Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,792
- 1,749
Akili ndogo ni shida sana.Hizo fedha za kutengenezea katoa mfukoni kwake hata sent? au ni kodi kwenye mishahara yetu, kodi kwenye kila bidhaa na misaada ya wanyonyaji wasiokoma kutunyonya? au wewe ulieposti uko kwenye mfumo wa huu utawala butu unatuonyesha na kutueleza upuuzi.