yao , uwezo ninao .
 
nimecheka almanusura kuchana mbavu !

MKUU HUYU MAMA ALIDHANI UJINGA WA CHAMA CHAKE WANAOUFANYA UTAWACOST SIJUI WATOTO WA WAPINZANI TU??/... UJINGA WA CHAMA CHAKE NI MADHARA KWA TAIFA ZIMA, MPAKA WAJUKUU ZAKE, HATA HII KATIBA WALIOIANDIKA WENYEWE, WAKAIPIGIA KURA WENYEWE, WAKAIKATIA VIUNO WENYEWE, WAKAIPITISHA WENYEWE, ITAKUJA KUATHIRI HATA WAJUKUU NA MTOTO WAKE Mamndenyi WASIPATE KAZI
 
Unaposema pamoja na hayo mtu msomi kama wewe unanichanganya. Kwani hicho kitabu cha tcu ulikiandika wewe. Dont make me foo l bhana. Guidelines waliweka wao mkubwa.

Hao watoto wako wamepewa waache. Am asking hawa watu wanakuwa wamekula nini kuandika kitabu cha tcu na kutoa mikopo.

Kitabu cha TCU kinaonesha vigezo vingi sana! Kwanza kuna wenye 1& 2 kwa masomo ya art na hadi 3 masomo ya sayansi wana sifa ya kupata mikopo!
Pia kuna course priority kama Ualimu na Udaktari!

Pamoja na hayo kuna vigezo vya mtu kutokuwa na mzazi au wazazi lakini lazima awe amefaulu!

Mimi nakuomba Mamndenyi nenda TCU ufanye appeal kama nilivyo kwambia kuna mtoto wa ndugu yangu nae kakosa japo hana mzazi mmoja na alipata 2 na wamemwambia afanye appeal wata mzingatia kuna makosa yamefanyika!

Nakuomba uende bodi watakusikiliza!
 
Kipaumbele ni kwa wanao chukua ualimu au course za ya sayansi!
Kuna vigezo vingi vinaangaliwa si kwasababu tuu amesoma shule ya kayumba!
Kuna course za vipaumbele!

Sasa mtoto aliyesoma Kayumba na kijitahidi miaka yote 13 na kufaulu kwa kiwango hicho, kwa nini hasaidiwi? Serikali imemgharimia miaka yote hiyo ili iweje? Hizo kozi nyinginezo nje ya Sayansi na Ualimu, wenyewe wafanye nini? Waende wapi? Waende kwa nani? Ubaguzi huo ni kwa manufaa ya nani?

Kama serikali haiwezi kuwakopesha, kwa nini walihamasisha ujenzi wa shule za sekondari kila kata? Au ndio maana hizo shule zinanyimwa walimu na maabara ili wanafunzi wafeli na wasiendelee mbele.

Vv
 
MKUU HUYU MAMA ALIDHANI UJINGA WA CHAMA CHAKE WANAOUFANYA UTAWACOST SIJUI WATOTO WA WAPINZANI TU??/... UJINGA WA CHAMA CHAKE NI MADHARA KWA TAIFA ZIMA, MPAKA WAJUKUU ZAKE, HATA HII KATIBA WALIOIANDIKA WENYEWE, WAKAIPIGIA KURA WENYEWE, WAKAIKATIA VIUNO WENYEWE, WAKAIPITISHA WENYEWE, ITAKUJA KUATHIRI HATA WAJUKUU NA MTOTO WAKE MamndenyiWASIPATE KAZI

Mchuma janga hula na wakwao
 
Sasa mtoto aliyesoma Kayumba na kijitahidi miaka yote 13 na kufaulu kwa kiwango hicho, kwa nini hasaidiwi? Serikali imemgharimia miaka yote hiyo ili iweje? Hizo kozi nyinginezo nje ya Sayansi na Ualimu, wenyewe wafanye nini? Waende wapi? Waende kwa nani? Ubaguzi huo ni kwa manufaa ya nani?

Kama serikali haiwezi kuwakopesha, kwa nini walihamasisha ujenzi wa shule za sekondari kila kata? Au ndio maana hizo shule zinanyimwa walimu na maabara ili wanafunzi wafeli na wasiendelee mbele.

Vv

Mkuu ukiangalia kwa jicho pevu shule za kata zilianzishwa kuzuia political pressure sasa inatokezea elimu ya juu kazi tunayo
 
Sasa wewe hasira za kukosa mkopo tu....Hebu fikiria hasira za Watanzania milioni 45 kuhusiana na ufisadi, ujangili, ugaidi, utajiri wa nchi kuwanufaisha wachache, watoto wako kukosa mikopo/ajira huku wakiambiwa wajiajiri wakati hawana mitaji ya kuanzia biashara na wao wenye mitaji ya kuanzia biashara watoto wao wanawaingiza kinyemela katika taasisi mbali mbali nchini, hasira za kuona mikataba ya mbali mbali nchini haijali maslahi ya nchi hata kidogo. Warudishie kadi ya Mamndenyi.

sisiemu oyeeee.... Na sasa wamehamia kwa watumishi wa serikali na wameanza kuwakamua walimu elfu 10, eti za ujenzi wa maabara.. Sijui ile bajeti ya elimu iliyopitishwa 2014/2015 nayo imekwapuliwa ikaingizwa katika bunge la 6 la kukata mauno.. a.k.a bmk??

Mtakipenda tu chama cha wapuuzi....

Poleni sana
 
Last edited by a moderator:
Shukuru Mungu vile vichenji vya UKAWA vipo labda mnaweza kugawiwa walau tushilingi tuwili tutatu...Waombee sana UKAWA maana wamekukomboa...Imagine posho ya mjumbe mwehu aliyeleta katiba ya kishenzi kwa siku ni hela tosha kwa mwanafunzi asome mwezi mzima kwa rahaa...Haya mashenzi yaleteni tuyawashe moto manyang'au kabisa!!!!!!
 
Back
Top Bottom