Habari ya kazi Mamndenyi, pesa zimeisha wanaohtaji ni wengi kuliko uwezo wetu wa kukopesha, tunasikitika kukujulisha kwamba fungu tulilopewa na serikali limekwisha. Kumbuka wakati wa kujaza fomu kuna angalizo kwamba kujaza kwako fomu hakukuhakikishii mkopo, kama una malalamiko ya msingi unaruhusiwa kukata rufaa.
Tunashukuru sana kwa ushirikiano wako.

Bodi ya mikopo inafanya vizuri kupunguza idadi ya wasomi.. Hii mitoto ikimaliza chuo inatusumbua sana kutaka ajira
Je ulisoma shule za kidumu na mfagio?
CCM siyo mama yangu.
Kwanini usiende HESLB Mwenyewe?Nina hakika unaweza kusikilizwa!Hivi hiyo ukawa itanisomeshea binti yangu?
Namtafuta KAWAMBWA niseme naye hapa.