Serikali yangu haijanitendea haki

Serikali yangu haijanitendea haki

Kwanini utembeze bakuli?? Uwezo Wa kusomesha huna?? Inamaana kumbe unajulikana kabisa wewe ni kiongozi Wa CCM why hukuomba msaada mapema ili system ikusome??

Umeonana na Rugema MNEC hapo kwamfipa?


Nionane naye ili iweje?
Eti uwezo wa kusomesha huna. Hiyomikopo ni ya nini sasa.
 
Bado wanasema ccm inaweza kuendelea kuwepo kwa lipi labda huu upuuzi wa ccm hauvumiliki tena
 
kuna dogo amepata dv 1 ya 14 form four na pia dv 1 ya 7 form six, shule zote za serekali course alio chaguliwa education, chuo udsm! Ajapata mkopo ata cent.....


nazani tatizo ni Big results now
 
Bado wanasema ccm inaweza kuendelea kuwepo kwa lipi labda huu upuuzi wa ccm hauvumiliki tena


Hivyo basi Watanzania watakuwa
ni wajinga na mataahira, kama
watakubali kuendelea
kukandamizwa na watu wachache
(viongozi) katika nchi yao
wenyewe....Jk Nyerere
 
Hivi mtoto wa kike kakwepa mangapi hadi fom six tena.shule za nyerere na kapata a.
Ananyimwa mkopo bila sababu.
Serikali itoe tamko kuhusu shule zake . Vingjnevyo tuseme sisi.

mbona nukiwa na matokeo mazuri. Unapata au kozi yako ilikua ni non priority, au maombi ulikoosea kwenye maombi
 
Back
Top Bottom