Serikali yangu haijanitendea haki

Serikali yangu haijanitendea haki

Mamndenyi

POLE SANA LEO UMEONA UHUNI WA SERIKALI AMBAYO KUTWA KUCHAA HUISHI KUIuSIFIA..,, SERIKALI IKO BIZE NA MATUMIZI YA KIJINGA, SAFARI ZA KIJINGA ZA JK NA MISURURU YA WATU 200 HADI 500 BILA SABABU..HAKUNA MIPANGO YA KUWEKEZA KATIKA ELIMU.. TENA SI MTOTO WAKO TU WAKO WATOTO ZAIDI YA 450 WAMEKOSA MIKOPO, NA SABABU HAZIELEWEKI, WAMETANUA MAGOLI ILI WATOTO WAFAURU, LAKINI PESA ZILIENDA KUTUMIKA KUKATA MAUNO BMK.. WAKATI KUNA MAMBO YA MUHIMU KAMA HAYO HAKUNA PESA, KWA SASA HATA HALMASHAURI WATUMISHI WAKO BIZE NA FACEBOOK HAKUNA PESA ZA MIRADI ETC.

NDIO UONE UPUUZI WA SERIKALI YAKO UNAYOISHABIKIA KILA SIKU, ETI WANATUMIA PESA KUENDESHA MATAMASHA YA KIJINGA TU,.,. OHH SIJUI NAIFAGILIA TANZANIA, MARA TAMASHA LA MPIRA VIONGOZI WA DINI..

HAYO NDIYO MAVUNO YA KUSHABIKIA CHAMA CHA WAPUUZI, ... MAANA KATIBU MKUU WA CHAMA CHAKO MWENYEWE AMEKIRI NI MPUUZI NA CHAMA CHOTE NI WAPUUZI INCLUDING .
...

Unaniongezea hasira ujuwe.
 
Salamu sana.
Hapa nakaribia kupasuka kwa uhuni niliofanyiwa na bodi ya mikopo.
Imekuwaje mtoto wa mimi mkulima asipewr mkopo hata senti moja.

Kasoma shule za kidumu na mfagio tokea msingi hadi a levo.

Mtoto wa kike kajitahidi kapata div moja. Jkt kwa mujibu kaende. Leo wanasema eti budget exhausted.

Bado sijaelewa somo.

Tena mi nalalamika kivyangu. Na wewe ulalamike yako.

Halafu uzi wangu ubaki hapa hapa kwa kuwa chanzo cha kuifilisi bajeti ya masomo ya juu kipo hapa.

.........

Wewe wacha kulalamika ndio nyinyi vilaza mnakuwa wabunge zero brain mkiletewa mada mnatoka bungeni
 
unaniongezea hasira ujuwe.

pole sana, :"sisi ccm ni wapuuzi"..by kinana
so hata serikali inayotokana na ccm ni ya kipuuzi, mambo yake ni ya kipuuzi, wanaokishabikia ni wa.....

Pole vumilia ndio malipo hayo toka serikali yako ya ki....uzi
 
Sasa wewe hasira za kukosa mkopo tu....Hebu fikiria hasira za Watanzania milioni 45 kuhusiana na ufisadi, ujangili, ugaidi, utajiri wa nchi kuwanufaisha wachache, watoto wako kukosa mikopo/ajira huku wakiambiwa wajiajiri wakati hawana mitaji ya kuanzia biashara na wao wenye mitaji ya kuanzia biashara watoto wao wanawaingiza kinyemela katika taasisi mbali mbali nchini, hasira za kuona mikataba ya mbali mbali nchini haijali maslahi ya nchi hata kidogo. Warudishie kadi ya Mamndenyi.

Unaniongezea hasira ujuwe.
 
Last edited by a moderator:
sisiemu oyeeee.... Na sasa wamehamia kwa watumishi wa serikali na wameanza kuwakamua walimu elfu 10, eti za ujenzi wa maabara.. Sijui ile bajeti ya elimu iliyopitishwa 2014/2015 nayo imekwapuliwa ikaingizwa katika bunge la 6 la kukata mauno.. a.k.a bmk??

Mtakipenda tu chama cha wapuuzi....
 
Wewe wacha kulalamika ndio nyinyi vilaza mnakuwa wabunge zero brain mkiletewa mada mnatoka bungeni

Please usifanye huu uzi ukafungiwa kwa kuwa nitafungua mwingine. Jisaidie ulale.
 
Mamndenyi

POLE SANA LEO UMEONA UHUNI WA SERIKALI AMBAYO KUTWA KUCHAA HUISHI KUISIFIA..,, SERIKALI IKO BIZE NA MATUMIZI YA KIJINGA, SAFARI ZA KIJINGA ZA JK NA MISURURU YA WATU 200 HADI 500 BILA SABABU..HAKUNA MIPANGO YA KUWEKEZA KATIKA ELIMU.. TENA SI MTOTO WAKO TU WAKO WATOTO ZAIDI YA 450 WAMEKOSA MIKOPO, NA SABABU HAZIELEWEKI, WAMETANUA MAGOLI ILI WATOTO WAFAURU, LAKINI PESA ZILIENDA KUTUMIKA KUKATA MAUNO BMK.. WAKATI KUNA MAMBO YA MUHIMU KAMA HAYO HAKUNA PESA, KWA SASA HATA HALMASHAURI WATUMISHI WAKO BIZE NA FACEBOOK HAKUNA PESA ZA MIRADI ETC.

NDIO UONE UPUUZI WA SERIKALI YAKO UNAYOISHABIKIA KILA SIKU, ETI WANATUMIA PESA KUENDESHA MATAMASHA YA KIJINGA TU,.,. OHH SIJUI NAIFAGILIA TANZANIA, MARA TAMASHA LA MPIRA VIONGOZI WA DINI..

HAYO NDIYO MAVUNO YA KUSHABIKIA CHAMA CHA WAPUUZI, ... MAANA KATIBU MKUU WA CHAMA CHAKO MWENYEWE AMEKIRI NI MPUUZI NA CHAMA CHOTE NI WAPUUZI INCLUDING .
...
Him.....
 
BAK BAK umepata pa kutapikia siyo? Sema yote. Mie hapa mpaka wampe dogo mkopo hivi hivi tutaelewana ndivyo sivyo.
 
Last edited by a moderator:
Kabla yakunijibu soma kitabu cha tcu guideline cha mwaka huu.

Pamoja na hayo yote lakini walio kuwa kwenye uhakika kupata mkopo ni wale walio chagua course za Ualimu na Udaktari na baadhi ya course za sayansi!
Kuna watoto wa ndugu zangu wanne mmoja kachukua Education in physics mwingine Education in physics wote hawa wamepewa na walikuwa na division three!

Na wawili wote walichagua course ya Accounting na wamekosa mkopo na walikuwa na division two na walisoma shule za kawaida! Katika hawa kuna mmoja amefiwa na Mama alikosa lakini amekwenda bodi wakamwambia kuna makosa yamefanyika hivyo wamwambia a appeal!
 
Salamu sana.
Hapa nakaribia kupasuka kwa uhuni niliofanyiwa na bodi ya mikopo.
Imekuwaje mtoto wa mimi mkulima asipewr mkopo hata senti moja.

Kasoma shule za kidumu na mfagio tokea msingi hadi a levo.

Mtoto wa kike kajitahidi kapata div moja. Jkt kwa mujibu kaende. Leo wanasema eti budget exhausted.

Bado sijaelewa somo.

Tena mi nalalamika kivyangu. Na wewe ulalamike yako.

Halafu uzi wangu ubaki hapa hapa kwa kuwa chanzo cha kuifilisi bajeti ya masomo ya juu kipo hapa.

.........

kwi kwi kwi! mkuki umemkosa nguruwe umemchoma mwanadamu
 
Pamoja na hayo yote lakini walio kuwa kwenye uhakika kupata mkopo ni wale walio chagua course za Ualimu na Udaktari na baadhi ya course za sayansi!
Kuna watoto wa ndugu zangu wanne mmoja kachukua Education in physics mwingine Education in physics wote hawa wamepewa na walikuwa na division three!

Na wawili wote walichagua course ya Accounting na wamekosa mkopo na walikuwa na division two na walisoma shule za kawaida! Katika hawa kuna mmoja amefiwa na Mama alikosa lakini amekwenda bodi wakamwambia kuna makosa yamefanyika!

Unaposema pamoja na hayo mtu msomi kama wewe unanichanganya. Kwani hicho kitabu cha tcu ulikiandika wewe. Dont make me foo l bhana. Guidelines waliweka wao mkubwa.

Hao watoto wako wamepewa waache. Am asking hawa watu wanakuwa wamekula nini kuandika kitabu cha tcu na kutoa mikopo.
 
Salamu sana.
Hapa nakaribia kupasuka kwa uhuni niliofanyiwa na bodi ya mikopo.
Imekuwaje mtoto wa mimi mkulima asipewr mkopo hata senti moja.

Kasoma shule za kidumu na mfagio tokea msingi hadi a levo.

Mtoto wa kike kajitahidi kapata div moja. Jkt kwa mujibu kaende. Leo wanasema eti budget exhausted.

Bado sijaelewa somo.

Tena mi nalalamika kivyangu. Na wewe ulalamike yako.

Halafu uzi wangu ubaki hapa hapa kwa kuwa chanzo cha kuifilisi bajeti ya masomo ya juu kipo hapa.

.........

DADA MARA NYINGI TUMEKUAMBIA NA KUKUONYA KWAMBA HIZO KANGA , KOFIA , WALI KITUMBO NDONDO na FANTA TAKE AWAY MNAZOPEWA BURE IKO SIKU MTALIPA , UNAONA SASA ?
 
by Mamndenyi;
Amechagua kozi ya priorty. Na kapangiwa hiyo hiyo. Kweli asipewe hata single cent. Hii nchi imekuwaje.

Mama mamDenyi hii nchi mbona nzuri tuuu, Kidumu cha cha mapinduzi!
Tulia msumari wa moto ukuingie vzr maana huwa unajitoaga ufahamu!

cc
shost yako faizafox
 
Last edited by a moderator:
BAK BAK umepata pa kutapikia siyo? Sema yote. Mie hapa mpaka wampe dogo mkopo hivi hivi tutaelewana ndivyo sivyo.

Wakikupa utatulia!! waliokosa hanawa wa wakuwasemea maskini wale wamebaki kulalamika na wazazi wao.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom