Serikali kuwahakiki upya watumishi wake

Serikali kuwahakiki upya watumishi wake

Pogba sasa ivi hata kumiliki mpira imekua shida kwake amebaki kubadilisha tu rangi ya nywele zake mbaya zaidi wachezaji wenzake wanaomzunguka nae hawampi msaada kwa sababu ya tabia yake ya ujivuni.
Ata dhamani ya pogba imeshuka sana, ila alisajiliwa kwa bei iliyovunja rekodi
 
Yaani mtu ana njaa unataka afundishe vizuri,tangu 2015 hapati haki zake bado unataka afaulishe,utasubiri sana.
Hizi Wizara mbili ni nyeti sana tukikosea hapa tumekwisha.
Wang'olewe tu, hasa Wizara ya Elimu,watoto wetu ni vihiyo sana.Infact Wizara ya Elimu inahitaji usaili upya,waalimu wengi ni vihiyo sana wana vyeti lakini uwezo wao wa kufundisha ni Mdogo sana.
 
Chizi kweli wewe hivi unajua tangu 2015 watumishi hawapati haki zao za msingi kisa huu mchezo usioisha miaka mitatu sasa.

Kila siku nawaombea mabaya hata nikiyapata mimi potelea mbali.
Bora baba yako angepiga punyeto kuliko kuzaa mjinga kama wewe.
Hivi unajua vyeti vimekaguliwa mara ngapi?
Kwani kupeleka cheti ni kazi,peleka tu mkuu.Kama huna,sepa mapema,hii kali.
 
Kama vipi watufukuze wote halafu waajiri upya agrrrrrrrr
 
Kama mada inavyojieleza hapo juu

Serikali ya JMT imeanza tena lile zoezi la kuwahakiki upya watumishi wake ambapo kwa awamu hii imedhamiria kuwadaka wale wote walioleta udanganyifu katika zoezi lililofanyika hapo awali.

Aidha katika awamu hii uhakiki huo haufanywi tena na maafisa utumishi wa idara zote za Serikali kama ilivyokuwa awali, ila tuu jukumu hilo limebebwa na kikosi kazi maalumu kilichoteuliwa na Rais wa nchi hii kikiwaunganisha baadhi ya maafisa kutoka UTUMISHI ,TISS NECTA,NACTE pamoja na TCU.

Zoezi hili limeshaanza katika taasisi mbalimbali ambapo idadi kamili ya watumishi waliobanika kufoji vyeti na kuleta udanganyifu katika zoezi la awali itaekwa bayana na mamlaka zinazohusika.

MY TAKE
Wakuu kwa uhakiki huu hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.kama ulileta ujanja ujanja mwanzoni sepa kabla hawajaja ofisini kwako.

Nitaleta idadi rasmi ya taasisi zilizokumbwa na dhoruba hili hivi punde.

Hivi punde.... haijafika?
 
Nimekutukana sababu huna akili,hivi uhakiki gani miaka mitatu.
Halafu unaona ni sahihi watu kulipwa mishahara ya mwaka 2015 hadi leo 2018,hujui kuwa gharama za maisha zimepanda.
Nadhani sikustahili kutukanwa.Nini kibaya nilichosema hapo?
 
Kuna jiwe moja halitaguswa kutoka ukanda wa bahari
 
Awamu ya kwanza ya uhakiki walifanya hivo?
Waliona kwamba kazi haikuwa imefanywa kwa uaminifu, kwa hiyo watumishi wengi waliokuwa na vyeti fake walibaki.Hiyo ilikuwa na maana kwamba bado actual requirement ya watumishi waliohitajika kuajiriwa ilikuwa haifahamiki.Let's hope that that will not be the case this time around.
 
Nimekutukana sababu huna akili,hivi uhakiki gani miaka mitatu.
Halafu unaona ni sahihi watu kulipwa mishahara ya mwaka 2015 hadi leo 2018,hujui kuwa gharama za maisha zimepanda.
Huwezi kushindana na dola mkuu,peleka vyeti vihakikiwe.
 
Mbona nashindana na nimeshinda,hio kidogo ninayopata sifanyi kazi hivyo napokea ya bure,wala sina haja ya kutumia nguvu kwenye kazi yangu.
Huwezi kushindana na dola mkuu,peleka vyeti vihakikiwe.
 
Back
Top Bottom