Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,960
Wewe hizi tozo hazikuhusu?Ww ndug unapinga kila kitu. Bora ukamatwe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hizi tozo hazikuhusu?Ww ndug unapinga kila kitu. Bora ukamatwe tu
But I’m not sick!
Huku sikuokota sasa ni KUPALASAMAMA anaupiga mwingi. Anafungulia nchi ili tuanze kuokota hela kwenye michanga.
Madini kafungulia, mabeberu wanapakua kwa kasi ya ajabu ili tuongeze pato la taifa. Kwa kitaalamu inaitwa ECONOMIC INCREMENTS.
Halafu pia MAMA hataki kodi za DHULUMA ndio maana kawaachia majizi na matakatishaji fedha ili uchumi wetu upanuke na kukua. Tunataka kuanza kuokota pesa.
Pesa ndio kila kitu. Kwa sasa tumehamia kwenye TOZO ili kupanua WIGO wa kuokota pesa.
Mpesa na wengineo walipoingia mabenki yaliyumba na mengine yamekufa na mengine yamegeuka kuwa mawakala wa mpesa/ tigo pesa sasa ni wakati wa kuyumba kwa hizo mpesa na wenzakeMimi naamini wataitoa wenyewe tu. Bahati mbaya watafanya hivyo wakati imeshaleta madhara makubwa kwa mapato ya serikali. Kama kabla ya tozo walikuwa wanaweza kukusanya say Sh100bn kutoka kwa miamala, kwa kuweka hizo tozo likely wakakusanya less than Sh100bn. Watu wameacha/wamepunguza kutumia miamala ya simu. Binafsi nimepunguza karibu 90% ya matumizi yangu ya miamala ya simu. Natumia benki na cash zaidi kiliko awali. Nimeanza kuzoea!
Watu wakishazoea hizo alternatives wanazotumia sasa kukwepa unyang'anyi kipitia tozo, itachukua muda kuwarudisha watu kutumia miamala ya simu hata kwa kuondoa tozo! Imechukua muda mrefu watu kuamini utumaji na upokeaji wa pesa kupitia simu za mkononi.
Kuna kazi kubwa makampuni ya simu yalifanya kujenga base ya mawakala nchi nzima......tozo hizi zitapunguza vipato vya mawakala na wengi wataacha hiyo biashara. naamini tozo hizi zina madhara ni makubwa kuliko serikali ilivyofikiria kabla . Muda utazungumza.
Wameshapiga mahesabu wakaona wanakusanya hela nyingi japo watumiaji wamepungua. Hivyo hawawezi kutoa maana lengo lao ni kuhakikisha wanakusanya nyingi na sio faida kwa makampuni ya simu au urahisi wa huduma kwa wananchi.Katika muendelezo uleule wa kudanganyadanganya wananchi serikali ya Samia imeanza kupiga chenga juu ya kupunguza tozo kubwa sana za miamala ya fedha.
Baada ya kelele kubwa na kukasirishwa kwa wananchi juu ya tozo kubwa za miamala ya fedha, serikali ya Samia ilijifanya kupoza kelele hizo kwa kuahidi kulifanyia kazi suala hilo. Lakini inaonekana hiyo ilikuwa ni tekniki ya kupoza hali huku wakiendelea kuwakamua wananchi pesa zao.
Hata Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa anasema tozo hizo haziwezi kuondolewa kwa sababu eti ziko kisheria.
Hoja hiyo ni hoja Muflisi kwa sababu hata Kikokotowo kilikuwepo kisheria lakini kiliahirishwa kutumika.
Tunaitaka serikali iitishe kikao cha dharura cha bunge ili bunge lipunguze hizo tozo mara moja.
Watanzania hatuwezi kuishi kwa kudanganywadanganywa
View attachment 1876301
Walisema tutazoea tuKatika muendelezo uleule wa kudanganyadanganya wananchi serikali ya Samia imeanza kupiga chenga juu ya kupunguza tozo kubwa sana za miamala ya fedha.
Baada ya kelele kubwa na kukasirishwa kwa wananchi juu ya tozo kubwa za miamala ya fedha, serikali ya Samia ilijifanya kupoza kelele hizo kwa kuahidi kulifanyia kazi suala hilo. Lakini inaonekana hiyo ilikuwa ni tekniki ya kupoza hali huku wakiendelea kuwakamua wananchi pesa zao.
Hata Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa anasema tozo hizo haziwezi kuondolewa kwa sababu eti ziko kisheria.
Hoja hiyo ni hoja Muflisi kwa sababu hata Kikokotowo kilikuwepo kisheria lakini kiliahirishwa kutumika.
Tunaitaka serikali iitishe kikao cha dharura cha bunge ili bunge lipunguze hizo tozo mara moja.
Watanzania hatuwezi kuishi kwa kudanganywadanganywa
View attachment 1876301
Hizi ndizo akili za mbongo halisi. Yaani ukajipange kuwaumiza ccm kwenye uchaguzi?Wakati ukuta. 2025 siyo mbali CCM wataona cha moto kwenye uchaguzi.
Mimi napendekeza hizo tozo ziongezwe maradufu tena.Katika muendelezo uleule wa kudanganyadanganya wananchi serikali ya Samia imeanza kupiga chenga juu ya kupunguza tozo kubwa sana za miamala ya fedha.
Baada ya kelele kubwa na kukasirishwa kwa wananchi juu ya tozo kubwa za miamala ya fedha, serikali ya Samia ilijifanya kupoza kelele hizo kwa kuahidi kulifanyia kazi suala hilo. Lakini inaonekana hiyo ilikuwa ni tekniki ya kupoza hali huku wakiendelea kuwakamua wananchi pesa zao.
Hata Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa anasema tozo hizo haziwezi kuondolewa kwa sababu eti ziko kisheria.
Hoja hiyo ni hoja Muflisi kwa sababu hata Kikokotowo kilikuwepo kisheria lakini kiliahirishwa kutumika.
Tunaitaka serikali iitishe kikao cha dharura cha bunge ili bunge lipunguze hizo tozo mara moja.
Watanzania hatuwezi kuishi kwa kudanganywadanganywa
View attachment 1876301
Tayari tofauti ipo. JPM alikuwa na maamuzi yake binafsi na hakuwa akiongozwa na suggestions za watu kama kina Zungu na hawa kina MsigwaNadhani sasa akili zimeanza kurudi kwa baadhi ya watu.
Tulisema kwamba hatutegemei tofauti kubwa sana kati ya huyu na watangulizi wake.
Sasa wamegoma, mtawafanya nini?
Intelligence guided with experience…..you can’t beat that!
Zinakwenda nufaisha wapigaji kama nyieTozo hazitoki, mnataka maendeleo yaletwe na nani kama siyo nyinyi wananchi?
Tatizo litakuja wakati wa kampeni ccm watasema wajenga wao wakati kila mwananchi amejenga, pia nashangaa magesi, bahari, mbuga, madini, viwanda hivi vyote vimeshindwa kututoa hadi wamkamue mwananchi tena, halafu kwanini wabunge hawalipi kodi?wewe siunataka maji na hospitali yenye dawa lkn pia unataka barabara safi, sasa unadhani nani atakuletea hivyo vitu vyote? vishuke kutoka mbiguni?!
lipa tozo ufaidi matunda yako mwenyewe, acha kudeka.
Bado wanafeli hakuna sababu ya msingi katika hilo.Hana ujanja, miradi aliyoachiwa na Magufuli ni mingi na inahitaji pesa nyingi amejua akicheza haitakamilika.
Kuanzia SGR, Nyerere Dam, Kigongo Busisi, daraja la kule Mikocheni baharani, bado miradi mingine ya barabara, maji safi na salama, umeme vijijini, inahitajika kama kawaida.
Kama Magufuli alikuwa anawapora watu pesa zao isivyo halali, basi Samia anachukua pesa kwa watu kihalali kwa msaada wa sheria kandamizi zilizopitishwa na bunge feki.
Kabla ya tozo, barabara, hospitali na mitlradi ya maji vilikua havijengwi?Wewe siunataka maji na hospitali yenye dawa lkn pia unataka barabara safi, sasa unadhani nani atakuletea hivyo vitu vyote? vishuke kutoka mbiguni?
lipa tozo ufaidi matunda yako mwenyewe, acha kudeka.
......wakanunulie upya wapinzani kwao hilo pia ni la maendeleo.Wewe siunataka maji na hospitali yenye dawa lkn pia unataka barabara safi, sasa unadhani nani atakuletea hivyo vitu vyote? vishuke kutoka mbiguni?
lipa tozo ufaidi matunda yako mwenyewe, acha kudeka.
Huyo Msigwa naye zombi tuKatika muendelezo uleule wa kudanganyadanganya wananchi serikali ya Samia imeanza kupiga chenga juu ya kupunguza tozo kubwa sana za miamala ya fedha.
Baada ya kelele kubwa na kukasirishwa kwa wananchi juu ya tozo kubwa za miamala ya fedha, serikali ya Samia ilijifanya kupoza kelele hizo kwa kuahidi kulifanyia kazi suala hilo. Lakini inaonekana hiyo ilikuwa ni tekniki ya kupoza hali huku wakiendelea kuwakamua wananchi pesa zao.
Hata Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa anasema tozo hizo haziwezi kuondolewa kwa sababu eti ziko kisheria.
Hoja hiyo ni hoja Muflisi kwa sababu hata Kikokotowo kilikuwepo kisheria lakini kiliahirishwa kutumika.
Tunaitaka serikali iitishe kikao cha dharura cha bunge ili bunge lipunguze hizo tozo mara moja.
Watanzania hatuwezi kuishi kwa kudanganywadanganywa
View attachment 1876301
Mfanyabiashara gani nchini mwenye pesa za kunyangangwa Zika jenge SGR, Madaraja na bwawa la Nyerere, Matajir tulionao ukiwachukulia pesa na Mali zao zote hazifiki hata Trillion 10.Hana ujanja, miradi aliyoachiwa na Magufuli ni mingi na inahitaji pesa nyingi amejua akicheza haitakamilika.
Kuanzia SGR, Nyerere Dam, Kigongo Busisi, daraja la kule Mikocheni baharani, bado miradi mingine ya barabara, maji safi na salama, umeme vijijini, inahitajika kama kawaida.
Kama Magufuli alikuwa anawapora watu pesa zao isivyo halali, basi Samia anachukua pesa kwa watu kihalali kwa msaada wa sheria kandamizi zilizopitishwa na bunge feki.
Kwanini asiongeze Tozo kwenye Madini na bidhaa zinazo toka nje ya nchi mfano mabati, saruji, na bidhaa za vyakulaMAMA anaupiga mwingi. Anafungulia nchi ili tuanze kuokota hela kwenye michanga.