Serikali ya Kikwete Imefanya nini 2005-2015...

Serikali ya Kikwete Imefanya nini 2005-2015...

Mtu wa watu
Slaa1.jpg

Slaa2.jpg
 
Siasa za kujenga nchi bila uadui

View attachment 126619

Mtaruka ruka weweee lkn picha zile akina Mama wanao subiri kujifungua Mwananyamala wanakaa chini;picha zile watoto wetu wanakaa kwenye mawe darasani;picha zile wafugaji na wakulima wanakatana mapanga Mvomero umefunga mjadala wa sred hii!

Mzururaji ni janga letu wa TZ
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu wa zamani Mzee Edwin Mtei wakati uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012.
Mtei1.jpg
 
Mtaruka ruka weweee lkn picha zile akina Mama wanao subiri kujifungua Mwananyamala wanakaa chini;picha zile watoto wetu wanakaa kwenye mawe darasani;picha zile wafugaji na wakulima wanakatana mapanga Mvomero umefunga mjadala wa sred hii!

Mzururaji ni janga letu wa TZ
Tumia akili hapa hatuko kwenye mashindano ya kuku. Usiwe kama boya la kuelea kwenye maji wenzio wenye akili wako kimya. Wanaelewa kazi gani Serikali ya kikwete imefanya.
Kojoa kalale
 
AMREF Praises Tanzania First Lady for being a Champion in Standing for African Mother Campaign, Dar es Salaam October 11, 2013
Wama1.jpg
 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amekiomba chuo kikuu cha Monmouth cha mjini New Jersey nchini Marekani kufundisha wanafunzi wake lugha ya Kiswahili kama lugha ya kigeni ili wakazi wa eneo hilo waweze kuitumia katika mawasiliano pale itakapohitajika.
Wama2.jpg

Wama3.jpg
 
WAMA waikabidhi Hospitali ya sokione gari la wagonjwa - September 13, 2013.

Wama5.jpg
 
Tumia akili hapa hatuko kwenye mashindano ya kuku. Usiwe kama boya la kuelea kwenye maji wenzio wenye akili wako kimya. Wanaelewa kazi gani Serikali ya kikwete imefanya.
Kojoa kalale

Siyo swala la kukojoa na kulala,"wanafunzi wanakalia vitofali."
 
Tumia akili hapa hatuko kwenye mashindano ya kuku. Usiwe kama boya la kuelea kwenye maji wenzio wenye akili wako kimya. Wanaelewa kazi gani Serikali ya kikwete imefanya.
Kojoa kalale

It is confirmed wewe una matatizo ya akili!
"Mwenzangu"yupi mwenye akili timamu ambaye atashabikia up u u z i wa serikali hii ya wakoloni weusi?

Sijui hapa ana bembea Jamaica;Sijui political stabilization in Comorro;sijui u p uu zi social awareness in New Jersey ;sijui uharo political stabilization in Congo:Kwa gharama za nani?Kodi yangu inagharamia ujinga huu!

Anayeshabikia vioja vya serikali ya JK hana akili timamu!
 
Back
Top Bottom