Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,501
- Thread starter
- #161
Huo ni mtazamo wakoNimekuelewa vizuri bwashee, kumbe una akili sana; endelea KUCHOCHEA KUNI.
Bravo
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Huo ni mtazamo wakoNimekuelewa vizuri bwashee, kumbe una akili sana; endelea KUCHOCHEA KUNI.
Bravo
CCM haigombani na mtu ila kuna utaratibu wa ku fix - problems na nimetoa ushauri tu mimi kama mwanachama ninaependa amani na maendeleo kwenye nchi yangu.Usiigombanishe TEC na CCM, nenda kivyako
Bro usiwachukulie poa sana TEC. Hao sio CHADEMA kwamba wataishia tu Twitter na maandamano hewa. RC ina waumini wengi mno na mfumo wao ni kama CCM yaani wanafika hadi ngazi ya shina ambapo wenyewe wanaita Jumuiya. Na huwa mambo yao ni kimyakimya. Mwezi huu niliona wana program ya kupita nyumba kwa nyumba na msalaba wao... hiyo ni kama kampeni fulani ya kuwatembelea waumini wao na kuwaamsha wale waliokuwa wamelala. Na hii wamefanya kimyakimya ila wamefanikiwa kuwafikia waumini wao wengi na kuongeza wengine wapya.Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Hamia China basi tuachie Tanzania yetu acha kuleta dharau babako muulize vizuri ndio anajua tumetoka wapi miaka 60 iliyopita. Hivi vitoto vilivyozaliwa kuanzia miaka ya 90 mnaleta ujuaji sana pumbavu.CCM mnajua fitina au ni wajinga? Kama mnajua fitina kwa nini msishinde kesi ambazo tuna shindwa kwenye mahakama za kimataifa?
Eti maendeleo yako wapi? Maendeleo ya kujilinganisha na Burundi, Congo , Somalia , Madagascar au Comoros? Miaka 60 bila maendeleo na wakati China ilitumia miaka 14 tu kuondokana na umadikini na kuleta maendeleo.
Mnawakuza tu hawana lolote malofa tu hao we ngoja serikali iseme Suu tuachiwe CCM uone mziki wake .Bro usiwachukulie poa sana TEC. Hao sio CHADEMA kwamba wataishia tu Twitter na maandamano hewa. RC ina waumini wengi mno na mfumo wao ni kama CCM yaani wanafika hadi ngazi ya shina ambapo wenyewe wanaita Jumuiya. Na huwa mambo yao ni kimyakimya. Mwezi huu niliona wana program ya kupita nyumba kwa nyumba na msalaba wao... hiyo ni kama kampeni fulani ya kuwatembelea waumini wao na kuwaamsha wale waliokuwa wamelala. Na hii wamefanya kimyakimya ila wamefanikiwa kuwafikia waumini wao wengi na kuongeza wengine wapya.
Utofauti mwingine wa RC ni kuwa na mahakama zao za mambo ya kidini. Kwenye sakata la Padri Karugendo ndo niligundua hilo kwasababu alihadithia. Hao mapadri wote walikuwa vipanga shuleni yaani hakuna fala. Damage ya huu waraka wao inaweza kuwa kubwa. Mimi kama mtu mwenye akili nyingi ninakiri hawa TEC ndo wapinzani walionifanya niwaze kwa mara ya kwanza tangu hii suala la DP lianze.
Cha muhimu serikali na chama tawala kitafakari jinsi ya kukabiliana na hawa TEC kisayansi. Mimi naamini CCM ni imara na itawatuliza TEC.
Chongolo na viongozi waandamizi wa serikali wanaenda kuungama kwa mapadri.Sasa hivi tayari wameshaliambia kanisa kila aliyekula rushwa.Kanisa lina mechanism ya kukusanya taarifa kuliko taasisi yeyote ile duniani.Amini usiamini hata Tulia ameshakwenda kuungama na kanisa lina taarifa zote.Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Serikali iruhusu chama kuwashughulikia hawa wahuni.Mtoa mada umeongeza mafuta ya petroli kwenye moto.
Bro hata mimi niko CCM na nimekulia CCM. Huwezi kuwashinda TEC kwa kuwajibu kama vile unawajibu CHADEMA. Wale waroma huwa wanatukanwa na madhehebu mengine lakini hawajali lolote wala kujibizana ila cha kushangaza mambo yao yanawanyookea. Halafu pia TEC imebeba hisia za kidini ambazo ni tofauti na siasa. WanaCCM wengi sana ni wakatoliki kwahiyo kuwajibu TEC inahitaji akili.Mnawakuza tu hawana lolote malofa tu hao we ngoja serikali iseme Suu tuachiwe CCM uone mziki wake .
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wanapambana na nani.? mimi sipambani na tecNdo wanapambana, wewe sijakuona unapambana na TEC
Huyo Nungunungu anadhani yupo kwenye vikai vya kahawaBro hata mimi niko CCM na nimekulia CCM. Huwezi kuwashinda TEC kwa kuwajibu kama vile unawajibu CHADEMA. Wale waroma huwa wanatukanwa na madhehebu mengine lakini hawajali lolote wala kujibizana ila cha kushangaza mambo yao yanawanyookea. Halafu pia TEC imebeba hisia za kidini ambazo ni tofauti na siasa. WanaCCM wengi sana ni wakatoliki kwahiyo kuwajibu TEC inahitaji akili.
Utapambaje wakati wanaccm wengi ni wana TEC?Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Sasa nani ambae mambo yake hayanyooki?Bro hata mimi niko CCM na nimekulia CCM. Huwezi kuwashinda TEC kwa kuwajibu kama vile unawajibu CHADEMA. Wale waroma huwa wanatukanwa na madhehebu mengine lakini hawajali lolote wala kujibizana ila cha kushangaza mambo yao yanawanyookea. Halafu pia TEC imebeba hisia za kidini ambazo ni tofauti na siasa. WanaCCM wengi sana ni wakatoliki kwahiyo kuwajibu TEC inahitaji akili.
CCM Oyeee.Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Kwenye suala la hisia za kidini hakuna ambaye hana hisia za dini yake. Hapa tunachotaka dini ikae mbali na siasa.Bro hata mimi niko CCM na nimekulia CCM. Huwezi kuwashinda TEC kwa kuwajibu kama vile unawajibu CHADEMA. Wale waroma huwa wanatukanwa na madhehebu mengine lakini hawajali lolote wala kujibizana ila cha kushangaza mambo yao yanawanyookea. Halafu pia TEC imebeba hisia za kidini ambazo ni tofauti na siasa. WanaCCM wengi sana ni wakatoliki kwahiyo kuwajibu TEC inahitaji akili.