Kulalamika kwa kampuni fulani kwamba huduma zao zimeanza kuzorota sio excuse ya maana. Wao wenyewe VODA gharama zao za huduma zinalalamikiwa kuwa ni aghali kuliko mitandao mingine mbona wamekomaa na gharama zao zile zile? Jibu ni simpo, wamefanya analysis wakaona hiyo ndiyo business model yao itakayowaletea faida. Wasioweza kutumia voda wahamie mitandao mingine.VODA wameshalalamika biashara yao ya huduma za kifedha kushuka hasa maeneo ya vijijini, kuna hatari makampuni yakaanza kuhamisha mitaji na kuathiri maendeleo kwenye sekta nzima ya mawasiliano.....tutarudi enzi za kupanda juu ya miti ili uweze kupata network.
Jibu la wapumbavu ni vitendo tu dawa ni kuachana na huduma zenye tozo hela tuna tumiana cash ,hapo makampuni ya simu yatashindwa kuipatia serikali hiyo pesa waliyo kuwa wanawakusanyia mafisadi wa chama na serikaliKatika muendelezo uleule wa kudanganyadanganya wananchi serikali ya Samia imeanza kupiga chenga juu ya kupunguza tozo kubwa sana za miamala ya fedha.
Baada ya kelele kubwa na kukasirishwa kwa wananchi juu ya tozo kubwa za miamala ya fedha, serikali ya Samia ilijifanya kupoza kelele hizo kwa kuahidi kulifanyia kazi suala hilo. Lakini inaonekana hiyo ilikuwa ni tekniki ya kupoza hali huku wakiendelea kuwakamua wananchi pesa zao.
Hata Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa anasema tozo hizo haziwezi kuondolewa kwa sababu eti ziko kisheria.
Hoja hiyo ni hoja Muflisi kwa sababu hata Kikokotowo kilikuwepo kisheria lakini kiliahirishwa kutumika.
Tunaitaka serikali iitishe kikao cha dharura cha bunge ili bunge lipunguze hizo tozo mara moja.
Watanzania hatuwezi kuishi kwa kudanganywadanganywa
View attachment 1876301
Acha kufananisha magufuli na mabo ya kipumbaavuuNadhani sasa akili zimeanza kurudi kwa baadhi ya watu.
Tulisema kwamba hatutegemei tofauti kubwa sana kati ya huyu na watangulizi wake.
Sasa wamegoma, mtawafanya nini?
Intelligence guided with experience…..you can’t beat that!
Mbona wakati wa magu ilikuwa inaendelea bila ya tozo ? Sema mama kawa fleva mafisadi sasa anajua uchumi utaporomoka maana kaacha makinikia na tanzanite kuibiwa kaacha matumizi mabovu kwa viongozi hivyo anataka kuziba gepu kwa kuwakamua masikiniHana ujanja, miradi aliyoachiwa na Magufuli ni mingi na inahitaji pesa nyingi amejua akicheza haitakamilika.
Kuanzia SGR, Nyerere Dam, Kigongo Busisi, daraja la kule Mikocheni baharani, bado miradi mingine ya barabara, maji safi na salama, umeme vijijini, inahitajika kama kawaida.
Kama Magufuli alikuwa anawapora watu pesa zao isivyo halali, basi Samia anachukua pesa kwa watu kihalali kwa msaada wa sheria kandamizi zilizopitishwa na bunge feki.
Nyinyi ndiyo mnatafuta mke kimbokakwani ukusikia watu awachumi tini kwenye mibarutiIla huyu mwana mama ni muongo muongo sana
lipa tozo kwa faida ya maendeleo yako, mwanao na mjukuu wako.Sasa hiyo tozo tunalipa wananchi wanyonge pekee?
Mbona hao wabunge pamoja na mamilioni wanayolipwa, lakini hawalipi PAYE kutoka kwenye mishahara yao??
Hadi unatia aibu. Yan umeisha jua watu wanakwepa kodi badala ya kutafta njia ya kuwafanya wasikwepe kodi ww unakuja na njia ya kuongeza tatizo.Na kwa kuwa nchi yetu watu sio waaminifu kwenye kitimiza wajibu wao kwenye kulipa kodi serikali haiwezi kutoa hiyo tozo na mimi naunga mkono.
Nina ushahidi kuna watu wanatengenezea wafanyabiashara risiti za efd Ili zioneshe wamelipa VAT kumbe usanii mtupu,sasa kwa Ukwepaji huu wa kodi itakuwa ajabu serikali ikiondoa tozo.
Serikali ya Tanzania inatoa huduma gani za kuweza kumnyima mtu?Na mjiandae kwa chanjo ya lazima vinginevyo utakosa baadhi ya huduma kutoka serikalini.
Utaelewa yakianza kutimia pale utaposiki kama hujachanjwa, hupati hiki na kile kutoka katika taasisi zao serikali.Serikali ya Tanzania inatoa huduma gani za kuweza kumnyima mtu?
Hao wadau kwann wasirekodi namba zao kisha wawakate hizo tozo wao pekee yao. Nani anaweza pendekeza upuuzi kama huo...?!Katika muendelezo uleule wa kudanganyadanganya wananchi serikali ya Samia imeanza kupiga chenga juu ya kupunguza tozo kubwa sana za miamala ya fedha.
Baada ya kelele kubwa na kukasirishwa kwa wananchi juu ya tozo kubwa za miamala ya fedha, serikali ya Samia ilijifanya kupoza kelele hizo kwa kuahidi kulifanyia kazi suala hilo. Lakini inaonekana hiyo ilikuwa ni tekniki ya kupoza hali huku wakiendelea kuwakamua wananchi pesa zao.
Hata Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa anasema tozo hizo haziwezi kuondolewa kwa sababu eti ziko kisheria.
Hoja hiyo ni hoja Muflisi kwa sababu hata Kikokotowo kilikuwepo kisheria lakini kiliahirishwa kutumika.
Tunaitaka serikali iitishe kikao cha dharura cha bunge ili bunge lipunguze hizo tozo mara moja.
Watanzania hatuwezi kuishi kwa kudanganywadanganywa
View attachment 1876301
Serikali itaninyima nini? Food stamps?Utaelewa yakianza kutimia pale utaposiki kama hujachanjwa, hupati hiki na kile kutoka katika taasisi zao serikali.
EeehSerikali itaninyima nini? Food stamps?
ARVSerikali ya Tanzania inatoa huduma gani za kuweza kumnyima mtu?