Serikali yangu haijanitendea haki

Serikali yangu haijanitendea haki

Hivyo basi Watanzania watakuwa
ni wajinga na mataahira, kama
watakubali kuendelea
kukandamizwa na watu wachache
(viongozi) katika nchi yao
wenyewe....Jk Nyerere

Pumziko jema umpe MWALIMU NYERERE EE MUNGU.
 
Sijui ndio yaani Leo unainanga CCM kisa mwanao kakosa mkopo??

Mbona hukuinanga walipokosa wengine miaka ya nyuma??

Huu ni ubinafsi...

Hujui nilikotokea ndiyo maana unaweza kusema hivi. Muulize chama anaweza kukuambia. Naanza huku wewe bado mchanga sana.
Na siku zote ukiona anayelia sana ndiye mfiwa.
 
Last edited by a moderator:
Hujui nilikotokea ndiyo maana unaweza kusema hivi. Muulize chama anaweza kukuambia. Naanza huku wewe bado mchanga sana.
Na siku zote ukiona anayelia sana ndiye mfiwa.

Umejuaje mi ni mchanga?

Kilichonitia mashaka ni kuwa sijawahi ona ukitetea waliokosa huko nyuma zaidi naona Leo unawaka Sana sababu ya mwanao kukosa...

Anyway pole Sana kada mwenzangu...
 
Last edited by a moderator:
Please najuwa ninachokisema. Usinifundishe. Amechagua logistics and transport mgt.

Unataka kusema sijui?

Samahani kama nimekukwaza naona umepanic sana!!kuna option nyingine anaweza kuitumia lakini baada Ya kudailiwa chuoni aende bodi ya mikopo na kila kitu kinachohusu udahili wake hapo chuoni kwake wanaweza wakampa!!hiyo niliona wanafanya baadhi ya wanafunzi miaka ya 2009,2010,2011 na 2012 wakapewa mikopo.
Ikibumbukwe walivyotoa majina hawakupata kabisa hata cent lakini walivyodahiliwa walienda bodi wakawaeleza matatizo yao then wakapewa
 
Umejuaje mi ni mchanga?

Kilichonitia mashaka ni kuwa sijawahi ona ukitetea waliokosa huko nyuma zaidi naona Leo unawaka Sana sababu ya mwanao kukosa...

Anyway pole Sana kada mwenzangu...

Nabeba sana mabango mkuu.
Kada?
 
Samahani kama nimekukwaza naona umepanic sana!!kuna option nyingine anaweza kuitumia lakini baada Ya kudailiwa chuoni aende bodi ya mikopo na kila kitu kinachohusu udahili wake hapo chuoni kwake wanaweza wakampa!!hiyo niliona wanafanya baadhi ya wanafunzi miaka ya 2009,2010,2011 na 2012 wakapewa mikopo.
Ikibumbukwe walivyotoa majina hawakupata kabisa hata cent lakini walivyodahiliwa walienda bodi wakawaeleza matatizo yao then wakapewa

Siyo wewe nilijaa upepo tokea mwanzo mkuu. Usijali.
 
Kabla yakunijibu soma kitabu cha tcu guideline cha mwaka huu.

Pole Mamndenyi, Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, Tatizo serikali haijui inataka mfano Jk alipokubali katiba mpya waziri wa sheria alikataa, na matokeo tumeyaona, hapo were chukulia TCU ni JK na HESLB ni waziri wa sheria. Umeelewa? Au chukula TCU JK na HESLB ni CCM
 
Last edited by a moderator:
2015 siyo mbali unga mkono chama makini ili mwanao asomeshwe mihula ijayo.
 
Back
Top Bottom