Huku sikuokota sasa ni KUPALASA
 
Mpesa na wengineo walipoingia mabenki yaliyumba na mengine yamekufa na mengine yamegeuka kuwa mawakala wa mpesa/ tigo pesa sasa ni wakati wa kuyumba kwa hizo mpesa na wenzake
 
Wameshapiga mahesabu wakaona wanakusanya hela nyingi japo watumiaji wamepungua. Hivyo hawawezi kutoa maana lengo lao ni kuhakikisha wanakusanya nyingi na sio faida kwa makampuni ya simu au urahisi wa huduma kwa wananchi.

Sio siri wametupa kazi kubwa sana sisi wenye kutumiana vihela vya ngama
 
Walisema tutazoea tu
 
Miaka kadhaa iliyopita, Watanzania walirudishwa kwenye Siasa za Ujamaa..
Hawakujua kuwa ilikuwa ni Janja ya Nyani.....kutengeneza Legathii...
Sasa wanarudishwa kwenye Soko Huria... kuendana na ukweli wa dunia....
Iliyobaki sasa ni KILIO CHA SAMAKI.................
 
Wakati ukuta. 2025 siyo mbali CCM wataona cha moto kwenye uchaguzi.
Hizi ndizo akili za mbongo halisi. Yaani ukajipange kuwaumiza ccm kwenye uchaguzi?
Serikali ni yao, jeshi na polisi ni vyao, tume ya uchaguzi ni yao. Wakiamua kuwatangaza wabunge na madiwani wote kuwa wa ccm huwaambii kitu....

hawa wahujumu uchumi hatutawatoa kwa uchaguzi
 
Wanasiasa lazima wawe makini wanapotunga sheria zinazogusa kundi kubwa ama nchi kwa ujumla wake.

Wamepitisha hii Tozo kwa haraka sana bila kujua ina athiri maisha ya walio wengi hasa waliojiajiri kupitia biashara hii pamoja na waliowekeza achilia mbali watumiaji.

EWURA itatoa bei mpya za mafuta Jumatano hii, ikipanda tena safari hii wamiliki Gari za abiria watapeleka pendekezo LATRA kupandisha nauli pia.

Nasikia nishat za majumbani nazo kama gesi zitapanda bei mwezi huu, umeme uko juu.

Gesi ya Mtwara inatufikia lini? Tuliambiwa itakua cheap na kila nyumba itakua na mfumo wa kupokea gesi moja kwa moja.

JK's dream imefia wapi?
 
Mimi napendekeza hizo tozo ziongezwe maradufu tena.
 
Nadhani sasa akili zimeanza kurudi kwa baadhi ya watu.

Tulisema kwamba hatutegemei tofauti kubwa sana kati ya huyu na watangulizi wake.

Sasa wamegoma, mtawafanya nini?

Intelligence guided with experience…..you can’t beat that!
Tayari tofauti ipo. JPM alikuwa na maamuzi yake binafsi na hakuwa akiongozwa na suggestions za watu kama kina Zungu na hawa kina Msigwa

Lakini hata hivyo maamuzi yake yalimfavor Mwananchi mnyonge, mfano suala la Kikokotoo, Machinga n.k

Huyu Mama anaendeshwa na maoni na maamuzi ya watu wa chini yake, which is bad
 
Tozo hazitoki, mnataka maendeleo yaletwe na nani kama siyo nyinyi wananchi?
 
wewe siunataka maji na hospitali yenye dawa lkn pia unataka barabara safi, sasa unadhani nani atakuletea hivyo vitu vyote? vishuke kutoka mbiguni?!
lipa tozo ufaidi matunda yako mwenyewe, acha kudeka.
Tatizo litakuja wakati wa kampeni ccm watasema wajenga wao wakati kila mwananchi amejenga, pia nashangaa magesi, bahari, mbuga, madini, viwanda hivi vyote vimeshindwa kututoa hadi wamkamue mwananchi tena, halafu kwanini wabunge hawalipi kodi?
 
Bado wanafeli hakuna sababu ya msingi katika hilo.
Kama wanashindwa kutumia vyanzo vya rasilimali zilizopo Tanzania basi nchi imewashinda.
Chukulia mfano mbuga tu national parks unajua ni billions ngapi zinakusanywa kule kama ada ya wawekezaji kule porini,hapo bado hatujagusa madini,bado hatujagusa pesa zinazokusanywa kwenye mastendi ya bus hizo zote zinakwenda wapi?Afadhali magufuli alikuwa anachukua kwa matajiri na wafanyabiashara wenye uwezo.
Kiufupi nchi imewashinda
Kiufupi nchi imewashinda

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Wewe siunataka maji na hospitali yenye dawa lkn pia unataka barabara safi, sasa unadhani nani atakuletea hivyo vitu vyote? vishuke kutoka mbiguni?

lipa tozo ufaidi matunda yako mwenyewe, acha kudeka.
Kabla ya tozo, barabara, hospitali na mitlradi ya maji vilikua havijengwi?
 
Wewe siunataka maji na hospitali yenye dawa lkn pia unataka barabara safi, sasa unadhani nani atakuletea hivyo vitu vyote? vishuke kutoka mbiguni?

lipa tozo ufaidi matunda yako mwenyewe, acha kudeka.
......wakanunulie upya wapinzani kwao hilo pia ni la maendeleo.
 
Huyo Msigwa naye zombi tu
 
Mfanyabiashara gani nchini mwenye pesa za kunyangangwa Zika jenge SGR, Madaraja na bwawa la Nyerere, Matajir tulionao ukiwachukulia pesa na Mali zao zote hazifiki hata Trillion 10.
 
Kwanini asiongeze Tozo kwenye Madini na bidhaa zinazo toka nje ya nchi mfano mabati, saruji, na bidhaa za vyakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…