Samia scholarship

Samia scholarship

TrueVoter

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2008
Posts
4,254
Reaction score
5,322
Naomba ufafanuzi kutoka wizara ya elimu..
1. Nani ni Mwenyekiti wa bodi ya Samia scholarship.
2. Lengo kuu la Samia scholarship ni nini, kitu gani cha tofauti Samia scholarship inafanya ambacho Student Loan's Board haifanyi..
3. Nini chanzo cha mapato cha Samia scholarship..
Sielewi kwa nini kila kunapokuwa na rais muislamu kunaanzishwa taasisi binafsi zenye malengo yanayofanana na taasisi za serikali zilizopo, mf. Taasisi ya mama salma kikwete (WAMA) ilianzishwa wakati Jakaya Kikwete akiwa Rais, hakukuwepo taasisi ya aina hii wakati Magufuli akiwa Rais, Samia scholarship imeanzishwa wakati Samia ni Rais..kwa nini inatokea hivi?
Mtu akisema hizi taasisi zinaanzishwa kwa ajenda za kidini atakuwa anakosea?
Asante.
 
Naomba ufafanuzi kutoka wizara ya elimu..
1. Nani ni Mwenyekiti wa bodi ya Samia scholarship.
2. Lengo kuu la Samia scholarship ni nini, kitu gani cha tofauti ambacho Samia scholarship inafanya ambacho Student Loan's Board haifanyi..
3. Nini chanzo cha mapato cha Samia scholarship..
Sielewi kwa nini kila kunapokuwa na rais muislamu kunaanzishwa taasisi binafsi zenye malengo yanayofanana na taasisi za serikali zilizopo, mf. Taasisi ya mama salma kikwete ilianzishwa wakati Jakaya Kikwete akiwa Rais, hakukuwepo taasisi ya aina hii wakati Magufuli akiwa Rais, Samia scholarship imeanzishwa wakati Samia ni Rais..kwa nini inatokea hivi?

SIongezi, Sipunguzi kitu, Hakika Umenena!
 
Money laundry
 
Wanu Hafidh ni mtoto wa Samia! Na Naibu waziri wa elimu,amewekwa pale ili kuhakikisha nafasi nyingi zinatokea Zanzibar,fedha ya kuwasomesha inatokea Bara. Tanganyika tumekuwa kama mazuzu
 
..ni zaidi ya mazuzu! Alivyoingia magufuli ile 2015 kulikuwa na scandle mbaya kabisa udom..ya kutoa admission kwa kundi kubwa la watu wa dini moja kwa kutumia sifa zisizokidhi..waliondolewa wote..lkn zipo fununu taasisi hizi huanzishwa kutokana na michango ya watu wa mataifa fulani kwa lengo la kusaidia watu wa mrengo wa dini yao..hiyo michango huwa hawataki ipitie serikalini..ndio sabb ya kuanzisha fund organisations ili zitimize malengo yao..samia scholarship ya nini wakati bodi ya mikopo ya wanafunzi ipo! Wanaosimamia samia scholarship wanapatikanaje, nani anawalipa..kwa fedha zipi..?
 
Naomba ufafanuzi kutoka wizara ya elimu..
1. Nani ni Mwenyekiti wa bodi ya Samia scholarship.
2. Lengo kuu la Samia scholarship ni nini, kitu gani cha tofauti ambacho Samia scholarship inafanya ambacho Student Loan's Board haifanyi..
3. Nini chanzo cha mapato cha Samia scholarship..
Sielewi kwa nini kila kunapokuwa na rais muislamu kunaanzishwa taasisi binafsi zenye malengo yanayofanana na taasisi za serikali zilizopo, mf. Taasisi ya mama salma kikwete ilianzishwa wakati Jakaya Kikwete akiwa Rais, hakukuwepo taasisi ya aina hii wakati Magufuli akiwa Rais, Samia scholarship imeanzishwa wakati Samia ni Rais..kwa nini inatokea hivi?
Mtu akisema hizi taasisi zinaanzishwa kwa ajenda za kidini atakuwa anakosea?
Asante.
It's the scheme to accelerate those knowns, the unknowns and unknown knowns.
 
Back
Top Bottom