FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
It is confirmed wewe una matatizo ya akili!
"Mwenzangu"yupi mwenye akili timamu ambaye atashabikia up u u z i wa serikali hii ya wakoloni weusi?
Sijui hapa ana bembea Jamaica;Sijui political stabilization in Comorro;sijui u p uu zi social awareness in New Jersey ;sijui uharo political stabilization in Congo:Kwa gharama za nani?Kodi yangu inagharamia ujinga huu!
Anayeshabikia vioja vya serikali ya JK hana akili timamu!
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Kwi kwi kwi teh teh teh!